Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wanamgambo wa Ukraine wamechomwa ndani ya ma APC yao hakijabaki kitu kumbe Starlink ili wasaidia sana ona wanadakwa kama kumbikumbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]Mambo yamekuwa magumu kwa Ukraine huko bakhamut
View attachment 2384990
View attachment 2384991
View attachment 2384992
View attachment 2384993
Sawa mkuuMrusi ni mhuni bila kuwatetea Ukrein , amezikaka watu wangapi hasa kwenye maeneo aliokuwa anayashikilia ? Na sio hii tu warusi wanaroho mbaya sana, sipendi vita ila natamani Urusi ifutike wale ni wanyama kwani yule dr shita mwaweza ona alikua anadanganyana ila ukweli hakuna watu wenye roho za ajabu Kama Warusi ,washenzi Sana wale awe mke au mwanaume
Nanukuu [emoji23]Warabu wakivamiwa na wazungu wakiuwawa ni sawa,laikini Putin akipiga wazungu wenzake sio fair.
Wakifa Waafrika na Waarabu ndio saw a.
Putin dondosha nuclear hapo UK tuishi kwa amani.
Kwa hiyo wewe tafsiri ya MTU kuingia Kiev ni mpaka apeleke majeshi?Urusi haijaingia Kyiv, walichofanya leo ni kama wale wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wanavyovurumisha makombora kwenye miji ya Israel
Warabu wakivamiwa na wazungu wakiuwawa ni sawa,laikini Putin akipiga wazungu wenzake sio fair.
Wakifa Waafrika na Waarabu ndio saw a.
Putin dondosha nuclear hapo UK tuishi kwa amani.
acha upumbavu kama huna cha kupost jaribu kua kama mtu mzima basiKichapo kimemchanganya super pawer wa mchongo mpaka anamalizisa hasira kwenye mabembea ya watoto..,na bado ataendelea kupelekewa moto sana tu, [emoji848]View attachment 2385025
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zile kelele za jana leo hatusikii maana asilimia kubwa ya makombora yametunguliwa na drones za iran zimekaangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2384233
Anahisi asipopost chochote atashuka kwenye trending [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]acha upumbavu kama huna cha kupost jaribu kua kama mtu mzima basi
jamaa anamambo ya kitoto sanaAnahisi asipopost chochote atashuka kwenye trending [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yap hiyo ndio maana yake...au aende peke yakeKwa hiyo wewe tafsiri ya MTU kuingia Kiev ni mpaka apeleke majeshi?
Hii itakuwa imepikwa na mpishi jasusi aliyelupua daraja la Crimea.Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .
Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006
Utu sio udhaifu bro! At least Putin isn't Coward like them. The man is Powerful yet is humble, Intelligent, Wise after all He knows anapigana na wakina nani that's why he don't give a fu*** kw raia wa kawaida.Mimi hapa kwa kweli Putin ananiangusha! Alitakiwa awe amedondosha mbili hapo UK fasta ndo wazungu wangepata akili.
Kwa sasa bado wanahisi Putin ni dhaifu kumbe mwamba hapendi tu kuua raia wasiyokuwa na hatia, tofauti kabisa na Marekani au Uingereza wenyewe.
Imekuuma nduguacha upumbavu kama huna cha kupost jaribu kua kama mtu mzima basi
Jamaa sasa hivi anavaa kama shake Bob maana awezi kuvaa suti,ilihali haijui hata sekunde ya Wananchi wake itakuwaje.Kuna comment moja kwenye hi post inasema hivi... [emoji116]
Zelensky is hiding? But which version? 1.0 or 2.0
View attachment 2384739
sasa wewe ukiangalia huyo jamaa amepost ni cha kuniumiza. Zaidi ya utotoImekuuma ndugu
Yah hata vikiisha Leo hicho kitakaochogunduliwa kama mbadala wa mafuta na gas,kinahitaji rasilimali kukiwezesha na hizo rasilimali UE hana bado tu itabidi ajikombe kwa Russia mwenye rasilimali lukuki.Waambie hao ambao wanaamini maisha Ulaya hayawezi kuendelea bila gesi ya Urusi.
Hawajui gesi na mafuta vitaisha hapa dunia kuelekea mwisho mwa karne ya 21 na binadamu wataendelea na nishati nyingine mbadala.
πππ we jamaa una matusi flani mazito sana ila ya kistaarabu kama MedvedevNi 'bots' tu kama wakina flani ambao wako programmed kwenye vichwa vyao ambao kwao to any "code" nje ya kile "developer" wa mindset zao alichokiweka hawawezi ku-execute chochote!