Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hujui vita...better keep quiet. Hujui sheria za kivita za kimataifa. Usifikiri hii Dunia you can do what you want just because u have power ama una makombora ya masafa marefu.
Unafikiri kwa nini Africa hainunui mafuta toka Urusi directly huku mrusi kashusha balaa?
Muulize M7 kwa nini hajakubali meli ishushe kwake ?
Nchi za Africa zinaogopa vikwazo direct ndomana tunahitaji balance of power. Tusipangiane cha kufanya kila taifa liwe huru.
Afu tunaomba utuambie sheria za kivita za kimataifa.