Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Major General Kyrylo Budanov (35yrs old)ni komandoo aliyeshiriki operations frontline ya Donbas tangu 2014. Alishasalimika kuuwawa na bomu la kutegwa kwenye gari mwaka 2019 ambapo agent wa Urusi alitega bomu ila likalipuka kabla.

Budanov ndio Mkurugenzi wa Ujasusi wa Wizara ya Ulinzi. Missions zote za kulipua Kerch bridge, kujua Warusi watavamia wapi, kujua makamanda wa Urusi wako wapi, wapi kuna ammunition depots na troop movements za adui anazisimamia yeyeView attachment 2388905
Hawa ndio wazee wa kazi Sasa[emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanazo. Walianza miaka hiyo kutengeneza.
Asee wairan nimewakubali Sana. Kuna haja ya sisi kufika huko lakini bila migongano na west.
Heb na sisi wakenya, waganda hata watz tujaribu kutengeneza drone za kivita nasi tuuze. Zitulinde pia.
Na sisi Kama walivyo wairan tuanzishe viwanda vya madawa na fizikia dunia nzima wapone kwa dawa zetu.
Kwani Ni Nini shida?
Hatuwezi?


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hebu tuwekane sawa . Vita ya Iraq vs Iran ilichukua muda mrefu na niliifuatilia drone hazikuwapo. Nimeanza kusoma habari za ndege zisizo rubani miaka ya 2000+
 
Kweli vita ni vita tu ..,hiki ndo kisehemu kidogo kinachomtoa kamasi huyu aliyejiita super pawer [emoji2957][emoji848][emoji848]
1665914668137.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wengi tulijua wakivamiwa watanyoosha mikono juu but walichofny ni tofauti kabisa, safi sn zelenskyy naamini siku wakitaka kuvamia mwingine watafikiria mara mbili mbili, halafu endeleen kumdanganya mjomba wenu kwamba anaweza pigana na NATO halafu akashinda
Kwani Ukraine si anapata support kubwa tu ya NATO? Kama ni Yes, Basi Russia anapigana na NATO pia.
 
[emoji106] thumb up!

Kwa kusummarise USD ina nguvu sasa hv kwa sababu ya vitu takriban vitatu (kwa nlivyoyaelwa maelezo yako pia)

1. Trust for trade. Nchi nyingi still bado zina imani na usd licha ya kuanguka kwa gold std. Hii inawezesha hata nchi mahasimu kufanya biashara bila kuogopa kufanyiana hiyana.
2. USD can buy oil. Hii km sikosei mfalme wa saudia aliwekeana mkataba na FDR 1945 kwamba saudia watauza mafuta kwa dollar in return usd itaipa ulinzi saudia. So demand ya dollar inakwenda sambamba na demand ya mafuta.
3. Kwa ajili ya swift network Excess forex reserves za mataifa mengi zipo in dollar na pia zipo invested in US economy. Hii ni advantage anayopata us kwa mfano by sept 2021 kulikuwa na zaidi ya tr usd 7 reserves za mataifa mbalimbali ambazo wameziinvest us kupitia treasury bonds.

Though sio rahisi lkn mpango wa mchina na mrusi kuiondoa dollar kwenye nafasi yake ni doable. Kuna video mahali nimeona wanazungumzia hili.

1. Urusi ameshaanza kuuza gesi yake na mafuta kwa ruble. Hii kwa kiasi chake imepunguza demand ya dola na kuongeza dd ya ruble kwa baadhi ya nchi (unfriendies) zinazonunua hizo bidhaa kwake.
2. China anatoa mikopo mingi sana kupitia Bri na mpk ss 14% ya mikopo hiyo ameitoa kwa yuan. Experts wanasema anaweza kulazimisha wadeni wake wamlipe kwa yuan kwa kuwapa discount kwenye interest. Bila kusahau wengi wa washirika wa china kwenye bri wanafanya biashara na china so km wakishift kwenda kwenye yuan itakuwa na impact kwa dollar. Pia China kupitia Bilateral currency swap ameshaingia mikataba worth 3 tr yuan na nchi mbalimbali km engereza, south korea, singapore, hongkong, ulaya, russia etc ambazo zitawawezesha kufanya biashara bila kuhitaji dollar.
4. Saudia anafikiria kuanza kuuza mafuta yake kwa yuan pia.

Hizo zote ni dalili kukuonesha kuwa yanawezekana japo sio rahisi jaribu kufuatilia usd kwenye market share imepungua kiasi gani. Of course US hawezi kukubali kirahisi na pia kuna ugumu mwingi. Michezo ya china kudevalue hela yake itamgarimu pia nchi nyingi zina imani zaidi na us kuliko china.

Multipolar world wanayoihubiri mchina na mrusi haitamake sense km still dunia itakuwa na single dominant currency. So nafkiri wanamaanisha multipolar in everything. Tutaona mengi as time goes kushindawa na kushindwa kunategemea na nani mwenye kusukuma kete zake vizuri
Sure
 
Hata akili za ukoo wenu wote zikiunganishwa na mkipewa muishi miaka 1000 mara 2 kamwe hamtakaa mfikee robo ya akili alizokuwa nazo Gorbachev.
Hapa umeandika utumbo mtupu.
Unajifanya unajua watu ndani nje...sasa huyo mdau mbona umemjibu personal sana..Kwa hiyo wewe akili zako ndo Genius wa karne hii au sio na ndo ujuaji mwingi??

Jibu hoja za watu kuleta inferiority complex hapa hajusaidii chochote....Hao warusi na Wamarekani hawapiganii kizazi chenu wala cha hao unaowatukana...wanapigania future ya kizazi chao..

Uko tayari kukaza mishipa na kutukana kutetea wazungu ambao hata hawajui kuna kiumbe kama wewe duniani..na hata uwepo wako hauwasaidii chochote....
Usifanye vitu personal
 
Wengi tulijua wakivamiwa watanyoosha mikono juu but walichofny ni tofauti kabisa, safi sn zelenskyy naamini siku wakitaka kuvamia mwingine watafikiria mara mbili mbili, halafu endeleen kumdanganya mjomba wenu kwamba anaweza pigana na NATO halafu akashinda
Wangenyoosha mikono juu still bado wangekuwa na 20% za ardhi yao zilizokwishachukuliwa mpk sasa. Unampongeza zelensky kwa kipi!? Kwa kumuonesha urusi kwamba 'siku nyingine ukitaka kuvamia mwingine tegemea upinzani'. Is that worthy of Everything Ukraine has lost until now!?

1. Crimea imeenda hawawezi kuirudisha tena
2. Donbass imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
3. Hawatojiunga tena nato
4. Jeshi limekuwa crippled
5. Raia wamekimbia nchi
6. Miundombinu imeharibika
7. Uchumi wa nchi umekufa
8. Nchi imejiingiza kwenye madeni lukuki

All this in the name of 'kesho akitaka kuvamia mwingine atafikiria mara mbili'. Ok
 
Hahahaha hawa vichaa wa Putin wanachekesha Sana,eti wawapige mawaziri wa NATO kwa Makombora ya nyuklia kisa Urusi kuchapwa kwa silaha za NATO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hawa kenge, huo uwezo hawana. Ni propaganda ambazo Putin amewatask baada ya kuona yeye mwenyewe anaaibika kwa kuahidi vitu asivyoweza kufanya.
 
Major General Kyrylo Budanov (35yrs old)ni komandoo aliyeshiriki operations frontline ya Donbas tangu 2014. Alishasalimika kuuwawa na bomu la kutegwa kwenye gari mwaka 2019 ambapo agent wa Urusi alitega bomu ila likalipuka kabla.

Budanov ndio Mkurugenzi wa Ujasusi wa Wizara ya Ulinzi. Missions zote za kulipua Kerch bridge, kujua Warusi watavamia wapi, kujua makamanda wa Urusi wako wapi, wapi kuna ammunition depots na troop movements za adui anazisimamia yeyeView attachment 2388905
Aiseee mdogo sana kiumri, ila kazi yake si ya nchi hii.
 
1665917669754.png

The first one is George Kennan, arguably America's greatest ever foreign policy strategist, the architect of the U.S. cold war strategy. As soon as 1998 he warned that NATO expansion was a "tragic mistake" that ought to ultimately provoke a "bad reaction from Russia".
 
Ni kichapo tu

[emoji298]️16 explosions reported in Belgorod, Russia.

Russian state news agency RIA Novosti said that 16 explosions were heard in Belgorod, a city about 50 km away from the Ukrainian border. Vyacheslav Gladkov, governor of Belgorod Oblast, said that 2 people were injured by the attack.
 
This is Jack F. Matlock Jr., US Ambassador to the Soviet Union from 1987-1991, warning in 1997 that NATO expansion was "the most profound strategic blunder, [encouraging] a chain of events that could produce the most serious security threat [...] since the Soviet Union collapsed"
1665917986101.png
 
Back
Top Bottom