HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRUwatavurugana sana, maofisa kibao wapo vizuizi vya nyumbani
Inasemekana GRU ndo wamefanikisha hilo swala la leo
Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRUwatavurugana sana, maofisa kibao wapo vizuizi vya nyumbani
Uncle Sam is bluffing. Defcon II, so what!? Putin's supposed to be scared!?Mmmmmh na it look like a "real show" inakaribia kuanza. Baada ya jamaa kua officially announced. United Shit nae hayuko nyuma. Nataman kuijua CV ya huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117] The United States has raised the readiness of its Armed Forces in Europe to the 2nd level of danger.
This level was announced in 1962 during the Cuban Missile Crisis and in 1991 during Operation Desert Storm.
The next (maximum) level is DEFCON 1, which means maximum combat readiness in anticipation of a large-scale conflict.
View attachment 2380958
Funny fact!
Conflicts is in Ukraine ila US na jeshi lake anakosa utulivu, yet some fox here wanawaza "Its Ukraine vs Russia"...
'Inasemekana' nyingi za nini!?Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRU
Inasemekana GRU ndo wamefanikisha hilo swala la leo
Huyu mjomba ni moja ya wale binadamu wanaoamini katika ugomvi tumia chochote, rusha kila kitu hadi ushinde. Ni mtata sana na hana msalie mtume. Ni uchaguzi sahihi kwa tuliokuwa tunatamani mwisho wa ugomvi wa kubembelezanaFrom Kadyrov...
Huyu anaonekana ni so tough eeh? Naona na Head of Chechnya nae anasifia uteuzi wake.
View attachment 2380950
👉 Army General Sergei Surovikin has been appointed Commander of the Joint Group of Forces in the area of the special military operation.
I personally know and know Sergei Vladimirovich well for almost 15 years. I can definitely say about him that he is a real general and warrior, an experienced, strong-willed and far-sighted commander, for whom such concepts as patriotism, honor and dignity always stand above all else.
It is my pleasure to welcome and welcome this appointment. The combined group of troops is now in safe hands. I am sure that Sergey Surovikin will improve the situation in the NVO zone for the better. Well, we, of course, will help him in solving his tasks.
I wish Sergei Vladimirovich good luck and success in his service for the benefit of the Fatherland - Russia!
Si mlikuwa mnadai ni kazi ya amiri jeshi wa majeshi yote ya wachekeshaji duniani ndugu Zelensky?Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRU
Inasemekana GRU ndo wamefanikisha hilo swala la leo
ni hatari , kuna mvurugano mkubwa huko, hawa FSB wamekua na mvurugano na jeshi tangu VITA Ilipoanza, hawa wakati majenerali wa urusi wanakufakufa mwanzoni mwa hii vita walikua wakinyooshewa kidole, kila putin anapopanga mipango yake ya kishetani hawa jamaa FSB na GRUwanakuwa wako pande mbili tofauti,Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRU
Inasemekana GRU ndo wamefanikisha hilo swala la leo
vita gani tena?Kwamba Vladimir Putin katangaza vita officially???
Duuh hatariInasemekana wanakamata wanajeshi Moscow, maana yasemekana hili shambulio la leo limeratibiwa na wenyewe
.Russia ni nchi inayofata misingi ya taratibu za sheria, kwa hiyo ni sahihi kwa Rais kufata hizo sheria na ku sign hizo documents.
Je, ulitaka atoe maagizo ya mdomo?
Hearsays...ni hatari , kuna mvurugano mkubwa huko, hawa FSB wamekua na mvurugano na jeshi tangu VITA Ilipoanza, hawa wakati majenerali wa urusi wanakufakufa mwanzoni mwa hii vita walikua wakinyooshewa kidole, kila putin anapopanga mipango yake ya kishetani hawa jamaa FSB na GRUwanakuwa wako pande mbili tofauti,
kama unaamini hakuna jenerali wa urusi aliekufa ukraine sawa hamna tabuHearsays...
Hakuna cha mvurugano wala nini. Tukikuuuliza how FSB wavurugane na jeshi wakati hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa taasisi hizo mbili utaruka ruka hapa!
Majenerali gani wa urusi waliokufakufa vitani!?
Uzushi.com
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.
Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.
Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.