jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Depopulation
Biological diseases
Covid
Huenda ndo orders zenyewe
SAWA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaokoteza taarifa
Shobo imemponzaWaziri wa mambo ya nje wa Madagascar aliwa kichwa (afutwa kazi) baada ya kupiga kura dhidi ya Urusi kwenye kikao cha UN
Biden haamini, kanuna vibaya😆😅🤣😇
View attachment 2391660
Tunapowaambia Hali ya Supapawa ni mbaya sio kwamba tunatunga ni wao wenyewe wanakiri kwamba wanatembezewa kichapo cha mbwa Koko mpaka wanakimbia kama panya RoadUnaokoteza taarifa
Hii ndo source yako?Tunapowaambia Hali ya Supapawa ni mbaya sio kwamba tunatunga ni wao wenyewe wanakiri kwamba wanatembezewa kichapo cha mbwa Koko mpaka wanakimbia kama panya RoadView attachment 2392381View attachment 2392382
ANAPIGA kadogo tu ka kishkajiUS wako wanachochea wanasema hayo maeneo ambayo Russia amesema anaondoa watu wake Ni Kwamba eti anataka apige tactical nuclear kidoogo na hio wanasema wameitoa Kwny kauli ya Gen. Armageddon Kwamba anaweza akafanya 'difficult decisions' Kwny Jambo hilo linaloendelea.
Bado siamini Kama Russia atatumia nuclear,lkn natamani sana aitumie ili wajue yuko serious na anamaanisha.
Sasa kama unabisha mbishie na huyo mwanajeshi wa Urusi Aliyekua front lines anakwambia hali mbaya maana Ukraine imevunja madaraja yote ya kuingia na kutoka Kherson.Hii ndo source yako?
Bila shaka utaendelea kutupatia habari hizo ...usipotee kiainaKuna taarifa kwamba Ukraine wanafanya SEAD operation huko Kherson ili kubomoa air defenses za Russia. Yajayo yanafurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa uko nyuma ya muda sana, nchi kama Urusi ikose madaraja ya muda??Sasa kama unabisha mbishie na huyo mwanajeshi wa Urusi Aliyekua front lines anakwambia hali mbaya maana Ukraine imevunja madaraja yote ya kuingia na kutoka Kherson.
Meanwhile in Russia: anger and disappointment fill the studio, as the viewers are being prepared for the loss of Kherson and other territories. Host Olga Skabeeva bitterly questions why Russia was so wrong in the beginning, believing that Zelensky would run & NATO wouldn't help.
Yajayo yanafurahisha [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kabisa mkuu au awapige hata thermobaric/vacuum bomb.ANAPIGA kadogo tu ka kishkaji
Wazi mkuu ITAPIGWA thermo kukausha kambale . Wanasubiriwa wajaeKabisa mkuu au awapige hata thermobaric/vacuum bomb.