Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukikimbia frontline wewe sio panya road ? Kwa sababu panya ndio huwa tunawaona wakikatiza upande mmoja wa barabara kwenda mwingine, ni analogy tu.
IMG_20221014_202036_301.jpg
 
Time !!

Baada ya miezi 3 utajua nina maana gani?

Rusia kashapotea...better Putin akubali yaishe mezani...I badala ya vitisho vya hovyo hovyo..I promise you.

Wengi humu hamjui namna Dunia yetu inavyoongozwa...ni ushabiki usio na maana

Putin will be fixed. Over.
We jamaa ni kichekesho sana [emoji3][emoji2]
 
Warusi ni kenge tu, mikwara kibao lakini hawana lolote. Frontline wanajua watapata cha moto. Imagine special forces za Russia ndio zipo maeneo kama Kherson zikinyukwa na askari wa kawaida wa Ukrane.

Hawa panya wengine ambao wanakuwa mobilized wakisikia hivyo, ndio wanaamua kukimbia nchi, ni bora kwao kujiokoa:

Si alisema yeyote atakayeingilia au kusaidia atakiona cha mtema kuni, check wababe:

Russia's army would be "annihilated" by the West's military response if Vladimir Putin uses nuclear weapons against Ukraine, EU foreign policy chief Josep Borrell has warned.
"Putin is saying he is not bluffing. Well, he cannot afford bluffing, and it has to be clear that the people supporting Ukraine and the European Union and the member states, and the United States and Nato are not bluffing either," Borrell said in Brussels.
"Any nuclear attack against Ukraine will create an answer, not a nuclear answer but such a powerful answer from the military side that the Russian army will be annihilated."

Hao ni maneno tu hawana action ingekua Libya wangekua washapeleka majeshi yao muda.
 
Mkuu FUSO hawa kenge umeona kabisa hoja hawana, hawaongelei chochote frontline.

Ati leo wanasifia mpaka starlink ya USA kwamba Elon haisupport kama sehemu ya kujipa credit wakati hawapendi chochote kutoka USA! Starlink inafanya kazi na itakuwa financed. Walitaka Elon assuport bure mpaka lini ?

Mimi nawaacha, nitarudi hapa siku zero brain mtumia nguvu Putin akirusha nuclear. Majibu ya kitakachompata watakuwa nayo tayari.

Putin alivyo mjinga amekuwa provoked kupitia daraja la Kerch akjaa mazima, response yake ya kupiga ovyo raia ilitegemewa, halafu watu wenye akili wakatengeneza justification ya kuisaidia Ukraine kwa kuongeza nguvu za kijeshi, including Germany ambayo ilikuwa iansuasua kwa sababu ya makubaliano yake na Russia, hasa ya kibiashara na kidiplomasia.
 
Hao ni maneno tu hawana action ingekua Libya wangekua washapeleka majeshi yao muda.
Nyie wapumbavu, mlikuwa mnasema the same -- Gaddafi noma, kwanza ana nyuklia, Saddam mziki mzito, blah blah, where are they ?

Vita ilivyoanza, ile mikwara ya kenge Putin kuwa yeyote atakayeingilia kwa kuisupport Ukraine ataona cha moto, sio NATO, USA wala nani, mkashikilia hiyo kuwa USA anaiogopa Urusi. Cha ajabu mpaka nchi za kawaida tu kama Poland, Romania zimetoa misaada ya kijeshi kwa kutangaza hadharani. Kenge Putin amefanya nini ?

Nenda katafute nyuzi zenu za zamani.
 
Kama wangekuwa wanaweza kuishi bila gas/oil from Russia basi haya maandamano yanayoendelea kwa Sasa across Europe yasingekuwepo.
Na kuongezea hapo kwani nani anawalazimisha kununua gas/oil Urusi...si wanunue tu kwingine shida iko wapi??
 
Turkey yuko NATO coz anafaidi anapata pesa nyingi sana kutoka NATO bila Turkey Ulaya ingekua na magaidi mengi sana, wapo kimkakati sana hapo, NATO inawahitaji sana Turkey kuliko hata waturuki wenyewe
Haswa na wanamtumia kupitisha mafuta tangu wakati wa vita vya Iraq na pia baadae Syria
Turkey anakula kila upande
 
Acha ujinga, hivyo vitu vipo everywhere duniani. The only respected products ni rare earth metals ambazo zipo Taiwan 3/4 ya the whole world production. Chukua hii point utaitumia siku nyingine wakati wa ubishi wako.

Orodha ya vitu cheap kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom