Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Migambo wa Zele wameanza kugeuka bongowood Kwa kutengeneza scene.

Hujiulizi Kwa Nini Russia Haina huyo tuklipu
Sasa mgambo wenu wengi wanatumia viswaswqda na unarecord vip video huna morali ya kupigana muda wote mko kiroho juu mnaweza kukaangwa unapata wapi nafasi ya kurecord[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu kaamua kutokuwa chawa wa Putin, [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
China needs the gas for their winter consumption.

As for the EU it will be bad for them.

[emoji3587][emoji3587] Winter is coming [emoji3587][emoji3587]
The cold hearted white walkers will come out to bite their freezing euro butts real hard.

LoL [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji1787][emoji12][emoji14]
 
Russian Paratroopers Destroy Ukrainian Forces Hidden in Forest

Ministry of Defense footage shows Ukrainian armored vehicles as well as sabotage and reconnaissance groups discovered with the help of drones, and then hit with artillery and ATGM strikes.

Six tanks, eight armored fighting vehicles and six cars were taken out.

Subscribe to RT
 
China needs the gas for their winter consumption.

As for the EU it will be bad for them.

[emoji3587][emoji3587] Winter is coming [emoji3587][emoji3587]
The cold hearted white walkers will come out to bite their freezing euro butts real hard.

LoL [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji1787][emoji12][emoji14]
 
Tutegemee lolote kuanzia sasa, kuna ndege ya jeshi imeanguka kwenye apartment ndani ya mji mmoja huko Urusi... Good timing (unasingizia Ukraine) kisha unadondosha kichapo kama kwenye lile daraja
 
divulging of amateurish in the absence of boms? Sababu hizo other means itakuwa haihusishi wanajeshi kuingia field ili wasiuwawe inamaana ameafiki kuwa anapoteza wanajeshi wanaotumwa field na kuwawa wakati ana njia nyingine.
 
Mkuu gorilla na urban war Kwa zama zetu za kidigitali utapoteza wajeda wengi na itachukua Muda mrefu.

Kwa kujua Hilo UK wamekusanya vijana wengi wa Ukraine wanawatrain urban na gorilla war.

Hivyo ni mtu na risasi na kuviziana. Nadhani wanategemea kyve kuangushwa ili jeshi liingie mtaani kama mujahedina wanashambulia Kwa ambush kuhuni.

Acha wale skadi, US walipoteza wanajeshi wengi walipojifanya kuingia msitu wa wavietcong. Harmageddon Yuko sahihi
 
Ni kweli. Wanajeshi wa Urusi wanakufa, iwapo hakuna namna ya kumaliza hili suala yupo sahihi kuwanusuru na kifo kwa kutumia teknolojia sababu wanayo.

Unatakiwa kuhesabu M100, kwann utumie vidole na mate na kuna mashine hapo ulipo?

Nilichokuwa najaribu kuonyesha ni kwamba, ukiachana na chawa wahusika hawaoni aibu kuadmit kuwa wanakufa kama alivyo admit kiongozi wa Urusi hapo.
 
Tutegemee lolote kuanzia sasa, kuna ndege ya jeshi imeanguka kwenye apartment ndani ya mji mmoja huko Urusi... Good timing (unasingizia Ukraine) kisha unadondosha kichapo kama kwenye lile daraja
Beligrod inachakazwa kila siku na mji Russia [emoji2957][emoji2957]

Kwa nini watafute sababu nyingine wakati beligrod tu inatosha ku- justfy hilo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
T
Beligrod inachakazwa kila siku na mji Russia [emoji2957][emoji2957]

Kwa nini watafute sababu nyingine wakati beligrod tu inatosha ku- justfy hilo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunatafuta pia njia ya kuwafanya Rais wa Urusi wawe na imani na utulivu kwa kile tunachokifanya pale Ukraine.. tunawaweka kwenye line raia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…