Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ESTONIA ,ESTONIA, ESTONIA! ...Nimekuita mara ngapi?
The Estonian parliament has just unanimously passed a resolution declaring the Russian regime a terrorist regime and Russia a state that supports terrorism. The votes were divided as 88:0.
Kanchi maskini hako,hata GDP yake tunakapita mbali Sana tu,Kama population ya watu 1mil tu.

Kana GDP ya $bil 30 wkt Tz ina GDP $bil 62.

Kwny GDP/Capita ndio kametupiga parefu sababu kana population ndogo ila ni kanchi flani ka kingese hivi.

Meldev alisema tukimalizana na Ukraine tutakuja ku-deal na Baltic states (Estonia, Latvia na Lithuania)
,yajayo yanafurahisha Uko tayari?
 
yangu macho ...nakunukuu mkuu. yajayo.........? naomba wengine wamalizie. siwezi log off
 
Na bado Urusi inaipiga Ukraine kistaarabu.
Hebu fikiria kama Urusi ikiingiza jeshi lake lote na Kila rasilimalivita zake zote.unafikiri Ukraine itakua na halia Gani?
Ukweli ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine Huku ikijua fika NATO wanavizia kama ikichoka kijeshi ndio waingie,hivyo Russia inapigana Huku ikiacha akiba nzito ya vifaa vizitovizito kwa ajili ya NATO.
Pia inajua kabisa kua NATO wanazisoma silaha zake,hivyo wanapigana kwa tahadhari Huku wakijua kua NATO wanasoma mchezo.maana yake ni kwamba Urusi Wana akiba ya askari bora kabisa pamoja na silaha Bora kabisa kwa ajili ya NATO.
 
Yanaweza yakakupata wewe haya kwa makosa ya mtandaoni ..kaa chonjo Ndugu....Na kuhusu Putin wa kumkamata ni nani?? Biden??!!!
 
Wameanza kuongea...
Ndio maana waliamua kuachana nazo.

Vilevile ni jambo jema kukiri madhaifu.
 
Binafsi namini hakuna yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuunga mkono taifa Moja kuingilia maamuzi ya taifa lingine.., hivyo naungana na Ukraine na wapenda haki pote dunian kunyoosha hiki kidole dhidi ya fast Putin,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We chiz kweli yaan anaua raia unasema anapigana kistaarabu,alafu hizo silaha za Russia umejuaje matumiz yake? Mijitu mingine bwana mahaba yanaendesha coment
 
Toka wale wanamgambo wa Houth kutoka Yemeni kuchapa visima vya mafuta vya saud while walikua na air defense za gharama sana kutoka US. Pale pale wafalme waligundua walikua wanatepeliwa na mwana US...

Kwa miaka mingi USA aliwafanya Saud kama mafala, amewagombanisha na syria, Yemen na majirani wengine...sasa wanamkataa kimtindo. Aibu kwa mashoga
 
Ok tufanye taarifa hii ni kweli,je Marekani wali benefit ninj huko Vietnam,
Urusi Huku kapata eneo
 
Yanaweza yakakupata wewe haya kwa makosa ya mtandaoni ..kaa chonjo Ndugu....Na kuhusu Putin wa kumkamata ni nani?? Biden??!!!
Najua mlio wengi mtaumia lakini huo ndio ukweli mchungu.., siku za Putin kuendelea kukaa madarakani ni chache sana,kwa mtu mwenye akili finyu anaweza asilione hili .., lako huo ndio uhalisia..,punde atajikuta kizimbani huyo mnayemuona kama mungu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…