Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

​

Mnaacha kupigana uwanjani mnakimbilia raia,kumbe drone nying zinatokea kherson​

​

Iranian instructors detected in Kherson Oblast - Ukrainian partisans​

Ukrainska Pravda
Mon, October 17, 2022, 9:02 PM·1 min read

YEVHEN KIZILOV — MONDAY, 17 OCTOBER 2022, 21:02
According to the information obtained by Ukrainian partisans, a total of up to 20 instructors from Iran have been detected on the territory of temporarily occupied Kherson Oblast.
Source: Ukraine’s Center for National Resistance under the Special Operations Forces of the Armed Forces of Ukraine on Telegram
 
Upupu
 
Israel yuko silent mno

Mkuu, Israel hawezi thubutu kuingilia hiyo vita ya Ukraine sababu ya maslai yake binafsi yalipo kati yake na Urusi.

Israel akipeleka silaha Ukrain ina maana Urusi ataanza kusupport vikundi vinavyopigwa na Israel uko Syria na Palestine ikiwemo hata kupeleka silaha za masafa marefu. Ni hatari sana kwa Israel kuingilia hii vita.

Ukiacha hiyo kuna deal kati ya Urusi na Iran kuhusu exchange program ya nuclear weapons ambayo hadi sasa ni Urusi tu anaichelewesha, Israel [emoji1134] akicheza kidogo basi Iran [emoji1130] inaenda kumiliki a full ICBM nuclear weapon kitu ambacho Israel hataki kusikia.
 
Putin has lost more troops in Ukraine than US did in whole of Vietnam war – report​

Arpan Rai
Mon, October 17, 2022, 1:17 PM·3 min read
In this article:

  • Vladimir Putin
    President of Russia

Russia has lost around 65,000 soldiers since its invasion of Ukraine, officials in Kyiv say, a death toll which would rank well above the fatalities suffered by the US in the Vietnam War.
The general staff of the Ukrainian armed forces gave the figure in its latest war update on social media. As of 17 October, it listed “about 65,320 (+320) persons eliminated” as among the “total combat losses of the enemy” since the war began almost eight months ago on 24 February.
If confirmed, it would mean Russia has lost close to 2,000 soldiers a week during the conflict. The 65,320 estimate was up about 10,000 on the previous figure provided by the Ukrainian military on 21 September.

ADVERTISEMENT

By way of comparison, according to the Defence Casualty Analysis System (DCAS) Extract Files, around 58,220 US military casualties were recorded in the Vietnam War.
The Vietnam Veterans Memorial Fund states that 58,281 Americans died in the prolonged proxy war between the US and Indochina forces in Vietnam.
 
Msafara wa kwenda Kiev waliongozana wakafyekwa wote
 
Israeli hawezi kuhimili misukosuko ya Russia na pia Russia ina waisraeli wengi . Israeli ni ndogo sana kwa eneo itapata tabu kama Russia atavunja makubaliano yao aanze kuwapa waarabu silaha kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…