LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ujasiri au upumbavu,yeye ndio chanzo cha tatizo.Kiufupi yeye ndio tatizo,sasa aliye anza kutengeneza tatizo anakuwaje tena jasiri.

Angawaje ametenda makosa lakini angewahi,kuna uwezekano haya tunayo yaona yasingetokea.

Wapo wapi hao NATO&USA walimpa kiburi,mwisho wa siku amebaki peke take sababu kila Taifa linaogopa kuingia kwenye mgogoro na URUSI.
 
Tulishajua utimamu wa akili yake upo shakani baada ya kuji isolate kwa 2 yrs kwa ajili ya Covid.
 
Hivi vitisho vyake vishazoeleka,angebofya kitufe cha Nyuklia siku ile kama kweli kadhamiria
 
Unachokisema ni kweli kabisa maana kuna msemo unasema " damu nzito kuliko maji" . Nimeona hata jinsi Israel mwanzo alikuwa hataki kuikosoa Russia kwenye huu mgogoro kwa lengo la kutokuharibu mahusiano yake na Russia na ilikuwa hataki pia kushiriki kupiga kura zile za juzi za UN General Assembly lakini akashinikizwa na West na dogo wa Ukraine alimpigia inasemekana waliongea mengi na baada ya hapo Israel ikashiriki kura za kuitosa Russia japo kwakujivuta sana.

Lakini hawa jamaa walizagaa sana nchi za Ulaya, maana kulikuwa na taarifa za Muda Mrefu zisizothibitishwa kuwa Mama yake Putin ana asili ya Uyahudi/Jewish. Na pia Waziri mkuu wa sasa wa Russia naye inasemekana ana asili hivyo. Ukiangalia tangu miaka ya nyuma Urusi imekuwa na mawaziri kadhaa wayahudi.
 
Hivi vitisho vyake vishazoeleka,angebofya kitufe cha Nyuklia siku ile kama kweli kadhamiria
ile amri ya kuweka tayari kikosi cha nuclear putin aliteleza maana imefny wengi wafikirie utimamu wa mind yake, why atishie nukes? naona kina lavrov na shoigu wakawa wanahangaika na damage controll
 
hayo masuala hatakama kweli wanania nayo nakama wanataka kuyafanya basi sio marahisi wala mepesi kama unavyodhania MKUU
hayo mambo yanaweza kuchukua hata miaka 50 nazaidi natena yanaweza kuchukua ama kuondoka hata na roho za watu ndio yafanikishe
 
Acheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .
Nadhani watu wanatumia maneno kama hayo kama utani na kumdhihaki lakini hakuna sehemu alipo sema hivyo.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni best comment ever so far worth more than billion dollars thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…