Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee unanikonga numbura kwa coments na ufahamu wako. Si huku tunakula mabumunda maisha yanaenda
 
Kwanza kwa sasa hakuna Eastern block. Eastern bloc ilikufa rasmi mwaka 1991 ilipoanguka USSR.

Pili, Iran, Russia na Saudia wote wanauza mafuta na gesi. Bloc yoyote na Mchina yeye ndio atakenua meno sana sababu ataongezeka soko la bidhaa zake za viwanda huku akipata mafuta kwa bei rahisi ya kutupa.

Tatu, Petrodollar haifi leo wala kesho kwa sababu hata mafuta aliyotumia boda wa mchepuko wako leo kukufuata yalinunuliwa kwa dollar huko popote yaliponunuliwa[emoji16]
Reserves kubwa zaidi ya fedha za kigeni za China yenyewe ambayo ndio inaongoza kwa reserves kubwa zaidi duniani iko kwenye US dollars[emoji16]
Amka kwenye ndoto unazoota mchana baada ya kusoma vi-makala viwili vitatu vya conspiracies[emoji16]
 
Drones za Iran zinazidi kuleta shida...

Baada ya drones za Iran kuua magaidi ya Ukraine, EU Foreign Ministers wanapanga kukutana wiki ijayo jumatatu kujadiliana namna ya kuiwekea vikwazo Iran.

Je, wakishaweka hivyo vikwazo ndio drones zitaacha kuwaua...?

 
Wanunue na wenyewe si Wana za mturuki mbona Russia na Edorgan washkaji tu
 
Deputy Prime Minister of Ukraine Stefanishyna acknowledged NATO's involvement in the Ukrainian conflict: according to her, the special operation gives Russia "experience in actually fighting the NATO army, which has already been trained in accordance with NATO standards ... equipped with the latest NATO equipment"
 
Mimi mpemba fyoko niliyeishia darasa la 7 nafahamu fika huyu mama ni kilaza wa siasa, geographia na utawala. Cha ajabu viumbe tunaoambiwa ni smart wamechelewa kulifahamu hilo.


Tafuteni press conference yake aliofanya na sergei lavrov ndio utagundua ukilaza wa huyo lizi tirusi
 
majaribio ya drone version ya kwanza imekamilika successfully . sasa tuko majaribio ya drone version 2 ...
ukraine uwanja wa kutestia siraha

Iranian sources report that Russia has ordered new Arash-2 UAVs from Iran. The warhead of the new drone is much larger than that of the Geran.
 
fixed....
what pro west do with that highlighted information is up to them
 
Kule linaenda kutokea balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…