Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtoto wa nuru hawezi kuwa na akili zilizoharibika kama zako za kushangilia homicidal dictator.
NWO ni ujinga watu wenye akili ndogo kama zako huamini kwa sababu akili zenu zina processor ya 0.5Ghz
Mkuu mimi siwezi kuwapa moyo NATO kwa kuwa nawajua.NATO mkuu ni agents na minions wa NWO ambao wanatumiwa na Shetani ili awatawale Wanadamu na Dunia badala ya Mungu.Kama hujui mkuu,hii Vita ni kati ya the forces of darkness and light yaani Mungu.Sasa Mimi nikijua yote hayo,nitai-support vipi NATO,haiwezekani kabisa.Mimi ni mtoto wa nuru,sio mtoto wa giza.
 
Putin atawaumiza tu wapinzani na dissidents wake Warusi na hizi takataka, hawezi thubutu huo ujinga wake hata kwa afisa mdogo achalia mbali kwa kiongozi mkubwa wa US.
Jamaa awe makini, kuna stock ya kutosha ya Novichok na Polonium-210
 
PM Viktor Oban wa Hungary alishawa challenge EU kwamba... Wanaweka vikwazo kwanza, then ndio wanaanza kutafuta solutions .

Akawaambia kwanza Watafute Solutions then ndio waweke hivyo vikwazo

Sasa kinachoonekana hapa ni kwamba, hizo solutions zimeshindwa kupatikana na ndio maana hizo nchi zinarudi tena kufanya biashara na Russia.
20221016_115601.jpg
 
⚡60 Years of the Cuban Crisis. On 16 October 1962, the CIA reported to President Kennedy that Soviet missiles were discovered in Cuba.

Soviet forces were deployed to Cuba to prevent U.S. military aggression against the island and in response to the deployment of U.S. missiles in Turkey. By October, some 45 Soviet nuclear warheads, among others, had been moved to the island.

Kennedy decided to declare a naval blockade of the island as of October 24 and to put US armed forces on alert. More than 180 US warships were deployed in the Caribbean Sea, US forces in Europe, the 6th and 7th fleets were put on alert and up to 20 percent of the strategic aviation was on alert.

On 23 October, Moscow declared that the US government was "taking heavy responsibility for the fate of the world and playing recklessly with fire", and Khrushchev sent a letter to Kennedy assuring him that any weapons supplied to Cuba were for defence purposes only.

October 27 was the "black Saturday" of the crisis - an American U-2 reconnaissance aircraft was shot down in Cuba while overflying missile force position areas, the pilot killed. The leadership of the US military bloc persuaded Kennedy to begin bombing Soviet missile bases and a military attack on the island within 2 days. Many Americans fled major cities, fearing an imminent Soviet strike.

On 28 October, Soviet-American talks began in New York, with Cuban representatives and the UN Secretary General, which ended the crisis. The USSR decided to withdraw missiles from Cuba, the US responded by lifting its blockade of the island and agreeing to withdraw its missiles from Turkey. The Cuban crisis was over.

But not for always...⚡
 
🇺🇦 🇷🇺The Russian army is attacking in the Donbass and firing at the Armed Forces of Ukraine along the entire front line-main thing from the summary of the General Staff of the AFU:

▪️ Russian troops are advancing in the areas of the settlements of Torskoye and Spirne on the Kramatorsk direction, Berestovoye, Soledar and Artemovsk on the Artemovsky direction and Maryinka, Pobeda and Nevelskoye in Avdeevka direction.
▪️The Armed Forces of the Russian Federation are concentrating their efforts on reaching the administrative borders of the Donetsk region and retaining the occupied territory.
▪️The Russian army fires at the AFU along the entire front line, carries out engineering equipment of positions in certain directions and conducts aerial reconnaissance.
▪️The Russian Air Force carried out 5 missile and 23 air strikes, and also carried out 60 MLRS attacks on objects in areas of more than 30 localities.
 
Petrodollar ni kitu kimoja Tu na hiyo ni kama tone la bahari , kuna vitu vingi vinavyoendelea kuipa thamani na nguvu pesa ya dollar ($) kuendelea kuwa kama international standard currency ya miamala . Na uzuri umetaja kimoja wapo kwamba ni kwamba central banks zote dunia hii reserves zao ni inform of USD ukiachilia bullions kama gold na silver na hii ilitokana na ule mkutano WA bretton woods ambapo central bankers dunia nzima walikutana ili kutafuta currency ambayo inaweza kutumika kama standard currency kwenye miamala duniani ili kuweka stability katika mifumo ya kifedha duniani hii ndio mkutano ndio ilioipa nguvu dollar kutumika kama inavyotumika mpaka leo hii .
Na kuna sababu why USD dollar ilikuwa selected out of those many currencies , haikuwa voodoo magic au ajali Kwa USD currency kuemerge kama dominant currency mpaka leo .
Sababu moja wapo ni kwamba USD currency ilikuwa backed by gold ( gold standard ) Kwa wachumi Kule USA wanaita hivi ,kinyume na sarafu nyingine ambazo zilikuwa basically ni pieces of paper au fiat currency /currency backed by nothing ,nikiwa na maana kwamba United States central bank ndio ilikuwa ina reserve kubwa zaidi ya dhahabu na dollar 35 zilithaminishwa na ounce 1 ya gold / dhahabu , hivyo kila dollar moja ya kimarekani iliyoexist kwenye mzunguko WA kifedha au kuchapishwa na kuingizwa na central bank ya Marekani ilithaminishwa na kiasi cha ounces kadhaa za dhahabu ambazo zilikuwa Chini ya umiliki WA benki kuu ya Marekani .
Ingawa pia mwaka 1971 Richard Nixon alikuja kuondosha hii gold standard Kwa kutoa sababu kwamba ilikuwa kupambana na international money speculators waliotoshia stability au uthabiti WA sarafu ya dollar ya kimarekani . Na ndio Hilo suala linaloleta mjadala mpaka sasa hata Kwa wachumi na wanasiasa pale Marekani kwamba kitendo cha Richard Nixon kingesababisha watu na nchi nyingine kukosa Imani na sarafu ya kimarekani siku za mbele kwa kuwa kuondoa gold standard kungeifanya USD kuwa kama fiat currencies nyingine ambazo hazijawa backed na anything na hivyo serikali za hizo nchi zinaweza chapisha hizo currencies na kuziweka kwenye mzunguko bila kujali na kusababisha epic inflation na matatizo mengine ya instability katika mifumo ya kifedha nadhani kilichotokea Zimbabwe na Venezuela kila mtu anaelewa ,wale baada ya kubanwa na vikwazo wakaanza kuchapisha pesa kama vichaa na kuziweka kwenye mzunguko inflation na total collapse ya sarafu hizo na uchumi kila mtu nadhani anajua .

Pia kitu kingine muhimu kinachoendelea kuipa dollar nguvu ni Trust ya watumiaji WA dollar ya kimarekani na namba kubwa ya watumia WA USD katika mifumo ya kifedha na miamala hila kusahau mifumo na miundombinu ambayo imeshakuwa established ,mfano hizo visa card ,master card , swift NK ingawa kuna options zake nadhani wachina na warusi wanazo pia versions zao Ila hazijapata trust na ushawishi kuwa na watumiaji wengi so

So conclusion ni kwamba USD itaanguka na kupotea kabisa kama siku moja tutaamka central banks zote /nyingi dunia hii zimedump USd ,pia wananchi na taasisi za kifedha dunia nzima WAache kutumia USd au waloose confidence na USD .Kitu ambacho sidhani kama kitatokea atleast in our lifetime .labda Kwa vitukuu WA vitukuu wetu huko Maana hata hizo nchi za BRICS mfano China ,Russia na wenzake ndio holders wakubwa WA United States treasury bonds / dhamana za hazina ya serikali ya Marekani na hizo dhamana ziko interms of USD kitu ambacho hata wakiamua kuzidump tena Kwa wakati mmoja si rahisi hata kidogo .
Treasury bond ni kama kuikopesha serikali pesa .Sasa central bank of China ni holder mkubwa WA hizo treasury bonds za United States government sasa hawezi kuzidump Kwa wakati mmoja ni kama atakuwa kaloose billions of USD kwenye reserve yake mwenyewe na kuua uchumi wake sasa ni kama kujipiga risasi miguuni mwake na si Chinese central bank anayemiliki hizo treasury bonds za serikali ya Marekani tu,ni benki kuu karibia zote dunia hii yanahizo US government treasuries bond katika reserve balance sheet zao sasa imagine siku waseme wanazidump hizo US government treasuries bond ,hiyo itakuwa chaos na economic collapse kwenye nchi zao pia .Ukiachilia benki kuu ,kina mamilioni ya watu individuals wanamiliki hizo US government treasuries ina Maana nao ni lazima wazidump kitu ambacho si rahisi ,Kwani hizo ni life time savings na mitaji Yao

Na huo ni mfano Tu kukuonyesha jinsi hili jitu linaloitwa US dollar lilivyo kubwa na kutisha . So huu mfumo waliousuka waliangalia probably millennium nzima kabisa ijayo na hizo dynamics zote walishacalculate Kabla hawajasuka Huu mfumo .
So USD bado itaendelea kudominate kama global currency miaka na miaka
[emoji106] thumb up!

Kwa kusummarise USD ina nguvu sasa hv kwa sababu ya vitu takriban vitatu (kwa nlivyoyaelwa maelezo yako pia)

1. Trust for trade. Nchi nyingi still bado zina imani na usd licha ya kuanguka kwa gold std. Hii inawezesha hata nchi mahasimu kufanya biashara bila kuogopa kufanyiana hiyana.
2. USD can buy oil. Hii km sikosei mfalme wa saudia aliwekeana mkataba na FDR 1945 kwamba saudia watauza mafuta kwa dollar in return usd itaipa ulinzi saudia. So demand ya dollar inakwenda sambamba na demand ya mafuta.
3. Kwa ajili ya swift network Excess forex reserves za mataifa mengi zipo in dollar na pia zipo invested in US economy. Hii ni advantage anayopata us kwa mfano by sept 2021 kulikuwa na zaidi ya tr usd 7 reserves za mataifa mbalimbali ambazo wameziinvest us kupitia treasury bonds.

Though sio rahisi lkn mpango wa mchina na mrusi kuiondoa dollar kwenye nafasi yake ni doable. Kuna video mahali nimeona wanazungumzia hili.

1. Urusi ameshaanza kuuza gesi yake na mafuta kwa ruble. Hii kwa kiasi chake imepunguza demand ya dola na kuongeza dd ya ruble kwa baadhi ya nchi (unfriendies) zinazonunua hizo bidhaa kwake.
2. China anatoa mikopo mingi sana kupitia Bri na mpk ss 14% ya mikopo hiyo ameitoa kwa yuan. Experts wanasema anaweza kulazimisha wadeni wake wamlipe kwa yuan kwa kuwapa discount kwenye interest. Bila kusahau wengi wa washirika wa china kwenye bri wanafanya biashara na china so km wakishift kwenda kwenye yuan itakuwa na impact kwa dollar. Pia China kupitia Bilateral currency swap ameshaingia mikataba worth 3 tr yuan na nchi mbalimbali km engereza, south korea, singapore, hongkong, ulaya, russia etc ambazo zitawawezesha kufanya biashara bila kuhitaji dollar.
4. Saudia anafikiria kuanza kuuza mafuta yake kwa yuan pia.

Hizo zote ni dalili kukuonesha kuwa yanawezekana japo sio rahisi jaribu kufuatilia usd kwenye market share imepungua kiasi gani. Of course US hawezi kukubali kirahisi na pia kuna ugumu mwingi. Michezo ya china kudevalue hela yake itamgarimu pia nchi nyingi zina imani zaidi na us kuliko china.

Multipolar world wanayoihubiri mchina na mrusi haitamake sense km still dunia itakuwa na single dominant currency. So nafkiri wanamaanisha multipolar in everything. Tutaona mengi as time goes kushindawa na kushindwa kunategemea na nani mwenye kusukuma kete zake vizuri
 
Iran wana drone tangu miaka ya Iran-Iraq war ile 1980s
Kama drone TU hata Russia wanazo, hata kabla ya anguko la Soviet.
Ukirudia maelezo yangu utanielewa vizuri.
Advanced military drone na hasa kamikaze drone Kama hizo Saheb na shaheed.
Sio hivyo tu ile advanced drone ya Kimarekani imefanyiwa copy kwa mamia wakitengeneza wenyewe kutoka viwanda vyao.
Ni Jambo kubwa kwa nchi iitwayo third world na Wamagharibi
Nilimaanisha hivyo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wengi tulijua wakivamiwa watanyoosha mikono juu but walichofny ni tofauti kabisa, safi sn zelenskyy naamini siku wakitaka kuvamia mwingine watafikiria mara mbili mbili, halafu endeleen kumdanganya mjomba wenu kwamba anaweza pigana na NATO halafu akashinda
 
Siamini hiyo mambo ya drone za kijeshi si ya 1980s nipe Ushahidi.
Wanazo. Walianza miaka hiyo kutengeneza.
Asee wairan nimewakubali Sana. Kuna haja ya sisi kufika huko lakini bila migongano na west.
Heb na sisi wakenya, waganda hata watz tujaribu kutengeneza drone za kivita nasi tuuze. Zitulinde pia.
Na sisi Kama walivyo wairan tuanzishe viwanda vya madawa na fizikia dunia nzima wapone kwa dawa zetu.
Kwani Ni Nini shida?
Hatuwezi?


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni level tu za mahaba . Wapo walioenda field kwa mapenzi yao wengine wapo hai wanaendelea kupigana . Wengine walitoka,.na wengine wametangulizwa ahera. HAWA wanaochambua na kurushiana maneno hawajafikia level ya kujitoa ama Hawajui wajiungeje huko ndio maana WANAPIGANA vita ya propaganda
Hapa nimekuelewa 🙂🙂🙂🙂
 
Wale wanaoulizia uwezo wa Technology ya Russia. Karibuni mjionee


🚀 Russian Aerospace Forces successfully launch Angara1.2 spacecraft from Plesetsk cosmodrome

◽️ In 2 minutes after the launch, the vehicle was taken under control by ground-based facilities.

◽️ The spacecraft received the ordinal number Kosmos-2560.

◽️ The vehicle is in sustainable telemetric contact.

@mod_russia_en
 
Major General Kyrylo Budanov (35yrs old)ni komandoo aliyeshiriki operations frontline ya Donbas tangu 2014. Alishasalimika kuuwawa na bomu la kutegwa kwenye gari mwaka 2019 ambapo agent wa Urusi alitega bomu ila likalipuka kabla.

Budanov ndio Mkurugenzi wa Ujasusi wa Wizara ya Ulinzi. Missions zote za kulipua Kerch bridge, kujua Warusi watavamia wapi, kujua makamanda wa Urusi wako wapi, wapi kuna ammunition depots na troop movements za adui anazisimamia yeye
20221016_124624.jpg
 
Kama drone TU hata Russia wanazo, hata kabla ya anguko la Soviet.
Ukirudia maelezo yangu utanielewa vizuri.
Advanced military drone na hasa kamikaze drone Kama hizo Saheb na shaheed.
Sio hivyo tu ile advanced drone ya Kimarekani imefanyiwa copy kwa mamia wakitengeneza wenyewe kutoka viwanda vyao.
Ni Jambo kubwa kwa nchi iitwayo third world na Wamagharibi
Nilimaanisha hivyo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli usemavyo ila sio kwamba Iran wameanza kutengeneza drones mwaka 2011 kama ulivyosema. Wanazo types nyingi kwenye maandaki yao yale, uzuri Iran military doctrine yao ina tofauti kidogo na ni for survival. Hata kwenye Navy wana missile boats nyingi na catamarans ambazo majeshi mengi duniani hayazizingatii
 
Back
Top Bottom