Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Duuuh,kweli hizi ndio akili mfu!Kama huna furaha kwenye maisha Yako ni wewe,wengine tumeridhika and we are happy!Pole sana kama unajiona msindikizaji kwenye haya maisha!huna uwezo wa ku adjust na huji kuwa kamwe hapa unasema kama wakatika kichwa
babu zetu, mimi na wewe hatuishi na hatujawahi kuishi sema tunasindikiza
unaishi unakula ugali, umerogwa wewe
Kuna comment moja kwenye hi post inasema hivi... [emoji116]
Mazoezi ya kawaida kama yale ya Putin mpakani mwa ukraine mwezi februaryNATO kuanza mazoezi ya kawaida ya Nyukilia pembezoni kwa fukwe za Ukraine... chanzo kinasema ni mazoezi ya kawaida tu hayana tafsiri yoyote na vita ya Urusi na Ukraine.
kama hutaki habari hii - logout
View attachment 2384734
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg speaks during a news conference at the alliance's headquarters in Brussels, Belgium on September 30, 2022 [File: Yves Herman/Reuters]
NATO head Jens Stoltenberg says the Western military alliance will go ahead as planned with its annual routine nuclear deterrent exercises, scheduled to be held next week amid rising tensions with Russia over the war in Ukraine.
The drills, dubbed “Steadfast Noon”, are held annually and usually run for about one week. They involve fighter jets capable of carrying nuclear warheads, but do not involve any live bombs. Conventional jets along with surveillance and refueling aircraft also routinely take part.
Waandamanaji gani wakati walikuwa waasi equiped with weapons!Waulize wanachama wa baraza la usalama la Umoja waliopigia kura azimio namba 1973 (2011) kuruhusu nchi zozote zenye uwezo kijeshi kuzuia serikali ya Gaddafi kuua raia wake waandamanaji kutokea angani na ndege au makombora.
Mkuu aliesema history ya jana na ya leo ni sawa kwenye Maisha ni nani? Ebu angalia Maisha YAKO binafsi miaka kumi iliyopita na Sasa Kwako ni sawa?USA alipigwa na askari wasio na viatu Vietnam, akadundwa na wavaa makobazi Afghanistan, akapigwa Syria na Somalia. Huko kote serikali iliwambia nini wapiga kura?
unasema kama sina furaha ni mimiDuuuh,kweli hizi ndio akili mfu!Kama huna furaha kwenye maisha Yako ni wewe,wengine tumeridhika and we are happy!Pole sana kama unajiona msindikizaji kwenye haya maisha!
Kuna watu wana utajiri mkubwa ila hawana furaha,wanaishia kupata msongo wa mawazo na kujiua!Angalia nchi zinazoongoza Kwa suicide,ndio hizo ambazo wewe Unadhani unawasindikiza kwenye maisha!
Eti unadharau ugali,wakati Mimi hakuna chakula ninachokipenda Kwa lunch kama ugali,kanyama pembeni na mbogamboga bila kusahau pilipili na limao,nikishushia na maji baridi halafu narudi kutafuta Ili kesho Nile Tena ugali!
Inawezekana hatukuyauliza sababu hatukuyaonaHayo madai mnaweza waomba pro Russians wenzenu watafute yalipotokea. Hata humu yapo sana tu sijui kwanini hamkuuliza yaliyotolewa mnauliza miezi kadhaa yakiwa hayakutimiaView attachment 2384625