Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha kabisaaaa Ukraine hajakomboa chochote,kwani hizo HIMARS zimekomboa sentimeta ngapi?!Jiongeze kijana. Miezi yote mlokua mnapiga kelele na HIMARS ila wahuni wamechukua maeneo na yashakua RF tayari. Hizo HIMARS zilikua zinafanya nini mpaka maeneo yanachukuliwa???
Don't be a fool. Do some research before believing anything you read. [emoji706][emoji706][emoji706]
kila goti litapigwa ,,,kwa mjibu waq mdau wa jfThe UN Deputy Secretary General plans to visit Moscow in a week to discuss the extension of the "grocery deal", Guterres' office said
PUTI KASEMA ANAWEZA KUVISHUSHA HIVO VISETELAITI AKITAKA. Huyu jamaa kashindikana . Haiwezekani anawapa tarehe na mipango yote ya kuingiza mikoa ya Ukraine Russia . Anawapa na mipango ya MOBILIZATIO SASA huyu Bwana sio wa kawaida . SASA manuclear yapo kwenye attacking posture .Pro NATO tunajua mnaumia sana ila Ukweli Russia kashindikana hakuna NATO yuko tayari kupambana na hawa watu maan hutashinda. Endeleeni kulishwa ma Propaganda
View attachment 2380219
View attachment 2380220
Himars zimekuja late wakati maeneo yamesha kwenda.Jiongeze kijana. Miezi yote mlokua mnapiga kelele na HIMARS ila wahuni wamechukua maeneo na yashakua RF tayari. Hizo HIMARS zilikua zinafanya nini mpaka maeneo yanachukuliwa???
Don't be a fool. Do some research before believing anything you read. [emoji706][emoji706][emoji706]
Interesting ,Embu add a link hapa?
Himars zimekuja late wakati maeneo yamesha kwenda.
Before then ukraine hawakuwa na silaha z aaina hiyo zaidi ya mizinga tu.
Until walipoanza offensive
Hii NGOMA BADO SANA[emoji298][emoji298][emoji298]Head of the Chechen Republic Ramzan Kadyrov said that another 70,000 Chechen fighters are ready to join the 10,000 who are now fighting in the special military operation zone[emoji298][emoji298][emoji298]
Samahani mkuu kwa nini unaonyesha hii tweet ya Musk? Siyo Putin na Zelenski wote wameshakataa pendekezo lake?Kuna mzee leo jion nilikua napiga naye story anasema hata dunia nzima iungane iwe against Russia bado hawa jamaa ni hatari. Halali NATO iuangane maana wanamsaidia Ukraine kila angle lakin bado Russia anawakalisha spheres zote.
Ukizipitia tweet za Elona kiundani ni kama kakutana na kitu kizito anaumia ndani ndaniView attachment 2380216
[emoji635] [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Yani Ukraine na washirika wake wanaojiita dunia wanajiendea tu kama nyumbuπ€£π€£Mambo yameanza
Ukrainian troops are complaining about disruptions in the Starlink satellite communications system owned by American billionaire Musk, the Financial Times writes, citing sources.
A senior Ukrainian government official told the publication that some of these outages resulted in "catastrophic" loss of communications and caused panic.
Problems with the operation of the devices were serious in the regions of Kherson and Zaporozhye regions, they were also observed in the Kharkiv region and during the activities of Ukrainian troops against the troops of the DPR and LPR.
Kumbe hizi meza ndefu ofisini kwa bwana putin zipo 12.Meza NDEFU!π»π»π»π»
View attachment 2380215
Huyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
Kila mwezi UK na Denmark zinafundisha wa Ukraine 10K, katika mbinu Bora kabisa za vitaβ‘β‘β‘Head of the Chechen Republic Ramzan Kadyrov said that another 70,000 Chechen fighters are ready to join the 10,000 who are now fighting in the special military operation zoneβ‘β‘β‘
Zoka mwenyewe si huyo wa kushoto. Katikati ni General Lapin mnayemshutumu kwa failures wakati jeshi bovuHuyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
"NATO troops acting as as Ukrainian infrantrymen have..."
"NATO supplied weapons tried to ... but failed..."
"Nazis have destroyed our abandoned truck.."
Watu kama Zoka huwaaminisha mashabiki zao kwamba Ukraine sio kitu, credit zote hupewa Britain, US au NATO. Ni vizuri sana kuwafatilia hawa watu, tone zao na uandishi ndio uonesha hali ikoje uko frontline