Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Medvedev :
Israel seemed to be going to supply weapons to the Kiev regime. A very reckless move.

It will destroy all relations between our countries. I'm not talking about the fact that the Bandera geeks were Nazis, and remained so.
King faisal hii isssue unapata picha gani?

Kwangu ile kauli yako ya tawala iliopo Israel sio Wa-Israel asili wale wahangwa wa Hitler inazidi kupata mashiko.
 
Mafanikio ni makubwa katika drone 43 zilizorushwa 37 zimetunguliwa ni 6 tu zimepenya na kuleta maafa ni mafanikio makubwa sana slava Ukraine

View attachment 2390149View attachment 2390150
Jaman njoo muone kituko huko ha ha ha ha manager milipuko ni mingi imeripotiwa huko mpaka BBC wamesaruti
Screenshot_2022-10-17-15-25-45.png
 
Ila frontline tunawanyoosha mbaya sana tazama video vijana wa Putin tulivyowakaanga leo hii

 
Kauli ya ajabu kabisa....mtu anakudunda na kukugaraza lakini mtu bado anakuja na kusema ulisema utanidunda kwa ngumi tatu tu lakini mbona unenidunda na kuniumiza kwa ngumi 20?!?!

Aaawa wapi, kainchi kadogo tulijua mnakafunika kwa siku tatu kamewatoza makamasi mpaka mnawakusanya wanywa gongo.
 
[emoji779]️Partial Mobilization Has Been Completed In Moscow — Mayor

According to city authorities, the partial mobilization effort in the capital has been completed.

Stations for the mobilized will be closed from Monday and future summons sent to work places and homes will no longer be valid.

Subscribe to RT
 
Wanamgambo wa NATO wameanza mazoezi kwa uoga View attachment 2390164
Wapo sawa kuogopa, Hata ww inakupasa uogope. Iwapo huna ajira, biashara, bidhaa ya mafuta haina uhusiano wowote na wewe basi huna sababu ya kuwa na hofu. Kinyume na hapo BE AFRAID huku ukisali sana jambo hili lisitokee katika zama zako. Watakaopata madhara hafifu ni wale walio kijijini waliozoea maisha ya kulima na kuweka chakula ndani au wafugaji kama masai.
 
Back
Top Bottom