Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo mkuu huyo memba wa jf ambaye unamtumia kama ushahidi wako siku hizi ana cheo ndani ya serikali ya Urusi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sikutegemea kama T14 Armata sikumoja angeweza mtumia memba wa hapa jf kama vvd yake

PUT IN kamatia hapo hapooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sikutegemea kama T14 Armata sikumoja angeweza mtumia memba wa hapa jf kama vvd yake

PUT IN kamatia hapo hapooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo milipuko inaendelea huko Kherson na Zaphorizhia ambako Urusi anasema ni ardhi yake.

Sasa ardhi yake inazidi kushambuliwa tuone nini atafanya zaidi ya kurusha rusha tukombora hovyo na kuua raia pasipo athari ya jeshi la Ukraine.
 
unasema kama sina furaha ni mimi

hapo hapo unanishangaa kudharua ugali hahaha we jamaa umeme mdg kichwani
Wewe si umejiita msindikizaji kisa tu ni mtanzania,unaona wanaoishi ni WA huko Ulaya na Marekani!
Unahisi ukila ugali basi huna maisha,naweza nikaagiza ugali,na wewe ukaagiza hizo hizo burger lakini kumbe Nina uwezo kiuchumi kuliko wewe!Kuna watu bongo wana mazuri kuliko hao unaowaabudu!
 
[emoji779]️In Russia, the cost of electricity is at the lowest level in Europe — Putin

[emoji779]️Russia is among the world leaders in resource extraction — Vladimir Putin
PUT IN kweli alikua KGB

Jamaa katoa hii hotuba kulingana na gharama za nishati huko EU

Jamaa kawaonesha raia wakawaida wa EU kua RUSSIA sio shida akawaonesha shisa ilipo

Anachokifanya ama alichokifanya PUT IN nikuwaonesha raia wa EU kama wapo salama mbele za RUSSIA kama wataachana na ujinga wa US

PUT IN anatumia kauli kuwagombanisha raia na viongozi wao huko

Acha tuzidi kuupa muda nafas

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Russia blames Ukrainian intelligence chief for Crimea blast: AJ Correspondent​


“They also mentioned that the explosives – 22,770 kilograms of explosives were shipped in August from the port in Odesa, first to Bulgaria, and that’s when it was put on that truck that crossed through Bulgaria, Armenia, Georgia and inside the Russian Federation itself,” Vall said.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sikutegemea kama T14 Armata sikumoja angeweza mtumia memba wa hapa jf kama vvd yake

PUT IN kamatia hapo hapooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona anatuamini kila tunachosema sisi ProRussia kumbe. Lakini sasa mbona anajitoa ufahamu kwa mengine?
Sasa aamini
1. Rusia ndio super power hapa duniani.
2. Russia siyo maskini kama wamagharibi wanavyotuaminisha
3.
4...
 
Leo milipuko inaendelea huko Kherson na Zaphorizhia ambako Urusi anasema ni ardhi yake.

Sasa ardhi yake inazidi kushambuliwa tuone nini atafanya zaidi ya kurusha rusha tukombora hovyo na kuua raia pasipo athari ya jeshi la Ukraine.
Kama anaua tu inatosha
Wakitaka wataandamana wamtoe wasipotaka watakufa mpaka akili ziwanyooke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawaambiaga Huyu Zelensky ni kichaa hamuelewi😆😆


⚡️🇺🇸🇺🇦US President Biden has warned Ukrainian President Zelensky that it will be difficult for him to continue asking Congress for money if he continues to be ungrateful. - Washington Post
 
Naona anatuamini kila tunachosema sisi ProRussia kumbe. Lakini sasa mbona anajitoa ufahamu kwa mengine?
Sasa aamini
1. Rusia ndio super power hapa duniani.
2. Russia siyo maskini kama wamagharibi wanavyotuaminisha
3.
4...
Jamaa anatuamini sana kumbe ila basi tuuuu

3.RUSSIA anapigana na NATO
4.RUSSIA akiamua anaipiga hata NATO
5.
6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU hawa US wanatafta namna yakujitoa hawana lolote

Kama wmeamua kumsaidia wamsaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

RUSSIAN MILITARY RADIO BROADCASTS TO CITIZENS IN KHARKIV: "EVACUATE CITY NOW"​



The Russian Army is using regular AM and FM radio to transmit to Ukrainian citizens in the city of Kharkiv. The broadcasts are telling them to evacuate that city immediately.
The military high-powered radio transmitters are even broadcasting directly ON TOP OF what would be the traditional radio stations in that area. The military transmitters are simply over-powering the regular radio stations.
Over the past 48-72 hours, Russian troop build-ups are showing what appears to be "Special Military Operation -Season 2" . . . only with very much more men.
On the map below, the hand-drawn circles in red show the present build-up of Russian forces, and the circles in blue show Ukrainian force locations.

Most of Ukraine's forces are engaged in the southeast of the country. The Ukraine troops to the east of Kharkiv, are now finding themselves squished between two superior Russian force groupings; one in the Belgorad region of Russia itself, the other in Luhansk. They seem to be inside a perfect "Pincer" situation.
Ominously for Ukraine, the sudden and very large build-up of Russian troops in Belarus, to the north and northwest of Kiev, looks very much like what existed when Russia initially began its Special Military Operation into Ukraine. At THAT time, the troops in Belarus, north of Kiev, moved in a 47 mile long convoy toward the city, but stopped without attacking.
It turned out to be a feint; Russia did that so as to force Ukraine to keep essential troops in the north to protect the capital, Kiev, while they moved against targets in the south. This time, however, it seems quite clear that if/when those Russian troops come out of Belarus again, Kiev could be mince-meat.
In addition, the Russian forces toward the top left of the map, also in Belarus, is an interesting build-up. Would they swoop in against Kiev, or will they head due south to Lutsk, Rivne . . . or both?
Stay tuned . . .
 
Hatari sana . Hayo mashambulizi yalikuwa maandalizi tu. UKRAINE Wana Kazi ya kurudisha majeshi yao North nako SASA miundombinu ya kurudi imeharibiwa . Hatari sana
 
Si walisema makombora waliyazuia na mengine yakawa yanapiga barabara.

Sasa hii power outage inatokea wapi Tena..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…