Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We chiz kweli yaan anaua raia unasema anapigana kistaarabu,alafu hizo silaha za Russia umejuaje matumiz yake? Mijitu mingine bwana mahaba yanaendesha coment
Urusi katembezewa kipigo kikali huko front line kaamua kumalizia hasira zake kwa raia .,Kwa Sasa anajivunia kuharibu miundombinu tu..,huko front line hasongi mbele hata hatua Moja, [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Drone za mashambulizi ya siku tatu ndio yanakupa hitimisho la vita ni ufinyu wa mawazo, kaa kwa kutulia mtanange ufike mwisho kisha njoo jukwaani hapa .
Sasa kama drone za siku tatu..ulimwengu wote unalalamika...West wanatoa lawama...huo mwisho unaosema tuusubiri si watu watafutwa kwenye uso wa duni???
 
Sasa kama drone za siku tatu..ulimwengu wote unalalamika...West wanatoa lawama...huo mwisho unaosema tuusubiri si watu watafutwa kwenye uso wa duni???
Kulalamika inaweza ikawa janjanja ya kutafta sababu ya kuingia mzigoni mazima Ili kumchakaza vizuri dikiteta anayejiita Putin [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Madhara ya kulipia miundo mbinu ya umeme
1. Kudidimiza uchumi wa adui
2.Kupoteza focus ya adui
3. Kuvunja moyo walioko frontline
4.Kukwamisha mawasiliano ya kijeshi na kuitawala

4. Kuondoa umoja miongoni mwa adui
5 Kukatishwa tamaa NATO na washirika wake. Hawajui wafadhili vita ama miundombinu

5. Kukwamisha mobilization ya new recruits
6.Kutisha nchi jirani zinazotaka kusaidia Ukraine

6. Kujenga KUJIAMINI kwa vikosi vya Urusi na ari KWA mobilised soldiers

7 , Maeneo yaliyochukuliwa na Russia kujiona wamefanya chaguo sahihi

8. Kupata sapoti kutoka nchi za kiarabu kupitia kamikaze za Iran

9..Kuongeza hali ya I multipolarism.

Kifuatacho

Kama NATO wasipomshughulikia Iran basi mataifa mengine yatajitokeza Upande wa Russia kusaidia silaha

Kama USA ataanzisha chokochoko Iran basi mgogoro na vita vitatapakaa middle East.
na kuamsha ugaidi

Israeli iendelee busara ya kutojishirikisha vinginevyo NGOMA itasambaa na Israeli ataonja machungu ya direct war ambayo itamwathiri najua wengi mnaamini Israeli ni KILA kitu mtashangaa si kweli
 
Urusi katembezewa kipigo kikali huko front line kaamua kumalizia hasira zake kwa raia .,Kwa Sasa anajivunia kuharibu miundombinu tu..,huko front line hasongi mbele hata hatua Moja, [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huko front Russia anachapa kama timu ya congo
 
Ndugu mimi sio mchangiaji wa humu ndani ila siku nitakuja na insha kuhusu huu mgogoro wa Rus-Ukra. Ila tuendelee kuiombea Russia inavita kubwa sana kwa wale ambao mpo upande wa US nafikiri hamjui mpango wa US kwenye hii dunia hana mema kabisa na ulimwengu.

Dunia ya sasa sio ya zamani tunahitaji balance of power na sio kupangiana au kuingiliana ndani ya mipaka yetu ya nchi.

Nafurahi sana kusoma uchambuzi wa Warussi weusi mko vizuri big up sana kweli mnajua geopolitics na uchumi.
 
Kifuatacho ni wimbi la wakimbizi Ulaya.
 

South Africa Confirms Saudi Arabia will join BRICS Alliance with China and Russia and move away from the American sphere of influence.​


Published October 17, 2022



Saudi Arabia, the largest U.S. export market in the Middle East, has invited Chinese President Xi to visit Riyadh in March next year as relations with the U.S. have faltered since Joe Biden was elected, The Wall Street Journal has reported.
According to a report from CNN, U.S. intelligence agencies have assessed that Saudi Arabia is now actively manufacturing its own ballistic missiles with the help of China, a relationship that could lead to domino effects across Middle East countries.
Advertisement - story continues below

The US leader who suffers from severe dementia is openly mocked on the international stage. U.S. allies are now aligning with China.
Saudi Arabia announced in March this year that it was considering accepting the Chinese yuan instead of the US dollar in future transactions.

This is the move Steve Bannon and the War Room have been warning about for the past year.
This will end US dollar supremacy,and it was facilitated by Joe Biden, Democrats, and the Uniparty members.

Joe Biden and his handlers are destroying the United States.
In July Saudi Arabia was invited to join the Shanghai Cooperation Organization (SCO) and BRICS.
And this weekend, the South African leader confirmed the likelihood that Saudi Arabia would be joining the BRICS Alliance.

More information in the following link

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…