Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
NWO wakiitawala duniani wewe lazima wakugeuze shoga na wakuchome chanjo ya Corona na booster yake, utalia sana[emoji16]
Ili Mpinga Kristo afunuliwe,ni lazima NWO at some point waitawale dunia,na hii itatokea kwa kuwa Wanadamu wamemkataa Mungu,kwa hiyo Mungu anawaletea uongo ili wauamini.Urusi watafurukuta weee,na hata labda kusaidiwa na China,lakini NWO wataitawala Dunia for seven years na kiongozi wao Shetani,ambaye atawapa Mamlaka Joka,Mnyama na Nabii wa uongo..