Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Western media wanatumia maneno Kama Rally ... Gathering and alike.

Lakini ukweli Ni kwamba hayo ni maandamano (Protests). Wanasema hivyo kulainisha hali halisi.

Lakini yangetokea Russia, ungesikia wanasema kabisa kwamba Wananchi wameandama.. and blah blah..
 
From Kadyrov...

Huyu anaonekana ni so tough eeh? Naona na Head of Chechnya nae anasifia uteuzi wake.



πŸ‘‰ Army General Sergei Surovikin has been appointed Commander of the Joint Group of Forces in the area of the special military operation.

I personally know and know Sergei Vladimirovich well for almost 15 years. I can definitely say about him that he is a real general and warrior, an experienced, strong-willed and far-sighted commander, for whom such concepts as patriotism, honor and dignity always stand above all else.

It is my pleasure to welcome and welcome this appointment. The combined group of troops is now in safe hands. I am sure that Sergey Surovikin will improve the situation in the NVO zone for the better. Well, we, of course, will help him in solving his tasks.

I wish Sergei Vladimirovich good luck and success in his service for the benefit of the Fatherland - Russia!
 
Russia appoints new overall commander for its military in Ukraine. Announcement follows growing criticism of the military's recent battlefield failures.

Sergei Surovikin will be the first person to be handed sole charge of the campaign since the invasion was launched in February
 
Alipiga kazi Syria ila operation hii ina makamanda wengine kadhaa waliotoka Syria. Huyu ametoka aerospace forces kwa sare zake. Kwa kuwa kuna criticism basi nina imani wameleta mtu asiye wa mchezo, the best of the best kurekebisha makosa
 
Thubitisheni madai yenu sio mnasema eti mnasikia.
hakuna haja ya kuthibitisha chochote mkuu, pia wala usiwaze saana coz iwe kweli au si kweli haibadilishi au kuinfluence chochote kile kwa namna yeyote ile, so take easy mkuu kama una taarifa mbadala we weka hapa, ila kuna kamata kamata huko, pita telegram kwa taarifa zaidi
 
Kama kuna watu wanafikiri kwamba Russia itashindwa wafute hayo mawazo shinda ya Russia sio maeneo(Ardhi) yenyewe inaardhi kubwa Sana alafu watu wachache ukilinganisha na ukubwa wa ardhi mtakuja kuelewa.
Russia inaweza kaa miaka 15 bila population growth. Ongezeko lao la idadi ni dogo sana hata tangu Soviet Union hawazaliani kivile. Kuwa na population decline mwaka fulani ni jambo la kawaida kwao
 
Mmmmmh na it look like a "real show" inakaribia kuanza. Baada ya jamaa kua officially announced. United Shit nae hayuko nyuma. Nataman kuijua CV ya huyo jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ‘‰ The United States has raised the readiness of its Armed Forces in Europe to the 2nd level of danger.

This level was announced in 1962 during the Cuban Missile Crisis and in 1991 during Operation Desert Storm.

The next (maximum) level is DEFCON 1, which means maximum combat readiness in anticipation of a large-scale conflict.




Funny fact!
Conflicts is in Ukraine ila US na jeshi lake anakosa utulivu, yet some folks here wanawaza "Its Ukraine vs Russia"...
 
Failures!?

Bwahahahahahah[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…