wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Ongeza sauti,Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine 😁😁We kvma ungemwambia huyo kvma mwenzako ndio apunguze matusi .
Si mnataka la matusi nyie mbwa ,bring it on ,I'm good at that
Kvma la mama ako
Kabla hamjamwita putin war crimanal nendeni mkakamte kwanza akina George bush, obama clinton na minions wao wa nato kwa war crime walizozifanya huko iraq, vietnam, libya na AfghanistanWewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew
What is a war crime and could Putin be prosecuted over Ukraine?
The ICC wants President Vladimir Putin arrested for war crimes, but South Africa may not cooperate.www.bbc.com
War Crimes by Russia’s Forces in Ukraine - United States Department of State
Based on information currently available, the U.S. government assesses that members of Russia’s forces have committed war crimes in Ukraine. We will continue to share information with allies and partners, and pursue accountability.www.state.gov
Wanazidi kumchanganya tu US [emoji3][emoji845][emoji635][emoji383][emoji1128]Trade between Russia and India can be carried out in a pair of Rupees-Saudi rials. Such a currency mechanism is being discussed between Russian and Indian banks[emoji845]
Kwani umeambiwa hapa tuko darasani tunaandika imla???'kajiudhuru'??????!!!!!! Atakuwa anatoka damu pengine hahahhaha dhuru dhuru dhuru.... jiuzulu jiuzulu jiuzulu
Napata shida kwenye uzi huu...huenda tujadiliana na watu wasiojua hata maana ya maneno....
Kujiudhuru na kujiuzulu ni maneno tofauti kwa maana....
kujidhuru
Wewe Naye mnafiki tu kama wanafiki wengine..,kama unaweza kukosoa kwa nini usimkosoe Kwanza huyo pro Russia mwenzio? Huyu kwa kuwa mmetofautiana mtazamo basi unakuwa mwepesi sana kuona matusi yake,kwa pro Russia wenzio unakuwa kipofu, matusi huyaoni,Kijana jieshimu matusi yanini sasa?? Matusi ni dalili za kuishiwa hoja na inaonesha akili yako haipo sawa wahi mirembe.
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Ongeza sauti,Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine [emoji16][emoji16]
Hii pia ni message kwa Ukraine... Hapo anaambiwa Fanya fanya umalizane na hao jamaa kwa njia za ki diplomasia, sisi tumeshachoka kuendelea kukupa helaNaona wanalilia diplomasia [emoji3], hii vita ishamchosha US ila sasa kutoka wanaona aibu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji631] [emoji635] [emoji1255] USA do not see from the Russia's willingness to diplomacy on Ukraine–Antony Blinken.
In his opinion,Russian President Vladimir Putin showed "no interest"in participating in "constructive diplomacy" with Ukraine after 8 months of conducting a Special Military Operation.
Kama ambavyo USA alipandikiza huko Iraq,Afgan,Libya,Cosivo NK?Angeipandikizia Watu waiongoze ukrein bila wa Ukraine kujuwa
Au Ange eliminate wachache anaowaona ni tatizo in a smart way.
Hizi takataka mnazidi kujaza server za jamiiforum kwa uchafu tu..ndo umeandika ugoro gani SasaHuna hadhi ya kutamka neno uchumi wachilia mbali kuuchambua! Matusi na kejeli hazisaidii kufikisha hoja zako kama ni za hovyo. Sanasana inaonesha jinsi gani ulivyo mweupe. Zero. Zip. Nada!!! [emoji2388][emoji778]️
Kuflood market na cheap product ndio njia ya kumuoutcompete mshindani wako!? Bwahahahahaha[emoji16] that is a very sh!ty strategy.
Na kama umetumia china's manufacturing advancement as a case study hapo ndipo ulipopotea. China ameendelea kwenye manufacturing industry sio kwa sababu ya ku flood bidhaa za bei rahisi kwenye soko bali ni kwa sababu ya advantage ya cheap labor aliyokuwa nayo.
Hata hivyo, Huo mfano hauwezi kowork kwenye mafuta na gesi. 'Kuflood market' hakuwezi kuzisaidia nchi za africa kudominate na kuwa na influence kwenye soko la mafuta duniani. Here is why; (only if you can read and comprehend dum[emoji34]y)
1. 1St thing 1st. Maamuzi ya kupunguza supply ya mafuta ni maamuzi yaliyofanywa na Opec plus ambapo nchi za afrika zinazoongoza kwenye uzalishaji wa mafuta ni members. Lzm watekeleze walichokubaliana hawawezi kwenda kinyume. Wao wanajua kwa nini hasa 'kuflood' soko sio health move. Huwezi kuwa na akili kuliko wataalamu wote wa algeria, nigeria, gabon, angola, libya, sudan, s sudan etc combined.
2. Uwezo. Kwa pamoja nchi za afrika hazifikishi hata mapipa milioni 9 kwa siku. Hiki ni kiwango kidogo sana kwa nchi karibia 10 zinazozalisha mafuta kwa wingi afrika. There is no way nchi hizi zitaweza 'kuflood' soko la mafuta duniani. Hicho kiwango kinachozalishwa na hizo nchi za afrika hakitoshi kuflood soko la afrika let alone la dunia. Na sababu kwa nini afrika inazalisha kidogo ni uwekezaji mdogo kwenye uchimbaji. na uwekezaji pamoja na mengi unategemea hifadhi ya mafuta ardhini. Kwa pamoja afrika ina pipa bilioni 125 tu wakati nchi kama saudia ni karibia mara mbili ya kiwango hiko. There is no way on earth nigeria akaweza kupush production yake kutoka pipa milioni kwa siku mpk pipa milioni 10 kwa siku kama saudia. Sio km kuongeza sauti kwenye remote and mindyou nigeria ndio anaongoza kwa afrika.
3. Africa hawezi kuliteka soko la ulaya. Uliposema soko lipo ulaya nikacheka sana. Logistically its impossible africa kuovertake soko la ulaya. Currently nchi za afrika zinazalisha around pipa milioni 7 kwa siku lkn ulaya wananunua kutoka Algeria tu na haizidi 8% ya mahitaji yao. Urusi anauza around 30% ulaya na ni kwasababu ya matumizi ya pipeline. Matumizi ya pipeline ni muhimu kupunguza gharama na kisha bei. Ndio maana unaona hata EU mafuta ya urusi yaliyowekewa vikwazo sio yanayopita kwenye pipeline maana wanayahitaji sana.
4. Economics. Siku zote supply ikiongezeka bei inashuka. Smart move kwenye mafuta ni kupunguza production ili uongeze bei meaning faida zaidi huku kukiwa na slow exhaustion ya reserve. Ukiflood soko na bidhaa utashusha bei sana meaning hasara sana wakati hifadhi yako inaisha kwa kasi. Kbl hata hujapata hiyo influence unayoitaka hutakuwa na mafuta yaliyobaki ya kuuza. Furthermore nchi za afrika zinazozalisha mafuta zinategemea mafuta kwenye pato lao kwa kiasi kikubwa hazitaweza kusurvive bei ikiwa beyond low hata kwa muda mchache.
Endele kutukana...
Russia, NK, Iran hawataki utani eti una mspy anakupa tukio haraka sana.
Wabatize Kwa moto mkuu..,Hawa pro Russia ni kama kenge tu,hawasikii mpaka damu ziwatoke masikioniWe kvma unapoona comments zangu kaa mbali , ntakupasua huo mcundu ,
Mseng£ wewe
Kujiita pro nato au pro Russia sio sababu ikiwa maneno yako yanajionesha upo kwenye bloc ipi.Mm sio pro NATO ila sihafiki movement ya Putin kuivamia Ukraine, huwezi nikuta nikiishabikia NATO.
Kuhusu kumsahihisha, haimaanishi kuwa nakubaliana na aina yake ya matamshi ila namuonyesha kuwa matamshi yake yamejipinga yenyewe. Unamwambia mtu huna akili halafu unamalizia na maneno una akili.
Hawa jamaa ustaarabu hawana,ni mwendo wa kuwabatiza Kwa moto tuwewe changudoa umekuja na I'd nyingine , unahamu na kuingiziwa dushe au sio .
Kvma wewe , unadandia hoja unajua imeanzia wapi ? .Unajua Maana ya propaganda we vuzi?
Mseng£ wewe
Huyo kajiuzulu kama wengine wote waliowahi kujiuzulu.., imeisha iyooooooo..,
Tujuze mkuu pleaseKwenye WWII unakumbuka ile battle ya Kursk salient??
Endeleeni kujifariji wakati super pawer wa mchongo anatembezewa mkong'oto hatari Huko kheson [emoji848]Wanapishwa wanaingia kisha vikosi vya ambush vinaibuka na kuwamaliza