the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
-kuna warusi wengi sana sillicon valley ht co founder wa google ni mrusi, jiulize kwann wapo marekani badala ya urusiSiberian silicon valley ndio inaenda kubwa sehemu ya ugunduzi wa teknolojia ya juu kwa vizazi vijavyo. Kama hujui google tu Siberian silicon valley ni nini
Mngeanza kumuua mmarekani kwanza ambaye yeye ndio kinara wa kuua wenzieMtamuita Mungu sasa!!! Dunia unatakiwa iwe mahali salama, watu kama Putin ni 'wakuaga tu.
Putin akitengwa tunaungana China, Africa na Russia! Madini tunayo na kila kitu hao wapuuzi wataisoma namba tu!Ni hivi,Zelensiky bado yupo sana tu Ukraine,nachojua Putin atakufa kabla yake na kitakachomuua ni stress za kutengwa na Dunia
Tunaungana na china russia na waarabu wenye wese [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Putin akitengwa tunaungana China, Africa na Russia! Madini tunayo na kila kitu hao wapuuzi wataisoma namba tu!
Tutaanzisha currency yetu wenyewe na kufanya yetu[emoji28] uchumi lazma uendelee kuwa mkubwa hadi wataona wivu hao wajinga. Wakitaka kuvamia tunawalipua na nyuklia.
Africa ni bara ambalo lina kila kitu wanachokifata hao wahuni wa West.
Yani biden na washenzi wenzie wa Nato lazma wamkimbie abaki mwenyewe tu😅 kujitutumua kuwa yeye ni taifa kubwa duniani!!! Apambane na hali yake ndio dawa yakeTunaungana na china russia na waarabu wenye wese [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saaanaaaa...Putin anaongea sana na malalamiko kibao
Nilijuaga kuwa huwa unafatilia habari ndio maana upo humu Ku share nasi,kumbe upo kimbea mbea .huo ujumbe uliosambaa kwenye mitandao kuhusu Russia kuondolewa WC kama hujui ni fake au imetolewa na Urusi bado anakuwa unatoa humu maoni yako inaonekana wazi upo kupoteza muda na sio Ku share knowledge.Ki uhalisia katika hii Vita ikiisha,mwenye shida zaidi ni Russia,wapo wanaokumbushia kuwa vikwazo alishazoea kuwekewa na hakuna alipotetereka lakini wanashahu dose ya vikwazo vya safari hii ni kubwa ndiyo maana anafikia hatua ya kuwatishia wote watakaoendelea kutoa vikwazo.Nilicheka nilisoma comment moja humu kuwa kawapiga hadi mikwara FIFA kuwa Russia itacheza WC,bila hivyo hakutakuwa na hayo mashindano.Sasa kama hii ni kweli ni ishara tosha ya kupanic baada ya msururu wa vikwazo kuwekwa.
Usa wamezidisha ukuda afu tatzo Lao wanaona dunia nzima mafala wao ndio wajanja..acha putin akinukishe tuu tuone nani mwambaYani biden na washenzi wenzie wa Nato lazma wamkimbie abaki mwenyewe tu[emoji28] kujitutumua kuwa yeye ni taifa kubwa duniani!!! Apambane na hali yake ndio dawa yake
Hivi hilo bomu la kuangamiza dunia nzima lipoje? Mbona Dunia mnaichukulia poa kama kitenesi vileWengi washabiki tu, wanachukuliwa vitu kwa ushabiki sana, Russia ana silaha sio tu za kuangamiza Europe ila dunia nzima, sio rahisi nchi ya namna hiyo kuvamiwa na NATO unless otherwise NATO wameamua hii Dunia kufikia mwisho, Ukraine Mwenyewe alijua atasaidiwa na marekani na NATO iko wapi? NATO au Marekani kuingilia huo mgogoro Moja kwa Moja ni kuhatarisha Dunia kuingia ww3, and that won't serve their economic interests.