Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298][emoji298] This is what the central districts of Kiev look like after the attack of kamikaze drones[emoji298][emoji298][emoji298]
IMG_7228.jpg
 
Vita imekuwa haieleweki, sio rahisi kujua nini propaganda nini ukweli, nani anapiga nani anapigika!!! Kama Russia angekuwa anatembeza kichapo cha kweli kweli hata hizo tunazodai ni propaganda zisingefanya kazi.

Natamani Russia ashinde lakini haeleweki anapigana kwa style gani hadi kutoeleweka lengo lake nini. Amezidiwa au hataki madhara makubwa kwa Ukraine? Haileti maana kabisa.

My prayer for Russia and the whole world against American bully.
Hata mimi baada ya kufikia hatuabhii kama wewe nikaamua kuachana na kufuatilia hili suala.Naweza kutafuta updates hata baada ya mawikinkadhaa kupita ndio naingia kwenye huu uzi kujua nini ni nin..
 
Siku hizi vita ni teknolojia kweli, mzinga wa cruise missile ambao ni gharama balaa unapigwa chini na mbeba javelin kizembe, hivi vita nimejifunza mengi sana, unaweza ukawa liinchi libwaku lenye mizinga ya kuonyesha kwenye gwaride za kijeshi lakini ukija kwenye mapambano inakua aibu kila siku....

 
Back
Top Bottom