Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia's government has ordered contractors to finish repairs to a key bridge linking annexed Crimea to Russia by July 2023.
The bridge was damaged by a blast last Saturday which officials say left at least three people dead.

Russia ni waongo sana walisema daraja liko sawa na watarekebisha siku hiyo hiyo

😅 😅 😅
 
Hivi wewe mbona una akili ya ajabu, naongelea kitu kilichoandikwa kwenye scientific paper ambayo ni published na reputable journal, unaelewa nini hapa:

"The characteristic of monazite is that it contains considerable rare earth elements (REEs). REEs are considered very useful elements in the local industries and scientific researches such as ceramic, semiconductors, and glass optics."

Naweka pia wikipedia:

"Monazite is a primarily reddish-brown phosphate mineral that contains rare-earth elements. Due to variability in composition, monazite is considered a group of minerals." - Monazite - Wikipedia
Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.
Rare earth elements hizi hapa na zipo kwenye periodic table. Tatizo lako hujui tofauti ya mineral na elements. Hata Tanzanite ni mineral but is not an element.

1665771356207.png
 

NATO imekosa direction sababu mtoa maagizo ni US. Tuendelee kuifatilia hii series tuone mwisho wake ila watu maarufu walishatabili kuanguka kwa EU ila naona dalili zimeanza. NATO nao kama hungary member wao amegoma sanctions dhidi ya Russia, EU hawaelewani kabisa vikao vyao vinakosa tamati
 
Kaka makenge wengi kama jamaa yao Putin, hawajui lolote kwamba Purin has been fixed already.

Kura za juzi 143 against 35 hakuna vita kuu ya 3 hapo...arushe nuclear ili watu wambokoe hadi ajikojolee.

Afu unategemea ati mchina, muhindi na yule pink guy akusadie ha ha ha

Kura za UN ndo zimfix Putin? UN ni kwaajili ya mataifa maskini kama sisi Africa ila kwa mataifa makubwa hawana sauti.
 
Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.
Rare earth elements hizi hapa na zipo kwenye periodic table. Tatizo lako hujui tofauti ya mineral na elements. Hata Tanzanite ni mineral but is not an element.

View attachment 2387365
Wewe unanishangaza, can you read here: LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo? ?

"There are around four thousand different minerals in the world. They are all naturally occurring inorganic solids. Each mineral is defined by its particular chemical composition and crystal structure. To explain what a mineral is properly, we have to introduce you to a bit of chemistry.

Minerals are made up of chemical elements. A chemical element is a substance that is made up of only one kind of atom. Have you heard of oxygen, hydrogen, iron, aluminium, gold and copper? These are all chemical elements." -- Oxford: The Learning Zone: What is a Mineral?
 
Umesema kweli mwamba.
Putin Kila hotuba yake haachi kutaja neno multipolar,
Na ni kweli Kuna wimbi kubwa sana la nchi zilizokua watiifu kwa Marekani Sasa zinaikaidi.
Inawezeka Kuna mipango nyuma ya pazia Urusi aliiandaa na kuwamezesha sumu wakuu wa nchi hizo juu ya ukoloni wa Marekani.hebu tazama wimbi la wakuu wa nchi za kiarabu Wanavyopishana kwenda kwa mzee mzima Putin.
Tazama Soud Arabia wanamvimbia USA,na USA anatishia kuondoka wanajeshi wake na mifumo ya ulinzi wa anga kwenye visima vya mafuta ya soud.Hivi hapa kweli kuondoka mifumo ya ulinzi si ndio kitu Urusi anaombea ili apeleke Yeye vifaa vyake?
Kama Kuna kitu Urusi wameonesha uwezo wao wa kucheza Chess basi ni kumvutia kwake Saudia.

Huwezi Amini hata wale ambao sikuwategemea kumfuata Urusi katika umoja wake ni pamoja na Pakistan.
Pakistan nae anatamani sana kujiunga na umoja ambae Russia ndio kaka mkubwa wao ama china
Wakati Pakistani miaka yote ni mfuasi wa Marekani.
Sasa watiifu wote wa Marekani wanaanza kumkwepa.
Tusubiri.

Siasa za Marekani ni za kifedhuli, uwizi anaangalia maslahi yake tu. Ushawishi wa Marekani unaporomoka kwa kasi sana leo hii Saudia wa kumkazia?? [emoji23][emoji23] dunia inakwenda kasi sana kweli kila jambo lina mwisho
 
Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.
Rare earth elements hizi hapa na zipo kwenye periodic table. Tatizo lako hujui tofauti ya mineral na elements. Hata Tanzanite ni mineral but is not an element.

View attachment 2387365
Nionyeshe popote kwenye huu uzi ambapo nimeandika kuwa "Monazite ni element" au ambapo source yoyote niliyoleta inasema Monazite ni element.
 
Unadhani mimi ni useless kama wewe ? Tuna ardhi na sehemu mbalimbali nchi hii ngano inalimwa, go and find acha kuwa ng'ombe. Hiyo ngano inakuja TZ sababu ni cheap plus uzembe wa hali ya juu. Haina maana hatuna ngano.

Ni ujinga sana kwa Tanzania kuingiza ngano badala ya kuuza kwa sababu ina ardhi nzuri ya kilimo cha ngano.
Sasa mbona unajiabisha mwenyewe we mpuuzi! Unazani huo uzembe wa hali ya juu unakujaje? Si watu kama nyie ndo mnaleta huo uzembe! Inakuwaje mtu unashabikia mashoga...watu wanaojiona wao n bora kuliko wenzao?
 
TULILENGA KILA MMOJA, KILA MAHALI, KILA ENEO, HADI TUNAHAKIKISHA WANAJISALIMISHA. TUMESHAMBULIA KILA ENEO LENYE MIUNDO MBINU HASA MJINI KIEV, MADARAJA, KAMBI ZA JESHI, VITUO VYA UKAGUZI NA KAMBI ZA WANAJESHI KUTOKA NJE.

WANAJESHI WETU HAWAWEZI KUFA KIZEMBE. KWENYE HII VITA KAMA NATO WANAVYADHANIA, KAMA WANAWATUMA MAMLUKI WAO KUJA KUPIGANA NCHINI UKRAINE BASI WATABAKIA HUMU MILELE. MANENO YA KAMANDA ARMAGEDON.
Mamluki toka America hapo chini keshalambishwa Shaba anafikiri ni Iraq or Afghanistan
 

Attachments

  • Screenshot_20221014-170134.png
    Screenshot_20221014-170134.png
    89 KB · Views: 25
Nyie wapumbavu, mlikuwa mnasema the same -- Gaddafi noma, kwanza ana nyuklia, Saddam mziki mzito, blah blah, where are they ?

Vita ilivyoanza, ile mikwara ya kenge Putin kuwa yeyote atakayeingilia kwa kuisupport Ukraine ataona cha moto, sio NATO, USA wala nani, mkashikilia hiyo kuwa USA anaiogopa Urusi. Cha ajabu mpaka nchi za kawaida tu kama Poland, Romania zimetoa misaada ya kijeshi kwa kutangaza hadharani. Kenge Putin amefanya nini ?

Nenda katafute nyuzi zenu za zamani.

Punguza hasira dogo hapa tunajadiliana kwa hoja matusi ya nini??. NATO waliingia kumuua Gadaffi na Saddam kwanini hawaingii Ukraine?? au kwenda Russia kumuua Putin??
 
Wewe unanishangaza, can you read here: LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo? ?

"There are around four thousand different minerals in the world. They are all naturally occurring inorganic solids. Each mineral is defined by its particular chemical composition and crystal structure. To explain what a mineral is properly, we have to introduce you to a bit of chemistry.

Minerals are made up of chemical elements. A chemical element is a substance that is made up of only one kind of atom. Have you heard of oxygen, hydrogen, iron, aluminium, gold and copper? These are all chemical elements." -- Oxford: The Learning Zone: What is a Mineral?
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakosea!? Umesema Taiwan inaongoza kwa uzakishaji wa Rare Earth Metals. Sasa hivi unaruka ruka tu kama kuku anayetaka kutaga. Nyie pro nato ni empty head.
 
Back
Top Bottom