Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, bado nahangaika kuhusu mantiki yako!
Kuhusu nguvu unayoona katika jeshi la Ukraine - mbona nchi ndogo kama Finland iliacha kuogopa Urusi tangu kuona kazi ya jeshi lake huko Ukraine?? Finland ni nchi ya watu milioni 5 (TANO! tena haina gesi wala mafuta) ilhali Urusi ina milioni 145. Tangu mwisho wa vita ya pili ya dunia ilikaribishwa kuingia katia NATO lakini iliona kwa usalama wake Finland isijiunge na NATI, waliogopa hasira ya Urusi. Lakini sasa baada ya kuona vita ya Urusi katika Ukraine, wanajiunga na NATO wakibadilisha siasa ya miaka 60!! Siyo kwa sababu waliona jeshi la Urusi inafanya vibaya vile basi hakuna sababu tena ya kuogopa jeshi hilo??

Mfano wako wa Syria... Naona tu kwamba baada ya vita za Iraki na Afghanistan hakuna serikali ya NATO iliyokuwa tayari kuona wanajeshi wengi kuuawa Syria tena. Hivyo hawakuingia kwa wanajeshi bali kwa ndege na kombora tu na kwa kusaidia wanamigambo Wasyria walishikamana nao. Nikielewa vema shabaha kuu haikuwa Assad bali mabaki ya Islamic State - hapa walifaulu kiasi kikubwa.
Sioni sababu yoyote mbali na silaha za nyuklia zinazozuia majeshi ya NATO kufyeka jeshi la Urusi moja kwa moja...
Mbona unaongea kinyumenyume....et Finland wanajiunga NATO sababu hawaogopi Urusi??Kwani lengo la kujiunga na NATO huwa ni nini..kikubwa si msaada na uhakika wa kuokushambuliwa???Vipi bana
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Wapeleke majeshi tuone u mwamba wao sio kelele za media. Watangaze tunapeleka jeshi Ukraine
Wewe ni mjinga. Silaha zinapelekwa kila kukicha na hajafanya chochote wakati alisema nchi yoyote itakayoisaidia Ukraine itakiona cha moto.

Ukraine pekee inaendelea kuihenyesha Russia, lakini bado unataka NATO!
 
War updates

 
Kuna mambo mengi sana juu ya starlink na Elon,nazan kama unakumbuka baada ya ukrein kuichukua Khakiv kuna comprain zilitokea kutoka upande wa ukrein kwamba kuna baazi ya vijiji mtandao ulikata. baadae kidogo elon akaja na pendekezo la amani ambapo alipendekeza referendum ifanyike chin ya usimamizi wa UN kitu ambacho pande zote mbili zilipinga na baada ya hapo elon musk akaanza kuwa adui wa ukrein.kuna vitu vingi sana vimetokea ila kwa ufupi nimeweka iyo twitt ya elon tafakari kidogo nje ya box nazan unaweza kupata sababu mr Elon kuanza kutoa excuse maana jamaa ni mfanya biashara na analinda mali yake
Don't assume. Nimeifuatilia hii vita from day one, almost everyday, Russia Invades UKraine - Page 15

Cha msingi tu ujue starlink itaendelea kuwepo. Elon hawezi kuizidi nguvu Pentagon. Kama ingekuwa US ndio inakataa kusupport, hapo ndio pangekuwa shida.
 
NATO walitarajia Russia wangetumia Drones ambazo zimekuwa manufactured Russia ili wakizikamata wazi study na kuona loopholes zake.

Sasa Russia alichofanya ni kwenda kuchukua drones za Iran [emoji3]
Kwa hiyo Iran kumbe hawana akili kiasi hicho, wapo tayari drones zao kukamatwa na kuwa hacked!
 
Wewe badala ya kutukana soma ujue mambo .Uelewe Rothchild ni nani na kwanini Trump alishinda akanyanganywa na sasa kuna njama asigombee tena..elewa vzr...huwezi kuelewa Dunia kama Unakaa kutukana tu bila hoja...
Pumbav ,deep state ya nioko , Yani we kenge WA kibaigwa wewe ndio ujue yanayofanywa na kuwa operated na deep state ya US ? , we kweli ni mjusi gomamuli kweli aisee
ewe
 
China yatangazia wananchi wake wote kuondoka Ukraine.

Je kuna tukio laja kabla ya msimu wa baridi? Au Kuna kitu China yajua ?
Au ndo uvamizi kutokea Belarus?
Usiogope kamanda, tutawapiga Russia na Himmars mpaka wachanganyikiwe, we're winning this battle, go Zelensky go. Na urusi akitumia nyukilia itakua ndi mwisho wake, sisi Nato tutamzunguka na kumpiga vby sana, kumbuka sisi Nato tunalindwa na malaika.
 

China Foreign Ministry tells all it's citizens to evacuate Ukraine immediately.​

​

15 OCTOBER 2022
FLASH: China Foreign Ministry Tells all citizens EVACUATE UKRAINE IMMEDIATELY

For the very first time since Russia began its "Special Military Operation" in Ukraine on February 24, the China Foreign Ministry has issued an URGENT Bulletin to all Chinese anywhere in Ukraine, to EVACUATE IMMEDIATELY. *** UPDATE 8:30 PM EDT -- MORE COUNTRIES WARN CITIZENS TO LEAVE IMMEDIATELY
This action by China is no doubt based upon information they derived from Russia thanks to the close relationship between those two countries. It also bodes ominously for Ukraine.
What does China NOW KNOW about the immediate future of Ukraine, that they are choosing to URGENTLY tell their citizens to evacuate immediately?

"POSTPONE" Mid-Term Elections???
There has been very much speculation inside the USA that the Democrat Party knows it is going to be walloped in the upcoming Midterm elections in November. Today being October 15, it seems to many Americans that whatever the Democrats plan to do, they HAVE to do before that date, if their goal is to somehow postpone the election.
Trouble is, the elections are not run by the federal government; they're run by each of the fifty states. Congress has zero authority to postpone elections.
Moreover, there is no provision within the US Constitution, permitting Congress to somehow EXTEND their term of office. They cannot remain in power after January of 2023 no matter what law they pass.
Many believe firmly, however, the law and the Constitution won't stop the Democrats from trying to cling to power by any means necessary. If they start World War 3 next week, and the nukes fly, many suspect they would try to exploit that to their advantage.
Bear in mind, this nation held a Presidential Election during the Civil War. Even an actual war, on our own soil, did not stop an election. Keep that in mind.

UPDATE 8:30 PM EDT --
Kazakhstan announced it is closing its Ukrainian Embassy immediately and all of its citizens should leave Ukraine at once. Kyrgyzstan, Uzbekistan, Turkmenistan, and Serbia have told citizens to leave Ukraine as well . . .
 

A terror Attack on a Russian Military Base near Ukraine Border by three shooters kills 22 and leaves 16 injured.​

15 OCTOBER 2022
A Russian military base in Belgorad was the scene of a terrorist attack today. Three shooter reportedly opened fire against about 100 Conscripts who were at the base to train. Reports now indicate twenty-two Russian soldiers killed, at least sixteen soldiers wounded before the three shooters were killed by return fire.
Early indications are that the shooters are from Tajikstan, and there may be an Islamic angle to the attack, but this information is all UNVERIFIED.
It is unknown at this time if the attackers were also conscripts.
There are UNSUBSTANTIATED RUMORS that they may have been Ukrainian Special Ops soldiers disguised as Conscripts. Again, UNVERIFIED.
More details as I get them . . .

UPDATE 7:28 PM EDT --
The shooting in the Belgorod region occurred at a training ground in the village of Soloti, SOTA sources say.
The scalable map below will allow you to zoom-in or out to see the area.Follow link below to see map.


In another attack,11 dead also in another ‘terrorist act’ at a Russian training camp near Ukraine border also in the Bolgorod Region.​

Two suspects have been killed on the spot with retaliation fire, officials report
11 dead in ‘terrorist act’ at Russian training range near Ukraine – MoD

Volunteers fire Kalashnikov rifles at a special forces training center in Gudermes © RIA


At least 11 people have been killed and 15 injured in an attack on a training camp in Russia's Belgorod Region, which borders Ukraine, the Defense Ministry said on Saturday. The incident was a “terrorist act,” it added.
Two suspects have been killed on the spot in retaliatory fire, the ministry explained. Officials further explained that they have been identified as “citizens of a member of the Commonwealth of Independent States (CIS).”
The CIS includes most former Soviet republics, except for the Baltic States, Ukraine, Georgia and Turkmenistan. The latter is an associate member of the organization.
The Russian military has not provided any further details about the incident or the identities of the assailants.
According to RIA Novosti, the two attackers opened fire at a group of volunteer fighters during training at a firing range. The Defense Ministry has yet to confirm this information.
Russia names chief suspect in Crimea Bridge attack
READ MORE
Russia names chief suspect in Crimea Bridge attack
Saturday's news comes amid a partial mobilization in Russia, declared as the nation is locked in a protracted conflict with Ukraine. Earlier this week, Russian President Vladimir Putin said that over 200,000 reservists had been called to arms as part of the process, with most of them still undergoing training.
Russian authorities have also declared last week's truck explosion on the Crimean Bridge a terrorist act. The Russian Federal Security Service (FSB) accused Ukrainian military intelligence of masterminding the bombing, which killed at least four, including the truck driver, and led to a partial collapse of a highway section of the bridge.
Russia has identified 12 individuals as suspected accomplices in the plot and has arrested eight of them, the FSB said. The list of people in custody includes five Russians and three foreigners, who have citizenship of Ukraine and Armenia, law enforcement said at that time.
So far, no one has claimed responsibility for Saturday's attack on the training range.
You can share this story on social
 
Kuwa na raia wa Kila nchi sio tiketi ya kunyonga n hi zingine,kuonea nchi zingine,kutawala nchi zingine.
Matokeo yake n hi zenye raia wa aina moja ndio zimekua z kiungwana kuliko hiyo unayoitetea.

Urusi,china na the like.
Wakati wa ukoloni na ubaguzi Marekani ndio alikua akiwakinvia kifua wakoloni na wabaguzi.

Hebu ona mfano huu,Marekani ilimweka Nelson Mandela kwenye orodha ya watu harai zaidi duniani na bado Hadi anakufa hatukusikia kama walimtoa kwenye orodha hiyo.

Marekani alikua akipinga watu weusi Afrika ya kusini kupata haki zao wakati wa makaburu.

Marekani ilihusika na vifo ya watu weusi kote duniani waliokua wakidai haki zao,kuanzia na Martin Luther king,Patrice Lumumba,Bob Marley,Marcus Garvey na wengie wengi.
Wakati huo huo Urusi,china,Yugoslavia,Bulgaria na nchi za east zilikua ndio Kimbilio la wapigania uhuru wote wa Afrika,huko east ni nchi za raia wa aina moja,sio kama Marekani.
Hoja yangu si kuhusu uchafu wa USA boss, nilikosoa hoja kuwa USA haina nguvu. Ragadless ya wayafanyayo, Kusema USA ni nchi isiyo na nguvu ni kujiongopea.
 
China yatangazia wananchi wake wote kuondoka Ukraine.

Je kuna tukio laja kabla ya msimu wa baridi? Au Kuna kitu China yajua ?
Au ndo uvamizi kutokea Belarus?
Tangu vita vinaanza tunasikia mara marekani kawaaambia raia wake waondoke..,mara china kawaaambia raia wake waondoke..,hizi ni kauli zinazojirudiarudia,kwani hao raia hawaishi?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usiogope kamanda, tutawapiga Russia na Himmars mpaka wachanganyikiwe, we're winning this battle, go Zelensky go. Na urusi akitumia nyukilia itakua ndi mwisho wake, sisi Nato tutamzunguka na kumpiga vby sana, kumbuka sisi Nato tunalindwa na malaika.
Malaika wa Kuzimu,yeah ni kweli, Lucifer.Ila Russia inalindwa na Mungu mwenyewe,sasa yupi mighty hapo.Nadhani jibu unalo.
 
Rothchilds wanaweza kuwa binadamu wenye ubongo mkubwa kama matikiti kuuzidi huo wa kwenu ma-conspiracists ambao ni size ya njegere, ku process jambo mnahitaji siku 2.

Halafu Trump alishinda kwa kura kiasi gani??
Taja idadi ya kura Trump alizomshinda nazo Biden
Alinyang'anywa na nani huo ushindi?
Kwa nini alinyang'anywa??
Wewe badala ya kutukana soma ujue mambo .Uelewe Rothchild ni nani na kwanini Trump alishinda akanyanganywa na sasa kuna njama asigombee tena..elewa vzr...huwezi kuelewa Dunia kama Unakaa kutukana tu bila hoja...

ewe
 
Back
Top Bottom