Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanataka kuwadistract Ukraine ili waache wanajeshi wao wazuri Kyiv baada ya kuona wanasonga mbele Pande zote Kherson, Donestsk, Zaporizhzhia wanataka kurudia mchezo uleule ambao Ukraine iliwafanyia warusi walitangaza counter offensive Kherson wakaenda kuipiga Kharkiv baada ya Russia kuhamisha wanajeshi wengi Kherson na kuacha Kharkiv ikiwa dhaifu.
Ila tayari Ukraine keshasoma mchezo, ana wanajeshi, ana vifaa, anasaidiwa angani.hivyo hatatishika.
Lengo lake akamate Kherson kabla ya majira ya baridi kuanza
 
Himars 🕑
 
Attachments

  • IMG_20221016_190027.jpg
    IMG_20221016_190027.jpg
    364.3 KB · Views: 16
Mpaka. Wavaa sneakers za kuoshea stejini nao wako wanapewa baraka za kidini then wasepe , warudi kwenye. Mifuko ,,,,,dah hiii ni hatareeeee aseeeee wee cheki hiko kiduara uone kinacho endeleaaa aseeee hivi kumbe akina marioo , diamond , jay melody stamina , rooooma mkatoliki nao wangekuwa mobilised ahahaaa duh ni hatareeeee
 
Attachments

  • Screenshot_20221016-134802.png
    Screenshot_20221016-134802.png
    847.8 KB · Views: 16
Kumekuchaaa

[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.

"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."

The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
 
Inasemekana kuwa
Endapo Iran atampa Urusi makombora ya balistic basi Marekani naye atatoa makombora mizania kwa Ukraine...

Israel amekuwa kimya sana
[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.
 
Kumekuchaaa

[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.

"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."

The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
Islaer akiamua kwa dhati kabsa kuwa upande wa Ukraine itakuwa ni hatari sana kwa majeshi ya fashisti Putin [emoji848]
 
Kumekuchaaa

[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.

"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."

The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
Israel level yake ni Hezbollah...
 
What is surprising is that the US believes the Saudis need them , the reality is that their two hundred other countries that will do business with the Saudis , two hundred other countries are moving away from the collective west cult , seems to me the collective west cult is isolating itself, my my how dumb can you be
Nikwambie tu, bila Marekani ufalme wa Saudia na UAE na Qatar usingekuwepo
 
Mpaka. Wavaa sneakers za kuoshea stejini nao wako wanapewa baraka za kidini then wasepe , warudi kwenye. Mifuko ,,,,,dah hiii ni hatareeeee aseeeee wee cheki hiko kiduara uone kinacho endeleaaa aseeee hivi kumbe akina marioo , diamond , jay melody stamina , rooooma mkatoliki nao wangekuwa mobilised ahahaaa duh ni hatareeeee
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Vijana wapya wa Russia Army wakipata vifaa vya kijeshi tayari kwa mafunzo makali
IMG_20221016_174724_087.jpg
 
Kumekuchaaa

[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.

"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."

The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
Is the end of Israel as a country and state near?!?!?!
 
Vita imekuwa haieleweki, sio rahisi kujua nini propaganda nini ukweli, nani anapiga nani anapigika!!! Kama Russia angekuwa anatembeza kichapo cha kweli kweli hata hizo tunazodai ni propaganda zisingefanya kazi.

Natamani Russia ashinde lakini haeleweki anapigana kwa style gani hadi kutoeleweka lengo lake nini. Amezidiwa au hataki madhara makubwa kwa Ukraine? Haileti maana kabisa.

My prayer for Russia and the whole world against American bully.
The fact is Russia alijua this time itakuwa kama 2014 Crimea, but amejikuta anatumia muda mwingi vitani.

Kifaru kimoja unachoona kwenye vita ya Ukraine kinakadiriwa kuwa si chini ya 1.6 million USD hapo bado mafuta ya kila siku ya kuyaendesha.

Na zaidi ya nusu ya mauzo ya gesi na mafuta ya Russia huuzwa Ulaya, endapo wataacha kabisa basi Russia itaangukia pua, ndio maana Putin anakuja na vitisho vya Nyuklia.
 
Iran ya Washia kujiingiza upande wa Russia ni mkorogano kwa sababu hawaivi chungu kimoja na Wasaudi ambao ni Sunni , Qatar pamoja na Israel
Kumekuchaaa

[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.

The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.

"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."

The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
 
Osa air defence system crews in combat action within special military operation

◽️ The battalions are tasked to support mechanised infantry and armoured units, as well as important strategic facilities.

◽️ The systems are capable of providing a confident protection to redeploying units, to shot down enemy UAVs and to protect artillery units' firing positions.

@mod_russia_en
 
Back
Top Bottom