Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zile package za silaha zikitolewa muwe mnafatilia jamani kuna Aina mbili kuna silaha ambazo hua zinatolewa toka maghala ya silaha ya Marekani kwenda Ukraine na nyingine hutolewa order kwa manufacturers ambazo huchukua muda mrefu.

Vampire pamoja na zile HIMARS 18 zilitolewa orders Kwa manufacturers,Zile Himars 18 Ukraine itaanza kuzipata baada ya mwaka mmoja na Nusu mpaka miwili ambapo mpaka kukamilika zote inaweza chukua hata miaka mitano au zaidi, hizo Vampire walisema kuanzia miezi Tisa mpaka mwaka.
Tatizo lingine kubwa ambalo linaigharimu Ukraine Ni kwamba, ni kweli wanaletewa silaha, assume 1000 units of HIMMARS ammunitions... Sasa zinakuwa zipo kwenye Depot ya silaha.

Russia anarusha hypersonic 1 tu anaenda kuharibu ammunitions Kama 500 units hapo kwenye Depot.

Sasa kwa namna hii, lazima Ukraine awe na uhaba wa silaha. Ni lazima kila siku atakuwa analalamika kwamba silaha hazimtoshi.

Kingine tukumbuke Ukraine yeye hatengenezi silaha, zaidi ya kuomba na kuletewa.

Hapa Kuna issues za logistics/lead time za hizo silaha kumfikia. Na hili ni tatizo lingine pia.
 
Kuna mfumo wa silaha unaitwa " vimpire" ulipigiwa chapuo sana hapa jukwaani kwamba ni kiboko ya drones..,au zilikuwa tu fix?
Muda mwingine hatuna budi kushtukia kile tunachokisikia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
L3Harris reveals delivery timeline for VAMPIRE systems for Ukraine

Written by Jon Harper
Aug 26, 2022 | FEDSCOOP
L3Harris expects to deliver its new counter-drone system to Ukraine within nine months of being put under contract, the company told FedScoop.

The Vehicle-Agnostic Modular Palletized ISR Rocket Equipment (VAMPIRE) technology was part of a broader $3 billion military aid package announced by the Biden administration earlier this week.

However, when the new weapons tranche was first announced Wednesday, it was unclear how long it would take for the VAMPIRE and other systems to be delivered because the technologies will be procured from contractors through the Ukraine Security Assistance Initiative (USAI) fund rather than from a drawdown of Pentagon stocks, which had been the practice for most previous tranches of U.S. military aid to Ukraine since Russia’s invasion in February.

L3Harris reveals delivery timeline for VAMPIRE systems for Ukraine
 
A curious assessment of the meaning of the use of Iranian UAVs in Ukraine from Israeli experts: “UAVs carried out attacks in the skies of Ukraine - and this is a cause for concern in Israel. The use of Shahed-136 can make a big difference in winter, and if the Russians launch swarms of UAVs, the Ukrainians will be in trouble. Iran, which is also expected to supply missiles to Moscow, will use the data to improve accuracy.
 
Nimeanza kuwaonea huruma Ukraine, ile huruma ya kibinadamu kabisa. Kwa sasa Ukraine wanapigwa kiev kipitia drones. Pale kiev kuna jeshi, na mamluki wa Nato wanaotoa mafunzo kwa ukraine lakini hawawez kufanya lolote pale.

Drones haziui watu, ila zinapiga miundombinu muhimu na ya kimkakati ili kupunguza nguvu ya serikali na jeshi. Sasa hivi jijini Kiev umeme ni shughuli pevu, huwez kusikia haya kwenye vyombo vyao vya habari.

Ikiwa kipigo hiki kitaamia kwenye miundombinu ya maji, barabara, viwanja vya ndege na reli bas Ukraine hawatakua na jinsi zaidi ya kujisalimisha. Maana silaha zitasafirishwaje? Watu wataishije bila uhakika wa umeme na maji? Yale yanayotokea huko kongo yanahamia Ulaya.

Kwa maoni yangu, Ukraine asiposhtuka mapema, yatamkuta ya libya au syria. Nchi itagawanyika vipande vipande na itakua ngumu kurudia pale ilipokuepo. Kama hawana uhakika wa kushinda vita hii wakae chini na urusi, najua wanapewa kiburi na west ila wajifunze kwa wengine west hawana urafiki wala uadui wa kudumu, bali masilahi ya kudumu muda utafika wataachwa kwa namna ambayo hawtaamini.
 
Nimeanza kuwaonea huruma Ukraine, ile huruma ya kibinadamu kabisa. Kwa sasa Ukraine wanapigwa kiev kipitia drones. Pale kiev kuna jeshi, na mamluki wa Nato wanaotoa mafunzo kwa ukraine lakini hawawez kufanya lolote pale.

Drones haziui watu, ila zinapiga miundombinu muhimu na ya kimkakati ili kupunguza nguvu ya serikali na jeshi. Sasa hivi jijini Kiev umeme ni shughuli pevu, huwez kusikia haya kwenye vyombo vyao vya habari.

Ikiwa kipigo hiki kitaamia kwenye miundombinu ya maji, barabara, viwanja vya ndege na reli bas Ukraine hawatakua na jinsi zaidi ya kujisalimisha. Maana silaha zitasafirishwaje? Watu wataishije bila uhakika wa umeme na maji? Yale yanayotokea huko kongo yanahamia Ulaya.

Kwa maoni yangu, Ukraine asiposhtuka mapema, yatamkuta ya libya au syria. Nchi itagawanyika vipande vipande na itakua ngumu kurudia pale ilipokuepo. Kama hawana uhakika wa kushinda vita hii wakae chini na urusi, najua wanapewa kiburi na west ila wajifunze kwa wengine west hawana urafiki wala uadui wa kudumu, bali masilahi ya kudumu muda utafika wataachwa kwa namna ambayo hawtaamini.
Nachokiona hapa ni kwamba, kwa huu uharibifu wa miundombinu ya umeme, kipindi hiki cha winter, nchi za Ulaya zitakumbwa na tatizo kubwa Sana la wakimbizi

Kwa sababu, raia wa Ukraine hawawezi kukaa hapo Ukraine huku waki freeze to death, lazima watafute alternative, na alternative ni kukimbia tu.
 
Suala la kupunguza uzalishaji wa mafuta sio kama kukomoa hapana ila ni kwasababu zifuatazo. Hawa OPOC na OPEC + wana agreement ambazo wamekubaliana na ziko signed. Swali ni kwanini wanapunguza uzalishaji?? Lengo ni kumsaidia Mrussi? Au kumkomoa mmarekani??

Ipo hivi Russia ndo muuzaji mkubwa wa mafuta na Gas Ulaya nitabase na mafuta. Wote tunajua Russia anavikwazo kwenye suala la uuzaji wa mafuta, suala la kupata mafuta nje na Russia lilikua jepesi sana kwa Upande wa EU au kupata mbadala wa mafuta kwasababu walikua wanachukua uarabuni na nchi zingine.

Kilichotokea ni kwamba hizo nchi ziliongeza uzalishaji wa mafuta ili kufidia gap la Mrussi na mafuta yalianza kwenda Ulaya hapa Ndo kiburi cha EU kwenye mafuta kilikua waziwazi tofauti na gas walijikuta wanatumia pesa mingi sana. Hata huko kwetu Africa mafuta yalianza kushuka bei toka 3450- 2850 kwa sasa hizo nchi zilikua pressurized na Wests.

Nini kimetokea mpaka wameamua kupunguza production? Uzalishaji wa mafuta unafanywa kulingana na wateja ulionao au tuseme demand kwa ujumla ndomana unakuta Russia ni mzalishaji wa 2 wa mafuta, saudia anafata kuna Iran, kuwait, Venezuela na nchi kibao hawa wote wanatofautiana kwenye level ya production.

Walichofanya wameamua kurudi kwenye level zao za mwanzo za uzalishaji maana yake gap la Mrussi litaonekana maana yake sasa Ds>Ss hapa ndo beo zitaanza panda kwa kasi tutegemee huku kwetu mafuta kupanda zaidi. Ukiangalia hakuna sababu ya vikwazo kwa Russia zote ni siasa.

Kinachomchanganya US ni kuwa bei zitapanda sana za mafuta kwasabu yeye ndo mtumiaji mkubwa wa nishati hii hapa atalazimika kutoa reserve yake kwa kasi zaidi, au atalazimika kutoa vikwazo . Lengo kubwa hapa naona ni kuondolewa kwa vikwazo kwa Russia afu kingine kilichomboa Russia walivyoanza kuset Price-cap hapa ndo wamesababisha yote.

Wazalishaji wote wamekubaliana kushusha what’s next??? Maana atakaenda kuumia ni EU.
On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?

1. US anakusudia kupitisha mswada ambao una lengo la kupunguza nguvu za OPEC+ kwenye control ya soko la mafuta duniani ijulikanayo kama NOPEC bill. Pia US ana mpango wa kuongeza mwenyewe supply ya mafuta kwa kuachia kiasi kutoka kwenye hifadhi yake kimkakati.

2. Mataifa ya ulaya yanataka kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya urusi. Maamuzi ya Opec+ yanatafsirika kama faida kwa urusi kwamba itamfanya auze kwa bei ya juu. Sasa EU wakiweka ukomo wa bei wanakusudia kuzuia hilo. Swali ni je watawezaje kupanga bei ya bidhaa anayouza mtu mwingine again tunarudi pale kwenye leverage.

Mfano mojawapo ni bima. Bima kwenye usafiri wa majini ni kitu muhimu sana. Ajali ya meli moja inaweza kuifilisi kampuni nzima ya usafirishaji wa meli/maji. Sasa basi, Kampuni moja ya ulaya/London ni kampuni tanzu inayomiliki makampuni mengine 13 ambayo kwa pamoja yanafunika zaidi 90% ya bima za majini (marine insurance) kwa makampuni yote ya meli duniani. Ikiwa ulaya watapitisha price cap kwa mafuta ya urusi itakuwa na maana ili tanker ya kampuni fulani ipewe bima na makampuni haya ya bima ya ulaya itabidi kwenye paperwork wawasilishe taarifa zitakazoonesha mafuta hayo wameyanunua kwa bei kiasi fulani na endapo bei hiyo inazidi ile iliyopangwa na ulaya hawatopewa bima. So kwa namna fulani itakuwa ni ngumu kwa makampuni ya meli kusafirisha mafuta ya urusi.

Wakati huo huo Bwana Putin alishasema hawatauza mafuta yao kwa bei ya hasara meaning hawatafuata bei elekezi itayopangwa na ulaya.

Geopolitics ni kama mchezo wa chess. Unasukuma kete yako mara moja unasubiri mwenzako naye zamu yake. Sisi huku nje tunatizama tu mchezo unavyoenda
 
Reporting on Kherson:
No active operations have been noted in any direction. The enemy is regrouping, bringing ammunition, and conducting reconnaissance. There are signs of preparation for another offensive. Fighters from Rosgvardiya units destroyed 1 enemy DRG and 2 observation posts in the Avdiivka direction.
 
😆😆😆😆😆


20221017_215547.jpg
 
On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?

1. US anakusudia kupitisha mswada ambao una lengo la kupunguza nguvu za OPEC+ kwenye control ya soko la mafuta duniani ijulikanayo kama NOPEC bill. Pia US ana mpango wa kuongeza mwenyewe supply ya mafuta kwa kuachia kiasi kutoka kwenye hifadhi yake kimkakati.

2. Mataifa ya ulaya yanataka kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya urusi. Maamuzi ya Opec+ yanatafsirika kama faida kwa urusi kwamba itamfanya auze kwa bei ya juu. Sasa EU wakiweka ukomo wa bei wanakusudia kuzuia hilo. Swali ni je watawezaje kupanga bei ya bidhaa anayouza mtu mwingine again tunarudi pale kwenye leverage.

Mfano mojawapo ni bima. Bima kwenye usafiri wa majini ni kitu muhimu sana. Ajali ya meli moja inaweza kuifilisi kampuni nzima ya usafirishaji wa meli/maji. Sasa basi, Kampuni moja ya ulaya/London ni kampuni tanzu inayomiliki makampuni mengine 13 ambayo kwa pamoja yanafunika zaidi 90% ya bima za majini (marine insurance) kwa makampuni yote ya meli duniani. Ikiwa ulaya watapitisha price cap kwa mafuta ya urusi itakuwa na maana ili tanker ya kampuni fulani ipewe bima na makampuni haya ya bima ya ulaya itabidi kwenye paperwork wawasilishe taarifa zitakazoonesha mafuta hayo wameyanunua kwa bei kiasi fulani na endapo bei hiyo inazidi ile iliyopangwa na ulaya hawatopewa bima. So kwa namna fulani itakuwa ni ngumu kwa makampuni ya meli kusafirisha makampuni ya urusi.

Wakati huo huo Bwana Putin alishasema hawatauza mafuta yao kwa bei ya hasara mwaning hawatafuata bei elekezi itayopangwa na ulaya.

Geopolitics ni kama mchezo wa chess. Unasukuma kete yako mara moja unasubiri mwenzako naye zamu yake. Sisi huku nje tunatizama tu mchezo unavyoenda
Makampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale duniani.

Haya makampuni hayawezi kukubali hata siku moja kuongeza production ya Mafuta (kuongeza supply), maana kwa kufanya hivyo ni wao kuishia kutopata faida kubwa wanayoipata Sasa hivi. Kwa hiyo tatizo la kwanza linaanza kwenye hayo makampuni makubwa ya US.

Swali ambalo mimi najiuliza, kwa Nini wao US wasianze kuyachimba Mafuta yao na kuondokana na hii price increase, badala yake wanakimbilia kuweka mavikwazo, kwa Nini wasiamue kuchimba Mafuta yao?
 
Ni kweli. Wanajeshi wa Urusi wanakufa, iwapo hakuna namna ya kumaliza hili suala yupo sahihi kuwanusuru na kifo kwa kutumia teknolojia sababu wanayo.

Unatakiwa kuhesabu M100, kwann utumie vidole na mate na kuna mashine hapo ulipo?

Nilichokuwa najaribu kuonyesha ni kwamba, ukiachana na chawa wahusika hawaoni aibu kuadmit kuwa wanakufa kama alivyo admit kiongozi wa Urusi hapo.
Hakuna aliyewahi kudai kwamba warusi wao hawafi. Kilichowahi kupingwa ni kufa kwa wingi unaoripotiwa na kiev. Urusi kupitia wizara ya ulinzi walisema kbs mpk sasa hv wamepoteza wapiganaji 5k. 5k is a lot especially ukiwa unazungumzia roho za watu.

Kiev wao wanasema warusi waliokufa mpk sasa ni 60k.
 
DRONES ZA IRAN ZAWAKIMBIZA WAANDAMANAJI KWENYE UBALOZI WA IRAN NCHINI UKRAINE.

Waandamanaji mjini kiev waliandamana na kwenda kwenye Ubalozi wa Iran mjini humo huku wakionyesha mabango yaliyoandikwa kuwa Iran inaunga mkono ugaidi.

Wakati waandamanaji hao wakiwa Ubalozini hapo, walisikia sauti za drones za Iran zikiwasiri eneo hilo la ubalozi na hatimaye waandamanaji hao wakatimua mbio na kuondoka Ubalozini hapo na drones za Iran zikaondolewa eneo hilo la Ubalozi,[emoji23][emoji23][emoji23]
Credit : Kilimanjaro news.
FB_IMG_1666035336129.jpg
 
Makampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale dunian...
Kwanini US asichimbe mafuta yake!? Jibu ni kwamba

2. Kwa nchi kama us kutokana na level ya demand ya mafuta na umuhimu wa mafuta kwenye uchumi wake ni hatari kutokuwa na uhakika wa bidhaa hiyo. Akichimba na kuexhaust reserve yake baadae aje awe tegemezi wa middle east na nchi nyingine ni hatari kwani yanaweza kumkuta yanayowakuta EU kwa kuwa tegemezi wa gesi ya urusi

1. Technolojia. Technology inayotumika kuchimba mafuta US ni ghali kidogo ukilinganisha na ile ya mashariki ya kati hususani Saudia. Hivyo kama lengo la kuongeza kuchimba mafuta ya US ni kuziba pengo la supply ili kushusha bei basi lengo hilo halitafikiwa as bei itaendelea kuwa juu kutokana na gharama za uchimbaji/ uzalishaji kuwa juu kutokana na teknolojia ya uchimbaji. Pia nchi kama saudia wao wana advantage ya kuchimba kwa gharama nafuu na hivyo hutumia hiyo kama kigezo cha kuzidiscourage nchi nyingine zisije kumuharibia dominance yake kwenye soko la mafuta. Mf US akianza kuzalisha tu basi saudia anaongeza uzalishaji mara dufu kuzivuta bei chini makusudi ili kumtoa kwenye reli US ambaye anatumia teknolojia ya ghali na hivyo bei kuwa chini kwake inakuwa ni hasara.

Hapa kwenye nishati come winter mambo m2ngi sana yatabadilika. Tutaona ambayo hatujawahi kuyaona
 
Back
Top Bottom