LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huna akili pathetic!!
 
Vita vya kiuchumi ni vibaya zaidi kuliko vita vya makomborà.Assume Upo Moscow,kwenye Account unazo dollar milioni Halafu Huwezi kutoa bank Wala kununua kitu chochote supermarket.
 
Usemacho ni kweli kabisa.Kwasasa nikitaka kupata uhalisia kuna page moja kule Istagram inaweka uhalisia ya pande zote mbili,kuna clip kibao ambazo baadhi pia zimeshaletwa hapa mambo ni magumu kotekote na si kama tunavyotaka kuaminishwa hapa na Pro Russia wa JF na clip za upande wanaoushabikia.
 
Mambo yangekuwa magumu kwote kwote rais wenu asingekimbilia Poland
 
A Russian plane landed at Washington D.C.s Dulles Airport to take away Russian diplomats that were expelled from the UN. The plane was granted special permission to enter U.S. airspace following a ban of Russian jets.

#CGTNAmerica
 
Wanaita military operation kwao hii siyo vita just military operation.
Eti just military operation,ndiyo ufikie hatua ya kuamrisha waliopo kwa Nyuklia kukaa standby halafu ulete blah blah za military Operation? Btw ule msafara wetu wa 60km umefika wapi kwa sasa?
 
Kiduku yeye hana nyimbo tena,ngoja kwanza tunamshughulikia Baba yake Putin,si unaona kageuka kuwa motivational speaker anawatia moyo watu kuhusu maswala ya ki uchumi.
 
Eti just military operation,ndiyo ufikie hatua ya kuamrisha waliopo kwa Nyuklia kukaa standby halafu ulete blah blah za military Operation? Btw ule msafara wetu wa 60km umefika wapi kwa sasa?
Ule msafara umeishiwa fuel na chakula.
Ukraine wanaweza kuuharibi wakati wowote.Walidhani wanakwenda harusini😂😂😂
 
Russia bila maNyuklia ni wachumba TU.Kwenye hii vita wangekutana na nchi yenye mifumo thabiti ya kujilinda na makombora na yenye silaha za uhakika, wangekuwa wameshamalizika.
Ukraine lilikuwa jambo la Soviet union,ni sawa na Zanzibar iisumbue Tanzania bara.Wangekutana na nchi iliyokamilika kama ufaransa au uingereza, Russia wangeomba poo!!
 
Umewahi kuvita bangi ukiwa chooni.
 
Hiyo ndege inalindwa kwa hisani ya Satan 2, Biden anaishia kuimezea mate tu kwani anatamani aikamate ili kushinikiza Putin aache kuichachafya Ukraine
 
Hili suala la ushoga fungulia Thread yake.Hapa tunaongelea Thread inayoongelea yanayojiri vita vya Ukraine.
Usihamishe mada!
ukrine kwa sasa ipo chini ya mrusi hakiingii kitu bila ruska ya urusi .zelensky kakikili nato waoga kilibaki ni vita za video za propaganda zidi ya warusi. wanaume wa ukraine wanavaa nguo za kike kisha kukimbia vita si mchezo kuhusu vita ya uchumi nakukumbusha urusi sio tandaimba au kwa mtogole rejea iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…