Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi na Ukraine: Mtu tajiri zaidi duniani asema hawezi kuendelea kufadhilili mawasiliano ya Ukraine kwa njia ya setilaiti

https://t.co/vnlSMyrU8g https://t.co/5KglEQLJOb
Itabidi aende akaishi, uko uko ambako watamuakikishia ulinzi wake. Yeye anaishi Marekani, nchi inaboresha ulinzi wake, alafu analeta chili *****, itabidi achague kama kwenda kuishi uko uko Russian au Iran
 
DRONES ZA IRAN ZAWAKIMBIZA WAANDAMANAJI KWENYE UBALOZI WA IRAN NCHINI UKRAINE.

Waandamanaji mjini kiev waliandamana na kwenda kwenye Ubalozi wa Iran mjini humo huku wakionyesha mabango yaliyoandikwa kuwa Iran inaunga mkono ugaidi.

Wakati waandamanaji hao wakiwa Ubalozini hapo, walisikia sauti za drones za Iran zikiwasiri eneo hilo la ubalozi na hatimaye waandamanaji hao wakatimua mbio na kuondoka Ubalozini hapo na drones za Iran zikaondolewa eneo hilo la Ubalozi,[emoji23][emoji23][emoji23]
Credit : Kilimanjaro news.View attachment 2390534

source: wallah wabilahhi
 
Kama RUSSIA dhaifu wanakimbilia NATO kufanya nn
Wanaokimbilia NATO wote niili kujilinda na RUSSIA siko akikasirika
Kama wameona RUSSIA dhaifu wakae wenyewe wajitosheleze kwaudhaifu walouona kwa RUSSIA

SWED na FIN hawatajiunga na NATO wakijiunga unambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nchi zote mbili za Finland na Uswidi ziliamua kujiunga na NATO. Tuko pamoja, je? Zilipata matishio kutoka Urusi tangu miaka zisifanye, inaweza kumaanisha vita.
Baada ya uona mashambulio ya Urusi katika Ukraine, ziliamua kuomba kupokelewa katika NATO.
Mimi nasema: Waliona Urusi ni tayari kutumia ubavu dhidi ya majirani, Waliona heri kuingia katika hali ya kuongeza usalama, waliona pia udhaifu wa jeshi la Urusi katika Ukraine na kwamba sasa hakuna hatari ya kushambuliwa kwa nguvu.
Hivyo walipuuza matishio ya Urudi na kuomba uanachama wa NATO.
Je WEWE unaonaje??

(menginevyo nahisi unajaribu kukamua hali kuwa bado hawakupokelewa katika NATO kutokana na masharti ya Uturuki. Sawa. Hata hivyo walifanya azimioambalo zamani waliogopa. Tuko pamoja, je?)
 
Msafara wa kijeshi mzito kama huo unaendaje bila ulinzi wa uhakika? Au ndipo uwezo wa supa pawa ulipoishia? Haya akapige mabomu bustani za watoto kulipiza kisasi! Lile dikteta pumbavu sana.
 
Bado tu mnacheza video games?😆😆😆!
Hawiezekani eti tracks mbili zinashbuliwa halafu nyingine zinaendelea kwenda mdogo mdogo kama zinasindikiza harusi mpaka zinalipuliwa!

Tungeona basi askari wakikimbia na kutelekeza tracks au hata basi tungeaona jiihada za kukimbizwa tracks kutoka ambush area!

Hizi propaganda haziwasaidii Frontline!Urusi yeye anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe!
 
Msafara wa kijeshi mzito kama huo unaendaje bila ulinzi wa uhakika? Au ndipo uwezo wa supa pawa ulipoishia? Haya akapige mabomu bustani za watoto kulipiza kisasi! Lile dikteta pumbavu sana.
Hebu angalia tu hizo video vizuri na Tumia akili Yako ya kuzaliwa!
 
Bado tu mnacheza video games?😆😆😆!
Hawiezekani eti tracks mbili zinashbuliwa halafu nyingine zinaendelea kwenda mdogo mdogo kama zinasindikiza harusi mpaka zinalipuliwa!Tungeona basi askari wakikimbia na kutelekeza tracks au hata basi tungeaona jiihada za kukimbizwa tracks kutoka ambush area!
Hizi propaganda haziwasaidii Frontline!Urusi yeye anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe!

Kuna hii nyingine, wavaa kobaz wa muddy mnalo Video: Vita baina ya drones, ya Iran yapigwa juu kwa juu na drone ya Ukraine
 
Kuna mfumo wa silaha unaitwa " vimpire" ulipigiwa chapuo sana hapa jukwaani kwamba ni kiboko ya drones..,au zilikuwa tu fix?
Muda mwingine hatuna budi kushtukia kile tunachokisikia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zile zinaingia mwez ujao mzee hukusoma habar vizur siyo kila kitu kikiahidiwa kinaletwa mda huohuo .hii vita usifikir ni ya kuisha leo su kesho ni zaid ya miaka jadhaa itadumu
 
Nimeanza kuwaonea huruma Ukraine, ile huruma ya kibinadamu kabisa. Kwa sasa Ukraine wanapigwa kiev kipitia drones. Pale kiev kuna jeshi, na mamluki wa Nato wanaotoa mafunzo kwa ukraine lakini hawawez kufanya lolote pale.

Drones haziui watu, ila zinapiga miundombinu muhimu na ya kimkakati ili kupunguza nguvu ya serikali na jeshi. Sasa hivi jijini Kiev umeme ni shughuli pevu, huwez kusikia haya kwenye vyombo vyao vya habari.

Ikiwa kipigo hiki kitaamia kwenye miundombinu ya maji, barabara, viwanja vya ndege na reli bas Ukraine hawatakua na jinsi zaidi ya kujisalimisha. Maana silaha zitasafirishwaje? Watu wataishije bila uhakika wa umeme na maji? Yale yanayotokea huko kongo yanahamia Ulaya.

Kwa maoni yangu, Ukraine asiposhtuka mapema, yatamkuta ya libya au syria. Nchi itagawanyika vipande vipande na itakua ngumu kurudia pale ilipokuepo. Kama hawana uhakika wa kushinda vita hii wakae chini na urusi, najua wanapewa kiburi na west ila wajifunze kwa wengine west hawana urafiki wala uadui wa kudumu, bali masilahi ya kudumu muda utafika wataachwa kwa namna ambayo hawtaamini.
Wewe kilaza sana tena mwongo eti NATO wako kiv mzee panua akili yako jiongeze utafute habari acha kuropoka jukwaani kama umekosa elimu .jeshi la na NATO lipo Poland na ndipo mafunzo yote hutolewa na plan zote hufanywa pale .usilete mahaba niuwe hapa drone za russia lengo ni kuharibu miundombinu ya maji,umeme,na kuharibu majengo ya serikali nia ni kuwachanganya ukraine ,hizo pia mbinu za kivita ila ukraine hajarud nyuma anaendeleza mapambano.
 
Back
Top Bottom