Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita imekuwa haieleweki, sio rahisi kujua nini propaganda nini ukweli, nani anapiga nani anapigika!!! Kama Russia angekuwa anatembeza kichapo cha kweli kweli hata hizo tunazodai ni propaganda zisingefanya kazi.

Natamani Russia ashinde lakini haeleweki anapigana kwa style gani hadi kutoeleweka lengo lake nini. Amezidiwa au hataki madhara makubwa kwa Ukraine? Haileti maana kabisa.

My prayer for Russia and the whole world against American bully.
My prayer for Russia and the whole world against American bully.

Muda utaamua tu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hawa watu wanakaangwa mpaka huruma
 

Attachments

  • IMG_20221016_205335.jpg
    IMG_20221016_205335.jpg
    170.7 KB · Views: 13
[emoji298][emoji298][emoji298]Missile attacks near Kiev hit CHPP-3, one of the critical infrastructures that was not destroyed during the bombings of 10-11 October[emoji298][emoji298][emoji298]
😄😄 Putin juzi alisema Kuna target 7 hazijapigwa lazima zije zitandikwe Tena.Nadhani hio ni target mojawapo.
 
Hilo si wewe wala watoto wa vitukuu vyako watawahi kulishuhudia
Social media reports of Israel deciding to arm Ukraine are not accurate. The suggestion to arm Ukraine was stated by the minister of diaspora affairs — not by the Israeli leadership. At least for the time being, these reports are not accurate and do not reflect the stance of the Israeli leadership.

t.me/battleinsights

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran ya Washia kujiingiza upande wa Russia ni mkorogano kwa sababu hawaivi chungu kimoja na Wasaudi ambao ni Sunni , Qatar pamoja na Israel
Social media reports of Israel deciding to arm Ukraine are not accurate. The suggestion to arm Ukraine was stated by the minister of diaspora affairs — not by the Israeli leadership. At least for the time being, these reports are not accurate and do not reflect the stance of the Israeli leadership.

t.me/battleinsights

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Social media reports of Israel deciding to arm Ukraine are not accurate. The suggestion to arm Ukraine was stated by the minister of diaspora affairs — not by the Israeli leadership. At least for the time being, these reports are not accurate and do not reflect the stance of the Israeli leadership.

t.me/battleinsights

Sent using Jamii Forums mobile app
"At least for the time being". Nimeishia hapo.
 
Iran Kwa kupenda kutupia watu lawama[emoji23][emoji23]

Raisi blames Biden for inciting "chaos and terror" in Iran reut.rs/3Mz7yH1

 
Vilaza wengi Proputin hawawezi kulielewa hili somo lako kwa sababu hawajawahi kuisoma winter war na kujua Finland leo isingekuwepo jinsi ilivyo leo kama isingesimama kidete dhidi ya uvamazi wa Dikteta Stalin japo walipoteza 10% ya ardhi yao.
May be, but Kwa maoni yangu km Ukraine wangesurrender bas Russia angepachika serikali yake kibaraka na Ukraine ingekua km Belarus ilivyo hii Leo, tungekuwa tunasikia habari za Belarus, Ukraine na urusi kuform new union state na hatimaye nchi hio ingemezwa na urusi km Belarus itavyoenda mezwa kwe hio wanayoiita union state, so hio asilimia 20 walioipoteza sawa tu na ht km watapoteza asilimia 35 at least watabaki na nchi Yao wenyew kuliko kupoteza everything
 
Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Sawa labda Urusi wanahifadhi chakula kwa siku za baadae.
Lakini kwa mujibu wa taarifa za habari Urusi ndio inaongiza kwa hazina ya chakula na ndio imeshika chakula kisuzwe au kiuzwe nje ya nchi.hadi kupelekea Guterez kwenda kumuomba Putin aruhusu chakula kiende kwa nchi masikini,lakini wao wakapeleka ulaya..

Aisee sio Warusi TU wanamkimbia vita,hata west ukifikamahalib
Hii ni sawa na ile utotoni kusema kama we mbabe vuka hapa huku unawaza huyu mwamba akivuka hapa meno sina maana unaujua uzito wa ngumi zake. Kiufupi nato wanaogopa
Ha ha haa.
Hiyo ndio akili ya west NATO kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom