Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️Russian media report explosions in occupied Donetsk.

According to the Russian state news agency RIA Novosti, the former city council building, now used by Russia's proxies, was damaged by an attack on Oct. 16.

The media accused Ukraine of the shelling. Kyiv hasn't commented.
 
This is Clinton's defense secretary William Perry explaining in his memoir that to him NATO enlargement is the cause of "the rupture in relations with Russia" and that in 1996 he was so opposed to it that "in the strength of my conviction, I considered resigning".
1665918111382.png

1665918132549.png
 
Urusi inaweza kuwa imetia saini mkataba mpya na Iran wa usambazaji wa ndege zisizo na rubani aina ya Arash-2, ripoti ya Taasisi ya Marekani ya Utafiti wa Vita (ISW) inasema.

Wataalamu wa kijeshi wamenukuu taarifa kutoka chaneli za Telegram za Urusi na Kiukreni ambazo "zimevuja" na taarifa kutoka kwa vyanzo vya Iran ambavyo havikutajwa.

Idadi kamili ya ndege zisizo na rubani zilizonunuliwa bado hazijulikani. Mnamo Septemba, Brigedia Jenerali Kiomars Heydari, Kamanda wa Vikosi vya Ardhi vya Iran, alisema kuwa ndege zisizo na rubani za Arash-2 zina uwezo wa kipekee wa masafa marefu na zinaweza kushambulia miji ya Israel kama vile Tel Aviv na Haifa kutoka kambi za Iran. Walakini, wataalam wa kijeshi wana shaka kuwa vikosi vya Urusi vitaweza kutumia Arash-2 kwa ufanisi zaidi kuliko walivyotumia Shahed-136.

'' Kuna ripoti kwamba Moscow inaendelea kutegemea Tehran kwa mabomu haribifu, ripoti kutoka Idara ya Hazina ya Marekani ambayo inapendekeza kwamba Urusi inapanua haraka usambazaji wake wa vifaa vya elektroniki ambavyo ni muhimu kwa eneo la kijeshi na viwanda kwa sababu haiwezi kuchukua nafasi ya vifaa muhimu ambavyo havipatikani kwa sababu ya vikwazo. Urusi itaendelea kuinua uhusiano wake na Iran ili kukwepa vikwazo, ingawa kuna uwezekano mkubwa kwamba vikosi vya Urusi vitatumia Arash-2 kwa athari kubwa zaidi kuliko vile vilivyotumia modeli ya Shahed''. Ilisema taarifa hiyo.

Kesho tunaanza nazo mbuzi hao.
 
Mkuu mimi siwezi kuwapa moyo NATO kwa kuwa nawajua.NATO mkuu ni agents na minions wa NWO ambao wanatumiwa na Shetani ili awatawale Wanadamu na Dunia badala ya Mungu.Kama hujui mkuu,hii Vita ni kati ya the forces of darkness and light yaani Mungu.Sasa Mimi nikijua yote hayo,nitai-support vipi NATO,haiwezekani kabisa.Mimi ni mtoto wa nuru,sio mtoto wa giza.
Ufunuo wa Yohana 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.
¹² Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.
¹³ Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
¹⁴ Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
¹⁵ Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
¹⁶ Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
¹⁷ tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
¹⁸ Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

WHAT IF USA AKASHINDA HII VITA?
DUNIA IJIANDAE KUINGIA KWENYE MAJIRA MAPYA YA STYLE YA MAISHA NA IMANI, NA STYLE MPYA YA UCHUMI?
 
USa atabweka Kama mbwa Koko hawezi kushinda hi Vita.
 
Super Power kaenda omba missiles toka Iran maana zake zimeisha au zakaribia isha

Drone kapewa, sasa kaomba na makombora kabisa
mimi naona iran kapewa fursa for free kutest vitu zake, sasa kwa ushirikiano huo, huono iran itakua ndio point man wa urusi huko middle east? usikute ata russia kaficha vichwa kadhaa za nuclear huko iran. usiniue na maneno is just a mere thought-thanks
 
Huenda hata marekani kaficha vichwa kadhaa vya nyukria huko ukraine.., maana rais zelensiky anaonekana kujiamini sana[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1151][emoji1255]The Lithuanian Foreign Minister offered to chip in and pay for Starlink for Kiev

Well, or find an alternative provider of communication services, because Elon Musk refused to finance them.

"The Internet connection in Ukraine is too important to leave in the hands of one private individual. Let's find a way to form a coalition of Ukraine's allies to pay for Starlink, or let's find an alternative supplier," Gabrielius Landsbergis wrote on social networks.

He added that Lithuania is ready to contribute.
 
Wangenyoosha mikono juu still bado wangekuwa na 20% za ardhi yao zilizokwishachukuliwa mpk sasa. Unampongeza zelensky kwa kipi!? Kwa kumuonesha urusi kwamba 'siku nyingine ukitaka kuvamia mwingine tegemea upinzani'. Is that worthy of Everything Ukraine has lost until now!?

1. Crimea imeenda hawawezi kuirudisha tena
2. Donbass imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
3. Hawatojiunga tena nato
4. Jeshi limekuwa crippled
5. Raia wamekimbia nchi
6. Miundombinu imeharibika
7. Uchumi wa nchi umekufa
8. Nchi imejiingiza kwenye madeni lukuki

All this in the name of 'kesho akitaka kuvamia mwingine atafikiria mara mbili'. Ok

Xo kwnn Nchi zinakua na majeshi?
 
Back
Top Bottom