Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Ni level tu za mahaba . Wapo walioenda field kwa mapenzi yao wengine wapo hai wanaendelea kupigana . Wengine walitoka,.na wengine wametangulizwa ahera. HAWA wanaochambua na kurushiana maneno hawajafikia level ya kujitoa ama Hawajui wajiungeje huko ndio maana WANAPIGANA vita ya propagandaBoss sisi hatupo kwenye mapigano, tunayachambua na kuleta habari. Tatizo lililopo ni kuingia vitani kuipigania nchi badala ya kufanya uchambuzi wa taarifa za wapiganaji.