Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?

1. US anakusudia kupitisha mswada ambao una lengo la kupunguza nguvu za OPEC+ kwenye control ya soko la mafuta duniani ijulikanayo kama NOPEC bill. Pia US ana mpango wa kuongeza mwenyewe supply ya mafuta kwa kuachia kiasi kutoka kwenye hifadhi yake kimkakati.

2. Mataifa ya ulaya yanataka kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya urusi. Maamuzi ya Opec+ yanatafsirika kama faida kwa urusi kwamba itamfanya auze kwa bei ya juu. Sasa EU wakiweka ukomo wa bei wanakusudia kuzuia hilo. Swali ni je watawezaje kupanga bei ya bidhaa anayouza mtu mwingine again tunarudi pale kwenye leverage.

Mfano mojawapo ni bima. Bima kwenye usafiri wa majini ni kitu muhimu sana. Ajali ya meli moja inaweza kuifilisi kampuni nzima ya usafirishaji wa meli/maji. Sasa basi, Kampuni moja ya ulaya/London ni kampuni tanzu inayomiliki makampuni mengine 13 ambayo kwa pamoja yanafunika zaidi 90% ya bima za majini (marine insurance) kwa makampuni yote ya meli duniani. Ikiwa ulaya watapitisha price cap kwa mafuta ya urusi itakuwa na maana ili tanker ya kampuni fulani ipewe bima na makampuni haya ya bima ya ulaya itabidi kwenye paperwork wawasilishe taarifa zitakazoonesha mafuta hayo wameyanunua kwa bei kiasi fulani na endapo bei hiyo inazidi ile iliyopangwa na ulaya hawatopewa bima. So kwa namna fulani itakuwa ni ngumu kwa makampuni ya meli kusafirisha mafuta ya urusi.

Wakati huo huo Bwana Putin alishasema hawatauza mafuta yao kwa bei ya hasara meaning hawatafuata bei elekezi itayopangwa na ulaya.

Geopolitics ni kama mchezo wa chess. Unasukuma kete yako mara moja unasubiri mwenzako naye zamu yake. Sisi huku nje tunatizama tu mchezo unavyoenda

Tusubiri hili game. Always najua lazima wana Plan B hawawezi kukurupuka. Assume Opec+ wamegoma kupeleka mafuta sokoni Marekani atatatoa mafuta kwenye hifadhi kwa kipindi gani?? Na kumbuka Marekani atatoa kwaajili ya Raia wake tu, nchi zingine kama Ulaya, Africa itakuaje?? Hii game ni ngumu sana haihitaji ubabe inatakiwa diplomasia itumike.

OPEC & OPEC+ mpaka wanaunga mkono hili jambo lazima wana plan B wasingekurupuka wote na kukubali kushusha production ya mafuta. 70% naipeleka kwa OPEC kwenye hii game
 
Makampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale duniani.

Haya makampuni hayawezi kukubali hata siku moja kuongeza production ya Mafuta (kuongeza supply), maana kwa kufanya hivyo ni wao kuishia kutopata faida kubwa wanayoipata Sasa hivi. Kwa hiyo tatizo la kwanza linaanza kwenye hayo makampuni makubwa ya US.

Swali ambalo mimi najiuliza, kwa Nini wao US wasianze kuyachimba Mafuta yao na kuondokana na hii price increase, badala yake wanakimbilia kuweka mavikwazo, kwa Nini wasiamue kuchimba Mafuta yao?

Marekani ni mzalishaji no1 wa mafuta ila anashika No.9 kwakuwa na reserve kubwa duniani. Kumbuka mafuta anayozalisha Hayamtoshi bado ana fanya importation. Labda utuambie strategic reserve hapa sawa.
 
Achana na hizo video games kaka, yaan mshambuliwe afu bado undelee na safari kwa taratibu?? Magari ya jeshi hayawezi kusafiri hivyo hasa uwanja wa mapambano.

Acheni utoto, ndio maana mnakula kichapo kizito hapo KYIV
1. Russia ilikusanya makuruta 300K ambao hawana uzoefu na vita yaani JKT ambao kuna madereva na fani mbali mbali, Matokeo yake ndio haya
 
Hizi drone za kamikaze lifespan yake ni shambulio moja tuu.

Hazishambulii kwa masafa marefu, zenyewe lazima ziingie kwenye zone ya adui, zinakuwa juu kusoma ramani zikisha identify target zinashuka kama mwewe kushambulia.

Baada ya kushambulia zinakuwa 50/50 kutoka salama kwenye zone ya adui.

Russia amenunua kamikaze 2900 kutoka Iran. Kwa maana kamikaze zitafanya mashambulio 2900.
Ndio maana pro russia weng tunawaambiaga muwe mnafuatilia habar hizo drone huwa zinalipuka pamoja na kombora lililobebwa maana nyingine zinaitwa drone za kujitoa mhanga ,zilikua zinatumiwa sana na US ,hata ukraine wanazitumia ila kwenye uwanja wa vita hazina maajabu maana huwa ziko slow na ni rahis kuzitungua kwa mashine gun,puttin kaziahamishia mjin maana uwanjani zilikia zinafyekwa kama mmbu.hazina maajabu labda hekaheka za mjini
 
1. Russia ilikusanya makuruta 300K ambao hawana uzoefu na vita yaani JKT ambao kuna madereva na fani mbali mbali, Matokeo yake ndio haya
Mkuu nataka nikwambie kitu, muwapo vitani, (kwa waliowahi kwenda vitani watanielewa zaidi hapa)

Kunakuwa na layer kama 3 hadi 4.
1. Layer 1. Watoa taarifa juu ya hali ya usalama wa eneo husika. Hawa huwa mbele kabisa na hawa ndio husoma mazingira yote ya eneo husika, vikwazo, upande waliopo maadui, aina ya silaha nk

2. Layer 2
Hawa sasa wanafuata yale maelekezo ya waliotangulia. Hawa hufuata na silaha chache ili kujiridhisha na hali ya usalama na kwa kiasi gani wanaweza kusafiri na kwa uwingi wa gani wa Askari na vifaa vyake, muda utakaotumia. Hawa sehemu zingine hutumika kama cover ya hao watakafuata sasa.

3. Layer 3.
Hapa sasa ndio msafara wa askari na vifaa vyake unaanza kupita mara baada ya kupata taarifa sahihi kutoka kwa makundi mawili ya mbele.

4. Layer 4
Hawa ndio huwalinda hao askari wenzao waliopo mbele sambamba na vifaa.
Hii hujumuisha Snipers, helcopter, drone nk

NB Msafara wa kijeshi hauendi kama mnavyoangalia movie za RAMBO au DOLF.
Hata JWTZ wetu hawawezi kufanya hizo mbaga za kiwaki, iwe RUSSIA??
 
Naona pro Russia wanashangilia uharibifu wa miundombinu tu [emoji2].., ukiwauliza mmesonga mbele sentimeter ngapi hawana majibu.

Kama msafara wa kilometers 64 kuelekea Kiev wenye magari na kila aina na vifaru vya kivita ulishindwa kuitingisha Kiev, itakuwa hizo drone uchwara [emoji16]?

Hapa anachofanya urusi ni kujaribu kuficha aibu ya kipigo anachopokea huko field,Wala hakuna kingine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Marekani ni mzalishaji no1 wa mafuta ila anashika No.9 kwakuwa na reserve kubwa duniani. Kumbuka mafuta anayozalisha Hayamtoshi bado ana fanya importation. Labda utuambie strategic reserve hapa sawa.
Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhi
Gani?

Namba 1 saudia
USA yeye namba 1 katika kuwa na hifadhi kubwa ya mafuta sio kuzalisha
 
Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhi
Gani?

Namba 1 saudia
USA yeye namba 1 katika kuwa na hifadhi kubwa ya mafuta sio kuzalisha

Acha ubishi kijana US ndo anakamata No1 kwa uzalishaji wa mafuta anazalisha barrel 11m kama sikosei kwa siku.
IMG_7254.jpg
 
Back
Top Bottom