Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi nimekuelewa. Nimecheck kwenye Nukemap mzee ni hatari. Usiombe ukutwe na 100 megaton.
Jana Huko ufaransa wameiona Submarine ya Russia, nasikia Macron ameanza kubadili maelezo. Russia anafanya kweli. Likipigwa Rwanda yote inapotea.

Check hapa:-
View attachment 2388287
Noma sana mwamba, mie huwa nawaza kama lile Nagasaki lilifanya maafa yale yote. Na unaambiwa la sasa ni karibu mara 3000+ zaidi.

Zikitua kama 50 hivi inakuaje 😂, Musk kusema kua Russia ana uwezo wa kuiangamiza US na Europe chini ya Half an hour anajua kile anachokizungumza sasa kama wenzetu wanafikiri Musk analipwa na Putin kueneza propaganda za Kremlin.

Ndoho taabu lolo wasukum wanasema 🖐️.
 
Wanunue na wenyewe si Wana za mturuki mbona Russia na Edorgan washkaji tu
Ajabu sana hiki ulichoandika kwa kweli.
Ukraine anatumia drone za uturuki.lakini bado Edorgan na Putin ni washikaji TU.
Lakini Urusi kutumia drone za Iran west wanataka kumtenga zaidi iran.aisee hili nalo ni ajabu la Dunia.
Na linadhihirisha jinsi Urusi Inavyoogopwa.
 
Mimi nimekuelewa. Nimecheck kwenye Nukemap mzee ni hatari. Usiombe ukutwe na 100 megaton.
Jana Huko ufaransa wameiona Submarine ya Russia, nasikia Macron ameanza kubadili maelezo. Russia anafanya kweli. Likipigwa Rwanda yote inapotea.

Check hapa:-
View attachment 2388287
Kaja kuliona lina wiki nzima limemtazama hajui. Niliwahi kuwaambia KILA launcher ama facility ina target yake tayari. Kwamba Amri ikitoka KILA mtu anajua pa kupiga
 
Russian media reports about explosions in the Belgorod region. On October 14, the Luch thermal power plant caught fire, and today, October 15, a local oil depot caught fire

 
From Khokhols

[emoji298][emoji298][emoji298]

Ukraine must return all the aid allocated by the West, only 10% is provided by grants, and the rest is given to us on credit. It is not customary to talk about this publicly, but Ukraine now owes our partners tens of billions of dollars, and no one in the West wants to write off our debts.

[emoji188][emoji188][emoji188]

Hakunaga freelunch dunia hii khokhols [emoji23]
 
Noma sana mwamba, mie huwa nawaza kama lile Nagasaki lilifanya maafa yale yote. Na unaambiwa la sasa ni karibu mara 3000+ zaidi.

Zikitua kama 50 hivi inakuaje 😂, Musk kusema kua Russia ana uwezo wa kuiangamiza US na Europe chini ya Half an hour anajua kile anachokizungumza sasa kama wenzetu wanafikiri Musk analipwa na Putin kueneza propaganda za Kremlin.

Ndoho taabu lolo wasukum wanasema 🖐️.
"Hiii oyomba kenehe bageshi,"alisikika msukuma mmoja anayeishi Tibet
 
Kaja kuliona lina wiki nzima limemtazama hajui. Niliwahi kuwaambia KILA launcher ama facility ina target yake tayari. Kwamba Amri ikitoka KILA mtu anajua pa kupiga
Macron kwa sasa anahaha, nakuhakikishia muda unahesabika huo muungano wao wa NATO wataukimbia. Kila mmoja ataanza kujitetea kivyake. Naona Ufaransa wanaanza kujiondoa kiaina.
 
From Khokhols

[emoji298]️[emoji298]️ [emoji298]️

Our source in the Presidential Office said that the Office of the President sets the task of drawing NATO into the conflict in Ukraine as much as possible in order to maintain funding and military assistance in 2023. The war is moving into a protracted phase with the onset of cold weather, which means there will be no major advances at the front, all active operations will be postponed to the spring of 2023.

[emoji188][emoji188][emoji188]

Yetu macho tu [emoji4].
 
Hahahaha nahisi jamaa kashalipwa chake na uncle Sam [emoji1258][emoji631][emoji1258]

#BREAKING In reversal, Musk says will continue funding Starlink in Ukraine

Hahaaa hana ubavu hata huo WA kumvimbia Uncle Sam ,anajipenda au ? ,Kwanza kikampuni chake cha Tesla hicho kisingekuwepo kama si support ya pesa na punguzo la kodi toka federal government ya USA , unamjua Uncle Sam unamsikia .
Huyu jamaa Musk kampuni yake ilipata privileges za Hadi indorsement toka Kwa space agency ya Marekani hata zile project zake za space X bila kupata indorsement na back up ya NASA unafikiri angetoboa , ukinzingatia ana powerful competitors tena billionaires wakubwa kama akina Bezos na programs zake za space nk Chini ya Blue origin na Yule mwingereza Richard Branson Chini ya Virgin Galactic ?

Pale tweeter alikuwa anajibaraguza Tu na kupoteza maboya na warusi WA kongwa wasiofuatilia mambo , Yule jamaa ni sungura .
 
Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Amekudanganya
 
Huko UK mambo ni magumu
IMG_20221015_214655_644.jpg

🇬🇧UK Defense Secretary Ben Wallace could resign if new Chancellor of the Exchequer Jeremy Hunt decides against increasing military spending, Sky News reported on Saturday, citing sources.
 
Kwa hiyo NATO wanasubiri Hadi Urusi arushe nyukilia ndio waingie?
Hizi sio akili Bali ni tope kabisa kwao.
Ilitakiwa wampige Putin mapema kabla hajarusha nuke.
Hii ni sawa na ile utotoni kusema kama we mbabe vuka hapa huku unawaza huyu mwamba akivuka hapa meno sina maana unaujua uzito wa ngumi zake. Kiufupi nato wanaogopa
 
Macron kwa sasa anahaha, nakuhakikishia muda unahesabika huo muungano wao wa NATO wataukimbia. Kila mmoja ataanza kujitetea kivyake. Naona Ufaransa wanaanza kujiondoa kiaina.
Itakua sio mara ya Kwanza na wala haitokua ajabu. Mwaka 1966 Ufaransa ulijiodoa NATO na baadae ikarejea. Kwanza Ufaransa ina silaha za nyuklia ina uwezo ya kujitetea yenyewe hata bila ya NATO endapo Russia ikaipiga Kwa Nuclear.

Ufaransa wana Makombora mazuri tu ICBM ya nyuklia M-51 ambayo yanabebwa na nyambizi, yanabeba vichwa sita mpaka kumi vya nyuklia.
 
NATO's oriented politicians wanazidi kupigwa chini.

[emoji298][emoji298][emoji298]

34df237500fac8dc53ed5479e312bb2c.jpg


Lorenzo Fontana, known for his pro-Russian views and love for Mussolini, was elected speaker of the lower house of the Italian parliament. This is reported by the news agency "Ansa". Fontana has established himself as an opponent of abortion and the legalization of same-sex marriage.
He also stated that Vladimir Putin's Russia "is a model for those who believe in an original model of society"
 
Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Hizo simu zinauzwa laki mbili na ushee. Na unaweza ukapata mpaka za laki na kumi.
Ulinunua duka gani mwenzangu!?
Screenshot_20221015-214922.png
 
Back
Top Bottom