Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
[emoji630] [emoji289] #CHINA ASKS TOP LNG IMPORTERS TO HALT RESALES TO FOREIGN BUYERS - BBG
Mji unafuka vumbi kamikaze zinajiachia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji298][emoji298][emoji298] This is what the central districts of Kiev look like after the attack of kamikaze drones[emoji298][emoji298][emoji298]View attachment 2389782
Watajuta kugusa daraja hawa kenge
Amna kitu dozi mnayo ipata saivi ndio inawapa jamba jamba, tutahakikisha this time around halibakii jiwe juu ya jiwe Ukraine.Kwa jinsi huo mzinga umepigwa nimejikuta nabwatuka yale makele yenu ya allah akbar allah akbra, kumbe huwa mzuka kihivyo.
Yani kanatembea Kiev bila wasiwasi kabisa hahahahaHizi drone zinadharau sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Mzee ana mikwara kweli kweli😄😄 Putin juzi alisema Kuna target 7 hazijapigwa lazima zije zitandikwe Tena.Nadhani hio ni target mojawapo.
Mzee wangu huyu atakuwa anasoma principal za ma nigga PUTIN 👊😂😂😂😂😂
Yani kanatembea Kiev bila wasiwasi kabisa hahahaha