D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hali ya mgonjwa IMEBADILIKAAir defence za Ukraine zimefail sana mishale imepenya sana Kiev [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji779]️Watch for explosion as Kiev air defenses fail to intercept Russian UAV
Subscribe to RT
West defence just in paper,most advanced weapon bla,in real scraps
US hawezi kufanya hivyo. Kwenye international geopolitics kitu cha muhimu kupita vyote ni leverage. Saudia ana leverage kwa Us.
Saudia Arabia anaweza kuswitch akaenda urusi for protection but US anamhitaji zaidi saudia ili kuendelea kuipa nguvu dola yake.
hizi ni greenhouse au makazi ya wazungu?😁[emoji779]️Austrians Protest Ukrainian Refugee Tent Cities — Media
Some residents of Vienna are outraged by “disproportionate distribution” of Ukrainian refugees between regions of Austria, according to local media.
Overall capacity for refugee placement has been exceeded by 179% in Vienna.
The influx of refugees has lead to tent camps being erected around the country.
Subscribe to RTView attachment 2390235
Ni furaha iliyoje kuwaona nao wazungu wanaishi kama wakimbizi wa Congo kule kasulu..hizi ni greenhouse au makazi ya wazungu?[emoji16]
Migambo wa Zele wameanza kugeuka bongowood Kwa kutengeneza scene.Leo hii miji inazidi kukombolewa slava Ukraine
😁😁 huku wakisubiri kupewa msosi kwa ratio 😁😁,hio baridi ikianza ikawakuta humo kwny matenti sijui Kama wata-survive.Ni furaha iliyoje kuwaona nao wazungu wanaishi kama wakimbizi wa Congo kule kasulu..
Nimeipenda hiyo kauli yake, na mimi ni lidhani hivo ndo njia peke kwa nini huende misutuni kupigana wakati Kiev ipo intact na miji mingine ipo piga hiyo wata surrender bila shuruti.View attachment 2390264
Are we seeing the last days of Ukraine?
"I am not willing to sacrifice more Russian soldiers in a guerrilla war against fanaticized hordes armed by NATO. We have enough means of power and technology to lead Ukraine to total surrender." Sergei “Armageddon” Surovikin
Hizi ndizo habari tunazopenda kusikia 🤣View attachment 2390264
Are we seeing the last days of Ukraine?
"I am not willing to sacrifice more Russian soldiers in a guerrilla war against fanaticized hordes armed by NATO. We have enough means of power and technology to lead Ukraine to total surrender." Sergei “Armageddon” Surovikin
Duuh nchi nzima imezungukwa na mabomu. Yakianza kupigwa ni vilio kila kona, hakuna pa kukimbiliaView attachment 2390269
Map of Russian missile and drone strikes on the territory of the so-called. Ukraine, at 18:00 Moscow time on October 17