Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Elon Musk: Paying for satellite Internet for Ukraine is unwise.

The businessman confirmed CNN's information that SpaceX no longer wants to pay for Starlink services in Ukraine, which consumes traffic hundreds of times more than ordinary households with each of thousands of devices.

Subscribe to @Sputnik
Mjanja, kashaonesha uwezo wa starlink, nice[emoji106]
 
Hii imewakera sana Magharibi na [emoji631]
Macron hana kupepesa macho na ukweli mchungu

Wa kuelewa amuelewe
Iwapo Mrusi atatumia nuclear wao hawatajibu mapigo View attachment 2387270
Wewe ndo unakuwa mgumu kuelewa hata NATO wameweka wazi kwamba iwapo urusi atatumia nyukria wao hawatamjibu kwa kutumia nyukria,Bali walisema iwapo Putin atafanya kitendo hiki basi jeshi lake lililoko Ukraine littaangamizwa..,litaangamizwaje??


Bila shaka majibu watakuwa nayo NATO wenyewe,

Au kama una ushaidi kwamba NATO walisema kwamba wataiadhibu urusi Kwa nyukria,basi uweke hapa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
IMG_20221014_193721_548.jpg

Peter Szijjarto: Hungary will not agree to energy sanctions

💬"We are absolutely interested in maintaining energy cooperation between Russia and Hungary. And we have made it clear that we will not agree to any sanctions regime that jeopardizes the security of energy supplies to our country." – emphasised Minister of Foreign Affairs and Trade of Hungary, Peter Szijjarto at the Russian Energy Week session “Global Energy Trends: Today and Tomorrow”.
 
  • Speaking in Kazakhstan, President Vladimir Putin says Russia has no plans to expand military mobilisation and warns direct clash with NATO would lead to “global catastrophe”.
  • Moscow-installed officials in Kherson urge locals to flee to Russia, citing incessant Ukrainian shelling.
Huyo gavana huko kheson amashaona Wazi kwamba Hali mbaya..,kwa hiyo anaona vyema kufungasha vilago kabla hawajawekwa mtu kati,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2387279
Peter Szijjarto: Hungary will not agree to energy sanctions

💬"We are absolutely interested in maintaining energy cooperation between Russia and Hungary. And we have made it clear that we will not agree to any sanctions regime that jeopardizes the security of energy supplies to our country." – emphasised Minister of Foreign Affairs and Trade of Hungary, Peter Szijjarto at the Russian Energy Week session “Global Energy Trends: Today and Tomorrow”.
Unahangaika na insignificant countries!
 
Kwenye hayo majimbo warusi wanapata kipigo, na maeneo yanakombolewa kwa spidi kali, umemsikia Putin akilalamika Ukraine inatumia silaha za NATO ?
Jamaa pamoja na zile mbwembe zote za referendum,Leo hii uwezi kuamini kwamba jeshi lao linapelekewa moto namna hii.., sijui wanajionaje wakifiria zile shamlashamla walizokuwa nazo wakati wakiyafanya Yale majimbo kuwa sehemu ya urusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii imewakera sana Magharibi na [emoji631]
Macron hana kupepesa macho na ukweli mchungu

Wa kuelewa amuelewe
Iwapo Mrusi atatumia nuclear wao hawatajibu mapigo View attachment 2387270
SUBMARINE FULL NUKE IPO BARAZANI KWAKE UKIILIPUA NDO UMEJILIPUA UKIIACHA NDIO INAKUSUBIRI BARAZANI. NGOJA MJERUMANI NAE AAMKE AKUTE MZIGO UPO UPENUNI
 
Najua unapiga kelele baada ya kula maandazi na chapati za unga wa ngano toka Urusi.
View attachment 2387289
Ngano isije kwetu uone kama hatutaishi. Urusi hata ikifutwa kwenye uso wa dunia no one will even care. Tanzania ina ngano, ina mashamba yenye rutuba ya kuzalisha ngano mpaka ya kuuza nje, kama ilivyokuwa NAFCO.
 
Hawezi...he knows consequences za kutumia nuclear!! Putin ni kama Mandonga wetu.. ngumi inayokata kona.
Lakini unajua unayemkingia kifua?Huyu hapa(below👇).Huyu ndiye Chief Advicer na Think Tank wa Western Governments.No wonder Western Governments are so evil and a collection of thugs,fools,loons,idiots,dimwits,psycopaths and morons.Zoom,
umuone eugenist and murder Claus Schwab,Head wa WEF.Yuko uchi,hajali na anatembea mbele ya watu,very evil.Mimi naamini mtu anayejitambua hawezi ku-support Governments ambazo Advicer wao ni Claus Schwab.I believe you are just as evil na hujitambui kabisa.
 

Attachments

  • Screen-Shot-2022-09-21-at-6.10.11-PM.png
    Screen-Shot-2022-09-21-at-6.10.11-PM.png
    95.3 KB · Views: 21
Hasira zako binafsi haziizuii Urusi kusonga mbele. Tayari majimbo manne yameingizwa Russia. Wewe unaendelea kubweka bweka kama wenzako.

View attachment 2387264
Hayo majimbo yote hakuna hata Jimbo Moja hambalo urusi analimiki kikamilifu ., yote anayamiliki nusu kwa nusu tu,huku Jimbo la kheson likikaribia kumponyoka kabisa..., alifikiri vijana wakakamavu wa rais zelensiky wataogopa mikwara yake ya referendum,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO Sasa hivi wamepoteza malengo Yao.
Ulikua ni umoja wa kujihami kwa Wanachama wao,lkn Sasa wanajaribu kuwahami mataifa ambayo sio Wanachama,lkn kwa bahati mbaya haya hilo taifa wanalolipigania wameshindwa kuingiza majeshi kamili kama walivyofanya Yugoslavia,Iraq, Libya na Afghanistan..

NATO Sasa hivi wanapigana vita vya kiuchumi na Urusi
Kwani kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi siio moja ya majukumu ya NATO.

Kuna vikwazo vya kidiplomasia,kisiasa na Kila vikwazo uchwara Urusi kawekewa na NATO.

Lkni kibaya zaidi aloewekewa vikwazo ana ishi vizuri TU,lkn waliomwekea vikwazo Leo hii kuna mgao wa umemefumuko wa Bei na uhaba wa nishati.

Hivi Sasa NATO haijulikani kama ni umoja wa kijeshi ama umoja wa kiuchumi.

Kuna hisia zinasema kwamba timu ikizidiwa sana uwanjani hutokea wakajihami sana,na wakijihamk sana hutokea timu ikajifunga goli.
Kwa kifupi timu hujifunga goli pale inaposhambuliwa sana.
NATO wanachezeshwa mziki na Urusi.

NATO inatia huruma sana maana Urussi kawabana kila angle. Marekani analia na Saudia kisa kushusha uzalishaji wa mafuta hii ni AIBU superpower analilia wese wakati tunaambiwa ana reserve ya kutosha[emoji1787][emoji1787].

Mpaka sasa wameprint dollar za kutosha wanazigawa Ukraine. Kuna watu wanashindwa tambua kuwa kuanguka kwa uchumi wa Ulaya kama tunavoona euro ilivyoporomoka kwa kasi uchumi wa US utakua kwenye wakati mgumu maana soko lake kubwa liko Ulaya. Dedolarization ndo inaanza na uchumi wa Ulaya maana viwanda vinafungwa unemployment inazidi kupaa huko France watu wanaandamana kutokana na refinery plants kufungwa hakuna crude oil ya kutosha, hawana kazi raia.

Tukumbuke wanachanama wa OPEC wamekubali kupunguza uzalishaji hii inamaana oil bei zitapaa uzalishaji unakua mdogo ila bei kubwa hapa ndo watapiga supernormal profit. Saudia karidhia maana anajua atapata faida kubwa hapa unaona Russia anacheza karata zake vizuri sana.

Uchumi wa EU umekua kwa kutegemea cheap energy kutoka Russia kwa miaka mingi ndomana waziri wa France alisema tunanunua gas kutoka US ambayo ni 5x ya gharama za gas ya Urussi. Uchumi wa EU ulishikiliwa na Russia na huu ndo ukweli sasa uchumi wao ndo hivo unaporomoka hii SMO ikiendelea ndani ya miaka 2 EU itakua na hali mbaya sana.

Watu wanaiangalia hii SMO kwa juujuu ila Russia anatarget nyingi sana na tumeanza kuona matokeo kama ni mfuatiliaji wa speech za Putin lazma hili neno alitamke “Multipolar world” lazma kuwe na balance of power.

NATO kwa sasa wako kwenye Panic mode maana plan zao zinafeli pale Ukraine wamepeleka silaha nyingi sana zile wanazotangaza ni geresha ukweli ni vingi wamepeleka ila Russia anatoboa. Zile lipualipua za Russia kwa asilimia kubwa zimewagusa NATO ndomana wanaliaa sana.
 
View attachment 2386987
Vladimir Putin took part at the CIS summit in Astana: Key statements

▪️CIS countries are making vigorous efforts to switch to settlements in national currencies;

▪️It is necessary to use goodwill to the maximum in resolving any conflicts and disputes in the CIS region;

▪️Macron's statements about the allegedly destructive role of the Russian Federation on Karabakh are unacceptable and incorrect;

▪️Moscow will provide maximum assistance in the creation of an international organization for the support and promotion of the Russian language under the auspices of the CIS. In December 2020, the leaders of the association decided to declare 2023 the year of the Russian language as the language of interethnic communication in the CIS.
Putin katengwa na Dunia nzima.
Ha ha ha haa.

Wakati huohuo

Putin kika siku Yuko na mikutano na wakuu wa nchi mbalimbali.

Makundi mbalimbali ya nchi
 
Back
Top Bottom