Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uncle Sam is bluffing. Defcon II, so what!? Putin's supposed to be scared!?

“Surovikin knows how to fight with bombers and missiles - that’s what he does,” Gen. Kyrylo O. Budanov, the head of Ukraine’s military intelligence service,
 
Huyu mjomba ni moja ya wale binadamu wanaoamini katika ugomvi tumia chochote, rusha kila kitu hadi ushinde. Ni mtata sana na hana msalie mtume. Ni uchaguzi sahihi kwa tuliokuwa tunatamani mwisho wa ugomvi wa kubembelezana
 
Inasemekana kuna shida kati ya FSB na GRU
Inasemekana GRU ndo wamefanikisha hilo swala la leo
ni hatari , kuna mvurugano mkubwa huko, hawa FSB wamekua na mvurugano na jeshi tangu VITA Ilipoanza, hawa wakati majenerali wa urusi wanakufakufa mwanzoni mwa hii vita walikua wakinyooshewa kidole, kila putin anapopanga mipango yake ya kishetani hawa jamaa FSB na GRUwanakuwa wako pande mbili tofauti,
 
Hearsays...

Hakuna cha mvurugano wala nini. Tukikuuuliza how FSB wavurugane na jeshi wakati hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa taasisi hizo mbili utaruka ruka hapa!

Majenerali gani wa urusi waliokufakufa vitani!?

Uzushi.com
 
Hearsays...

Hakuna cha mvurugano wala nini. Tukikuuuliza how FSB wavurugane na jeshi wakati hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa taasisi hizo mbili utaruka ruka hapa!

Majenerali gani wa urusi waliokufakufa vitani!?

Uzushi.com
kama unaamini hakuna jenerali wa urusi aliekufa ukraine sawa hamna tabu
 

Well said mkuu, hata mimi nilikuwa najiuliza maswali mengi, hivi: iniwezekana vipi kwenye kipindi cha vita ambacho ulizi unapashwa kuimarishwa kwenye mission critical infrastructures kama,vile: madaraja,majengo ya kijeshi,vivuko nk - inakuwaje truck litoke litokako lifike kwenye daraja muhimu bila ya kupekuliwa kiundani/kwakina zaidi halafu linaruhusiwa kuvuka ng'ambo ya pili - hivi hii inaingia akilini kweli au hizo ni mbinu za Putin zenye lengo la kutafuta sababu za kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine na kumu-brand Zelensky kuwa na yeye ni gaidi kwa kuwa ana-support matendo ya kigaidi, hivyo hata Putin akichukuwa hatua kali Dunia haiwezi kumlaahumu kwa kukabiliana na ugaidi - a very clever ploy by Putin.
 
Hola hola 😂

triga
BUSH BIN LADEN
Ebana eeh hatimae nimeipata CV yake jamaa... Kumbe ni balaa na nusu! I guess ndio maana US wameamua ku'rise alert kwenye majeshi yao.

👉 About Surovikin.

Surovikin is in charge not of the Air Force, but of the Aerospace Forces. That is, not aviation, but interspecific (this is important!)

A fundamentally new, strategic type of troops. Surovikin has a scientific degree - and his articles, which in a small number have been made available to the public - are about INTER-SPECIES interaction. That is, how to link different types of troops into a single whole and achieve a synergistic effect.

It was under him that 95% of the territory of Syria was recaptured

He built a fire system in such a way that he beat them on the way. Others didn't succeed.

He is one of the best military leaders in Russia. Or maybe even the best. The only thing that can be said for sure is that he always tries to protect his soldiers

The soldiers love him precisely for this: his orders are reasonable, he does not throw them into a meat grinder.

It was Surovikin who managed to pass troops through the desert in Syria under American satellites unnoticed and go to the rear of the Americans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…