BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Israel wanadhani hawa ni Hamas! Waingie wauone mzikiIslaer akiamua kwa dhati kabsa kuwa upande wa Ukraine itakuwa ni hatari sana kwa majeshi ya fashisti Putin [emoji848]
Israel wanadhani hawa ni Hamas! Waingie wauone mzikiIslaer akiamua kwa dhati kabsa kuwa upande wa Ukraine itakuwa ni hatari sana kwa majeshi ya fashisti Putin [emoji848]
Kawaulize walichofanywa na hezbollah kule lebanonIsrael level yake ni Hezbollah...
Parallel similarity between the fall of roman empire and usaTwo signs of a fallen empire are: debt and fighting many wars on multiple fronts. The third is moral decay. The US empire is on its last leg.
Absolutely.Parallel similarity between the fall of roman empire and usa
ChaiThe fact is Russia alijua this time itakuwa kama 2014 Crimea, but amejikuta anatumia muda mwingi vitani.
Kifaru kimoja unachoona kwenye vita ya Ukraine kinakadiriwa kuwa si chini ya 1.6 million USD hapo bado mafuta ya kila siku ya kuyaendesha.
Na zaidi ya nusu ya mauzo ya gesi na mafuta ya Russia huuzwa Ulaya, endapo wataacha kabisa basi Russia itaangukia pua, ndio maana Putin anakuja na vitisho vya Nyuklia.
Ishapoa tukaipashe sasa [emoji1787][emoji1787]Chai
Huo sio utawala wa ayatollah..,raia wako huru kujimwaga[emoji16][emoji16][emoji16] Askari wao wananifurahisha sana na raia wao hawaogopi