Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Hizi drone za Iran in mziki mzito khaaa
Hii chuma ikiona windo lake tu inashuka kama mshale vileJaman njoo muone kituko huko ha ha ha ha manager milipuko ni mingi imeripotiwa huko mpaka BBC wamesarutiView attachment 2390175
Jf tuangaliwe kwa kipekee U20 wote. Vunjo aruhusiwe kupiga pichaKipaumbele Pro Russia wote wapate warembo watakaobakia wapelekwe Iran
Hujui kituMm nahisi jeshi la Ukraine linatoka fake news wamedungua drone za kamikaze wakati hizo drone zikisha pata target zina jitoa muhanga kwa kujilipua
Cameraman huyo MC wa vitaLeo unaiamini BBC(western propaganda) mbuzi wa albadili wewe[emoji1787][emoji1787]
Ukraine wanakufa 350 hàdi 400 kwa masaa 24 , wanalazimishwa na USA ku advanceHuko Kherson Ukraine inakula kichapo msawazo
View attachment 2390181
Mwanamgambo kakalisha pumbu, hapo yanagonga kyupi yanarudi [emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kakata tamaa baada ya kuona drone hazitunguliki
View attachment 2390190
Nimeamua kukuignore sory bro lakini hamna namna chiefHizi drone za Iran ni hatari sana, zinatusumbua mno.
Tuonyeshe ushahidi kuwa ziliwahi kuwa deployedHizo kamikaze ziliingizwa mwanzoni kabisa mwa vita zikafeli.
All goals achived BADO kusagadaga ma viwanja ya ndege[emoji298]️Russia's Armed Forces strike military command & control facilities, energy systems of Ukraine - all goals were achieved the Russian Defence Ministry stated
BREAKING @RT_India_official
US hawezi kufanya hivyo. Kwenye international geopolitics kitu cha muhimu kupita vyote ni leverage. Saudia ana leverage kwa Us.Kaka US akiamua jambo hasindwi, tunang'oa zile za Saudia si mjeuri - tunazileta kuzi- deploy Ukraine.