Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Na hicho ndo wanahofia kuingia battle ya moja kwa moja dhidi ya mrusi maana 80% ya silaha anazo tumia Ukraine niza NATO na hazijaonesha upinzani wa maana dhidi ya silaha za Russia ambae anapiga kwa kubembeleza ukitoa moto wa jana alio tembeza hadi Zelenskiy akakimbia kyiv.Mkuu wanajua sana kwamba unataka kuwaingiza maji marefu ambayo yatawa angamiza. Wao ni propaganda tu kwenye nchi maskini kama zetu. Russia ni hatari sana kwa wanyonyaji.
Yani mkuu mimi naamini hao NATO wakiongozwa na USA wanafanya majaribio ya technology zao wanazoziamini na za juu kabisa hapo Ukraine na wanashangaa jinsi ambavyo Russia anazi neutralize ama kuziharibu kirahisi na kwa technology ambayo ni simple tu kwa Russia.
Ndo hivo mkuu, kwenye ule ukanda wa Asia N.korea pekee ndo anauwezo wa kutumia anga la nchi jirani yeyote na wasimfanye kitu zaidi ya kulialia kwa bwana wao USA. Mfano ni huyo Japan juzi kati hapo.Sijui kwa nini hii post nimesoma mara mbilimbili nikakumbuka NK kwenye anga la japani.
Tuwauzie vibatari ( koroboi) na mafuta ya taa ya kibabaView attachment 2383982
Ramani ya sasa ya nchi ya Ukraine baada ya majimbo 4 kujitenga.
Inasemekena pale limedondokea tu baada ya kuishiwa sijui mafuta bas hata najua labda pro nato watusaidie limepigajeWanasema makombora ya Urusi hayana shabaha. Yamepigaje hiyo plant?.
Kwa hisani za kiwanda Cha propaganda wingredha.Ukraine wako vizuri kwenye huduma za dhalura fashisti dikiteta shetani wa urusi ni Kama anapiga maji upepo [emoji16]View attachment 2383885View attachment 2383886
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
No honor among thieves[emoji736][emoji298][emoji298][emoji298]In Poland, they are dissatisfied with Ukraine's decision to stop exporting electricity from 11 October and recalled that the terms of the contract must be respected
the friendship among the shits is over[emoji298][emoji298][emoji298]
Sasa waingie uwanjani, taratibu ila wasitumie nukes.NATO yakiri kuwa ushindi wa kishindo wa Urusi vitani Ukraine utakuwa ni kugalagazwa vibaya (kushindwa kubaya) kwa NATO
View attachment 2383933
Kama safari sibza lazima kipindi hiki si kizuri sana kutembea ulaya mashariki na mashariki ya mbali.Sijui kwa nini hii post nimesoma mara mbilimbili nikakumbuka NK kwenye anga la japani.