Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hii ishu imetrend sana twitter
 

Huu mwaka tutaona uchafu wote wa hizi medias uchwara[emoji23][emoji23]
 

Mimi nimekupa habari inayoeleweka kutoka kwa wamarekani wenyewe wewe unakuja na video za twitter. Nendeni na HIMARS mkakomboe maeneo yaliyomegwa na Russia
 
Mimi nimekupa habari inayoeleweka kutoka kwa wamarekani wenyewe wewe unakuja na video za twitter. Nendeni na HIMARS mkakomboe maeneo yaliyomegwa na Russia
Kwani hizo HIMARS zimekomboa sentimeta ngapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Ukraine’s military has liberated over 2,400 square kilometers in Kherson Oblast.

Deputy Head of the President’s Office Kyrylo Tymoshenko reported on Oct. 7 that Ukraine has also evacuated 22,118 civilians, including 3,531 children, from Russian-occupied parts of the region.
 
TUPENI za frontline

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Zile satellite 🛰️ zao zikizowapa wapa mawasiliano za Elon Musk's zimezimishwa! Sasa hivi kibao kimegeuka hazitoshushwa ila watu wazibinya tu! Satellite zaidi ya 70, pamoja na nchi zaidi ya 20 zinapigana na mwamba na kila sehemu anabinya
 

Jiongeze kijana. Miezi yote mlokua mnapiga kelele na HIMARS ila wahuni wamechukua maeneo na yashakua RF tayari. Hizo HIMARS zilikua zinafanya nini mpaka maeneo yanachukuliwa???

Don't be a fool. Do some research before believing anything you read. [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Zile satellite [emoji2930] zao zikizowapa wapa mawasiliano za Elon Musk's zimezimishwa! Sasa hivi kibao kimegeuka hazitoshushwa ila watu wazibinya tu! Satellite zaidi ya 70, pamoja na nchi zaidi ya 20 zinapigana na mwamba na kila sehemu anabinya

Kuna mzee leo jion nilikua napiga naye story anasema hata dunia nzima iungane iwe against Russia bado hawa jamaa ni hatari. Halali NATO iuangane maana wanamsaidia Ukraine kila angle lakin bado Russia anawakalisha spheres zote.

Ukizipitia tweet za Elona kiundani ni kama kakutana na kitu kizito anaumia ndani ndani

[emoji635] [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Elon musk alichotoa ni maoni yake tu. Options ambazo anadhan yeye kuwa zingeweza tumika ili ku avoid vita.
But hamaanish kuwa anaogopa.
Is why aliacha watu wapige kura kwa twitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…