LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin says countries imposing no-fly zone would be considered "participants in a military conflict"

From CNN's Mostafa Salem

Russian President Vladimir Putin said on Saturday that he would consider countries imposing a no-fly zone over Ukraine as participating in the conflict.
“We will immediately consider them as participants in a military conflict, and it doesn't matter members of which organizations they are,” Putin said in a meeting with flight crewmembers of Russian national airlines."
Huyu mwamba nnachomkubali havizii mtu, anatoa onyo mapema. Yeyote anaeona anammudu aende kinyume aone moto



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siberian silicon valley ndio inaenda kubwa sehemu ya ugunduzi wa teknolojia ya juu kwa vizazi vijavyo. Kama hujui google tu Siberian silicon valley ni nini
-kuna warusi wengi sana sillicon valley ht co founder wa google ni mrusi, jiulize kwann wapo marekani badala ya urusi
-urusi ndio nchi inayoongoza duniani kwa watu kugraduate kwe fani za sayansi but majority wanamove kwenda kufanikiwa ulaya na marekan ushawahi kujiuliza kwann?
-founder wa telegram ni mrusi ila alihama urusi na kuendeshea shughuli zake dubai kabla ya hapo alianzsha social media inayofanana na fb ambayo ndio popular zaid nchini humo urusi ila walimfanyia zengwe ikanunuliwa na mmoja wa maswahiba wa putin
-hio siberian silicon valley unayosema ww ilikua ni initiative wa medvedev ambaye alikua mpenda mageuzi alifny reforms nyingi zakuweka mazingira rafiki kwa interpreneurs but putin aliporejea akapiga breki.
.mpk asolve issue ya brain drain na mengine yahusianayo na entrepreneurship, shida ya urusi haijawah kuwa wanasayansi shida ni kuwa wengi wao wanahama na kwenda kufanikiwa magharibi na matukio km ya sasa yanafny shida hio kuwa kubwa badala ya kusaidia siberian sillicon valley km ww unavyosema
 
Screenshot_20220305-192410.png
 
Ni hivi,Zelensiky bado yupo sana tu Ukraine,nachojua Putin atakufa kabla yake na kitakachomuua ni stress za kutengwa na Dunia
Putin akitengwa tunaungana China, Africa na Russia! Madini tunayo na kila kitu hao wapuuzi wataisoma namba tu!

Tutaanzisha currency yetu wenyewe na kufanya yetu😅 uchumi lazma uendelee kuwa mkubwa hadi wataona wivu hao wajinga. Wakitaka kuvamia tunawalipua na nyuklia.

Africa ni bara ambalo lina kila kitu wanachokifata hao wahuni wa West.
 
Ila pamoja na kurusha mizinga na makombora kutumia vifaru na ndege za kivita huko Ukraine Lakini na yeye Putin kapokea kichapo.Nafikiri hakutegemea kukutana na stiff resistance!!
Screenshot_20220305-194638.png
 
Putin akitengwa tunaungana China, Africa na Russia! Madini tunayo na kila kitu hao wapuuzi wataisoma namba tu!

Tutaanzisha currency yetu wenyewe na kufanya yetu[emoji28] uchumi lazma uendelee kuwa mkubwa hadi wataona wivu hao wajinga. Wakitaka kuvamia tunawalipua na nyuklia.

Africa ni bara ambalo lina kila kitu wanachokifata hao wahuni wa West.
Tunaungana na china russia na waarabu wenye wese [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ki uhalisia katika hii Vita ikiisha,mwenye shida zaidi ni Russia,wapo wanaokumbushia kuwa vikwazo alishazoea kuwekewa na hakuna alipotetereka lakini wanashahu dose ya vikwazo vya safari hii ni kubwa ndiyo maana anafikia hatua ya kuwatishia wote watakaoendelea kutoa vikwazo.Nilicheka nilisoma comment moja humu kuwa kawapiga hadi mikwara FIFA kuwa Russia itacheza WC,bila hivyo hakutakuwa na hayo mashindano.Sasa kama hii ni kweli ni ishara tosha ya kupanic baada ya msururu wa vikwazo kuwekwa.
Nilijuaga kuwa huwa unafatilia habari ndio maana upo humu Ku share nasi,kumbe upo kimbea mbea .huo ujumbe uliosambaa kwenye mitandao kuhusu Russia kuondolewa WC kama hujui ni fake au imetolewa na Urusi bado anakuwa unatoa humu maoni yako inaonekana wazi upo kupoteza muda na sio Ku share knowledge.
 
Yani biden na washenzi wenzie wa Nato lazma wamkimbie abaki mwenyewe tu[emoji28] kujitutumua kuwa yeye ni taifa kubwa duniani!!! Apambane na hali yake ndio dawa yake
Usa wamezidisha ukuda afu tatzo Lao wanaona dunia nzima mafala wao ndio wajanja..acha putin akinukishe tuu tuone nani mwamba
 
A Russian diplomat in Vilnius was attacked with the use of physical force, the Russian Foreign Ministry said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Wengi washabiki tu, wanachukuliwa vitu kwa ushabiki sana, Russia ana silaha sio tu za kuangamiza Europe ila dunia nzima, sio rahisi nchi ya namna hiyo kuvamiwa na NATO unless otherwise NATO wameamua hii Dunia kufikia mwisho, Ukraine Mwenyewe alijua atasaidiwa na marekani na NATO iko wapi? NATO au Marekani kuingilia huo mgogoro Moja kwa Moja ni kuhatarisha Dunia kuingia ww3, and that won't serve their economic interests.
Hivi hilo bomu la kuangamiza dunia nzima lipoje? Mbona Dunia mnaichukulia poa kama kitenesi vile
 
Back
Top Bottom