Putin is trying to freeze millions across Europe? Europeans are freezing because of stupid decisions made by their crazy and lunatic leaders.The best thing they can do to themselves is to raise up and evict their lunatic leaders from their offices,otherwise this Winter will be hell for them.Orban, the Prime Minister of Hungary,is the only sane leader in Europe I must admit.I should say though,that the window of opportunity is closing in fast,so it is now or never.View attachment 2385265
According to the Daily Mail, Putin gave his coat to keep the leader of Abu Dhabi warm... while trying to freeze millions across Europe.
Let's remember Viktor Orbán's proposal. We hope that Europe will not insist on a new package of sanctions, but negotiate with Russia, instead of blaming it for the future "freeze".
Jamaa watachekwa sana na vizazi vijavyoJana nimeona magari ya police huko France yanasukumwa barabarani baada ya kuzimika sababu ya wese,na wamepunguza patrol huko mtaani.
Sasa ivi utasikia maandamano ya wa saudi wakitaka kuchagua viongozi wao mambo ya ufalme yamepitwa na wakati.Biden made it clear there will be dire consequences for the Saudis, and the OPEC+ decision was a mistake - White House
Hivi ni mie tu au vipi? Naona kama hii itazidi kuisukuma Saudia kwenye bloc ya Iran-China-Russia hasa tukizingatia siku za karibuni kumeanza kua na maelewano baina ya Iran na Saudia.
Na endapo UAE na Saudis wakienda mazima Upande wa Eastern Bloc kisha akawa afanya biashara nao kwa their national currencies itachochea zaidi kuporomoka ama kupoteza zaidi kufa kwa petro-dollar. Na atakaye benefit zaidi ni China kwa Yuan yake.
Dementia Joe anahisi bado tupo karne ya 20 kila kitu anakipeleka kwa ubabe na vitisho [emoji23]...
It's 21st century bwana, zile za chagua upande imepitwa na wakati. Sasa ni kumwaga mboga wamwage ugali hadi akili ziwakae sawa!
Kwa Iki ulichoandika? Unadhani nani ndio anaehatarisha amani Duniani. Ndio maana tunaona Bora multipolar world.Sasa ivi utasikia maandamano ya wa saudi wakitaka kuchagua viongozi wao mambo ya ufalme yamepitwa na wakati.
Na hapo ndipo MBS atajua kuwa hajui.
Huyo anavaa diapersMbona unatetea sana ushoga? We raia wa wapi kwani? Au ushaolewa tyr au lazima una boyfriend wa kizungu
Haha..wewe jamaa hadi nakuonea huruma...unateseka sana..angalia usijepata msongo wa mawazo...huu ugomvi utaendelea kuwepo sana tuWarusi 700,000 wameikimbia Russia mpaka sasa, wanakanyagana kwenye mipaka ya Finland, Georgia, Estonia na Latvia kuingia EU.
Bwana tazamaTazama drones operator wanavyo kaanga vijana na silaha za mrusi hawa jamaa ni hatari hawana huruma