Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1044]Minsk residents are actively sharing a video with a military board over the city. Machulishchi Military airport is based near the capital.

The Ministry of Defense of Belarus today announced the arrival of the aviation component of the regional grouping of troops (forces) in the republic from the Russian Federation.

Subscribe to @Sputnik
 
Mkuu, bado nahangaika kuhusu mantiki yako!
Kuhusu nguvu unayoona katika jeshi la Ukraine - mbona nchi ndogo kama Finland iliacha kuogopa Urusi tangu kuona kazi ya jeshi lake huko Ukraine?? Finland ni nchi ya watu milioni 5 (TANO! tena haina gesi wala mafuta) ilhali Urusi ina milioni 145. Tangu mwisho wa vita ya pili ya dunia ilikaribishwa kuingia katia NATO lakini iliona kwa usalama wake Finland isijiunge na NATI, waliogopa hasira ya Urusi. Lakini sasa baada ya kuona vita ya Urusi katika Ukraine, wanajiunga na NATO wakibadilisha siasa ya miaka 60!! Siyo kwa sababu waliona jeshi la Urusi inafanya vibaya vile basi hakuna sababu tena ya kuogopa jeshi hilo??

Mfano wako wa Syria... Naona tu kwamba baada ya vita za Iraki na Afghanistan hakuna serikali ya NATO iliyokuwa tayari kuona wanajeshi wengi kuuawa Syria tena. Hivyo hawakuingia kwa wanajeshi bali kwa ndege na kombora tu na kwa kusaidia wanamigambo Wasyria walishikamana nao. Nikielewa vema shabaha kuu haikuwa Assad bali mabaki ya Islamic State - hapa walifaulu kiasi kikubwa.
Sioni sababu yoyote mbali na silaha za nyuklia zinazozuia majeshi ya NATO kufyeka jeshi la Urusi moja kwa moja...
Kama RUSSIA dhaifu wanakimbilia NATO kufanya nn
Wanaokimbilia NATO wote niili kujilinda na RUSSIA siko akikasirika
Kama wameona RUSSIA dhaifu wakae wenyewe wajitosheleze kwaudhaifu walouona kwa RUSSIA

SWED na FIN hawatajiunga na NATO wakijiunga unambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Belarus wamesema Kuna wanamgambo wanapata mafunzo Poland wakifadhiliwa na Nchi za magharibi na wanapelekwa Ukraine kupata uzoefu iliwaje kufanya ugaidi Belarus na hiyo ndio sababu Belarus kujiandaa kuvamia Ukraine

The saboteurs who planned terrorist attacks in Belarus were trained on the territory of Poland and received combat experience on the territory of Ukraine - the Ministry of Internal Affairs of the Republic of Belarus.

The Belarusian state TV channel showed footage of the detention of suspects in the preparation of a series of terrorist attacks.

Subscribe to @Sputnik
 
West Prepping Nuclear Crisis Plans — British Media

Western governments are drawing up plans to avoid panic among their citizens should a nuclear weapon be used in Ukraine, UK media outlets reported.

The alleged preparations come as NATO officials fuel speculation about the possibility, and issue repeated warnings that Moscow would face “severe consequences” if it deployed the bomb.

Asked whether options and crisis plans were in place to address the aftermath of a nuclear detonation in Eastern Europe, an unnamed Western official confirmed that such plans were underway, according to reports.

Subscribe to RT
 
White House Comments On Paying For Starlink Service For Ukraine

The Pentagon and US allies are exploring all options to maintain Starlink satellite services for Ukraine after tycoon Elon Musk said he’s no longer willing to provide the communications for free, the White House press secretary has said.

During a briefing on Friday, Karine Jean-Pierre was asked if the Biden administration had considered Musk’s request for the Pentagon to foot the bill for satellite internet communications in Ukraine.

“Look, we understand the importance of these capabilities to ensure stable communications for Ukraine’s forces in particular,” Jean-Pierre responded.

Subscribe to RT
 
Belarus wamesema Kuna wanamgambo wanapata mafunzo Poland wakifadhiliwa na Nchi za magharibi na wanapelekwa Ukraine kupata uzoefu iliwaje kufanya ugaidi Belarus na hiyo ndio sababu Belarus kujiandaa kuvamia Ukraine

The saboteurs who planned terrorist attacks in Belarus were trained on the territory of Poland and received combat experience on the territory of Ukraine - the Ministry of Internal Affairs of the Republic of Belarus.

The Belarusian state TV channel showed footage of the detention of suspects in the preparation of a series of terrorist attacks.

Subscribe to @Sputnik
Poland anachokochoko nyingi sana...anachokonoa vitu vingi sana..mara alipwe na Ujerumani,mara anataka nuclear weapons,
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia imerusha satellite ya kijeshi leo
Russia Deploys New Military Satellite

A classified military satellite, designated Kosmos-2560, was launched from the Plesetsk Military Cosmodrome in Russia’s northern Arkhangelsk Region on Saturday evening at 10:55pm Moscow time (7:55 GMT).

Launched on the smallest carrier rocket of the Angara family, the spacecraft “successfully reached orbit” soon after, establishing a radio link with the mission control center and reporting all systems functioning after deployment, the Defense Ministry said in a brief statement.

“Combat crews of the Space Force of the Russian Aerospace Forces carried out a successful launch of the Angara-1.2 light-class launch vehicle with a spacecraft for the Russian Defense Ministry from the State Test Cosmodrome Plesetsk,” the ministry said.

Subscribe to RT
IMG_20221016_162755_800.jpg
 
Waambie Mathanzua na conspiracist wengine wanaosema Urusi inawapigania na kizazi chenu msigeuzwe wote kuwa mashoga na West[emoji16]
Unajifanya unajua watu ndani nje...sasa huyo mdau mbona umemjibu personal sana..Kwa hiyo wewe akili zako ndo Genius wa karne hii au sio na ndo ujuaji mwingi??

Jibu hoja za watu kuleta inferiority complex hapa hajusaidii chochote....Hao warusi na Wamarekani hawapiganii kizazi chenu wala cha hao unaowatukana...wanapigania future ya kizazi chao..

Uko tayari kukaza mishipa na kutukana kutetea wazungu ambao hata hawajui kuna kiumbe kama wewe duniani..na hata uwepo wako hauwasaidii chochote....
Usifanye vitu personal
 
Washirika wa Russia wanapiga jaramba India anatest makombora ya masafa marefu toka kwenye Nuclear Submarine

Indian Nuclear Submarine Test-Fires Missile

The Indian Navy has carried out a successful test of a Submarine Launched Ballistic Missile (SLBM), fired by INS Arihant, the country’s first domestically built nuclear-powered sub.

The missile “impacted the target area in the Bay of Bengal with very high accuracy,” according to the Defense Ministry’s statement. The military officials did not provide details about the type of missile, but said that “all operational and technological parameters of the weapon system have been validated.”

Subscribe to RT
IMG_20221016_163853_389.jpg
 
Zelensky alipochaguliwa aliwaondoa viongozi wengi serikalini na jeshini wenye umri mkubwa. Hawafundishiki na mbinu mpya za kisasa na NATO walipokuwa wanatoa mafunzo wanachukua maofisa wenye umri mdogo. Huwezi tumia gharama kubwa upelekwe UK uko wakati unastaafu miaka 10 ijayo. Na Zelensky anapendelea kuteua watu wenye experience, maofisa wa kijeshi wengi Ukraine walikuwa frontline Donbas na waliongoza sabotage occupied areas. Hata Mkuu wa majeshi ana miaka 49 alafu kazeeka ghafla mwaka huu, kazi nzito.

Wakongwe jeshini ndio walijisalimisha pale Crimea bila kurusha hata risasi wala kutorosha silaha, hata intelligence yao hawakugundua watavamiwa. Na wamesoma na Warusi vyuo vilevile, ilikuwa si ajabu kukutana na Major General wa Ukraine kasomea military school ndani ya Russia enzi za Soviet Union na ana marafiki uko au aliacha watoto
Kumbe NATO.....Sasa mlikuwa mnabisha Nini?!?!
 
Marekani imekua kama Gambia tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Seneta wa Marekani ataka silaha za Marekani zilizopo Saudi Arabia ziondolewe baada Saudi Arabia kukataa pendekezo la Biden la kuzalisha mapipa mengi ya mafuta ili marekani asitumie akiba yake.
US Senators Propose Punishment For Major Ally

US weapons should be withdrawn from Saudi Arabia as punishment for oil output cuts, announced last week by the de-facto leader of the Organization of the Petroleum Exporting Countries (OPEC), Democratic lawmakers have said.

“For several years, the US military has deployed Patriot missile defense batteries to Saudi Arabia to help defend oil infrastructure against missile and drone attacks,” a statement reads.

These advanced air and missile defense systems should be re-deployed to bolster the defenses of eastern flank NATO allies like Poland and Romania — or transferred to our Ukrainian partners,” Democratic Senator from Connecticut Chris Murphy said in the statement

Subscribe to RT

IMG_20221016_165324_950.jpg


Great, it will give way to the Russian S-300 and S-400 air defense systems.
 
Ufunuo wa Yohana 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.
¹² Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.
¹³ Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
¹⁴ Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
¹⁵ Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
¹⁶ Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
¹⁷ tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
¹⁸ Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.


WHAT IF USA AKASHINDA HII VITA?
DUNIA IJIANDAE KUINGIA KWENYE MAJIRA MAPYA YA STYLE YA MAISHA NA IMANI, NA STYLE MPYA YA UCHUMI?
Ili Mpinga Kristo afunuliwe,ni lazima NWO at some point waitawale dunia,na hii itatokea kwa kuwa Wanadamu wamemkataa Mungu,kwa hiyo Mungu anawaletea uongo ili wauamini.Urusi watafurukuta weee,na hata labda kusaidiwa na China,lakini NWO wataitawala Dunia for seven years na kiongozi wao Shetani,ambaye atawapa Mamlaka Mnyama atokaye baharini,Mnyama atokaye kwenye nchi na nabii wa uongo.
 
Back
Top Bottom