Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna mfumo wa silaha unaitwa " vimpire" ulipigiwa chapuo sana hapa jukwaani kwamba ni kiboko ya drones..,au zilikuwa tu fix?
Muda mwingine hatuna budi kushtukia kile tunachokisikia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Mkuu,wengi wanao piga chapuo ni makanjanja tu, lakini linapokuja suala la sayansi na teknolojia kichwani weupe kabisa ,wenyewe wanachukulia kwamba ili mradi kasema Mmerikani na silaha inatoka Merikani bila shaka wanacho kisema Wamerikani kitakuwa ni Gospel truth, unaweza kubishana nao usiku kucha na matusi juu!!
 
Kuna mjinga atapigwa threesome kabla ya december
1666063838941.png
 
Hizi drone za kamikaze lifespan yake ni shambulio moja tuu.

Hazishambulii kwa masafa marefu, zenyewe lazima ziingie kwenye zone ya adui, zinakuwa juu kusoma ramani zikisha identify target zinashuka kama mwewe kushambulia.

Baada ya kushambulia zinakuwa 50/50 kutoka salama kwenye zone ya adui.

Russia amenunua kamikaze 2900 kutoka Iran. Kwa maana kamikaze zitafanya mashambulio 2900.
KAONGEZA 4200
 
Bidhaa yako usa anawezaje kupanga bei na hao nduguze?

OPEC wameshika mpini
Kitakachotokea ulaya wataomba wakae wayamalize

Zaid karata ya mwisho ya NATO itakuwa kufadhir magaid wa kuteka meli ambapo rusia na China pia wanaweza kujilinda vizur kwa kutumia teknolojia zao

USA akiba aliyonayo ni kwa ajili yake uwezo wa kutoa pipa 10m kwa siku hana na akijitutumua ni siku 30 tu naishiwa

Watamuondoa madarakani babu
 
Yaaani kuna mibaba, mijitu mizima haina haya kabisa, kama hili lidubwana liPutin, iv inafeeliaje mtu ni kiongozi wa taifa ambalo ni superpower kwenda kuomba upatiwe drone na Uajemi!. Hivi haoni anavyoaibisha wa russia wenzake ( plus wa Russia uchwarwa).
 
Wewe kilaza sana tena mwongo eti NATO wako kiv mzee panua akili yako jiongeze utafute habari acha kuropoka jukwaani kama umekosa elimu .jeshi la na NATO lipo Poland na ndipo mafunzo yote hutolewa na plan zote hufanywa pale .usilete mahaba niuwe hapa drone za russia lengo ni kuharibu miundombinu ya maji,umeme,na kuharibu majengo ya serikali nia ni kuwachanganya ukraine ,hizo pia mbinu za kivita ila ukraine hajarud nyuma anaendeleza mapambano.
Umetahiri huo mtalimbo kweli?
 
Back
Top Bottom