Na unaambiwa hizo drone ni daraja la tatu kwenye viwango vya drone za kamkaze za kiiran ina maana kuna daraja la pili na la kwanza.Kuna watu humu waliwahi kubeza allies/washirika wa Urusi.
Walibeza Iran,north Korea ,china na baadhi ya washirika wa Urusi.
Nadhani baada ya drone za Iran kuleta shida Ukraine na kupelekea NATO kuzikadili ,naamini Sasa watabadili mashaka Yao.
Unajua Iko hivi,inaweza ikawa washirika wa Urusi wasiwe na uchumi Mzuri sana hasa kutokana na vikwazo,lakini wakawa wako vizuri sana kijeshi kutoka na kusakamwa sana na USA kwa vitisho vya kuvamiwa,mfano North Korea na Iran,hivyo kupelekea kuelekeza nguvu zao na akili zao zote kufanya tafiti na kujitengenezea silaha Bora kabisa kwa ajili ya kujilinda,na haya Sasa kuwafanya wawe na uwezo sawa kabisa katika teknolojia za silaha sawa kabisa ama zaidi na nchi za west.
Sio Siri,Iran na Korea Kaskazini Wana uwezo mkubwa wa kijeshi kwa Sasa kuliko baadhi ya nchi nyingi za west.
Drone za Iran zimewafumbua macho.je silaha nyingine za Iran zikoje?
Yan wamebanwa haswa na kutoka kherson lazma wavuke daraja na daraja lilishabomolewaga kitambo itabid waache vifaru na vifaa vingine vizito maana panton ndilo linaoperate paleKuna pro Russia bado wanakomaa humu .., tukiwaambia kwamba super pawer wa mchongo ana Hali mbaya huko kheson hawaelewi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1666]
Walitegemea kuweka vikwazo vya Kila aina,vikwazo ambavyo havijawahi kabisa kuwekwa kwa nchi yoyote duniani,vikwazo vya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,ingemchosha Urusi.
Walitegemea kupeleka silaha za mabilioni ya fedha,silaha za Kila aina,silaha kutoka Kila nchi ya NATO na isiyo ya NATO, ingerefusha vita.
Walitegemea haya yote Urusi ingependekeza vita iishe kwa njia ya kidiplomasia,lkini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi ndo kwanza inawaambia wako level ya pili ya operation.kukata mawasiliano na kuharibu miundombinu.
Kiuchumi ndo kwanza vikwazo vinawafilisi wao wenyewe,
Kisiasa ndo kwanza luundo la nchi zinagombea kujiunga kwenye umoja ulioanzishwa na Urusi BRICS ama umoja alimo CSTO..
Iko hivi,USA ni adui mkubwa wa Urusi,lakini Urusi Hana chuki na USA.
Kila alipo USA hapa duniani,Urusi ana jicho lake.
Baada ya kuona USA ana interst sana na former Soviet states especially Ukraine,Urusi walielekeza macho Yao yote hapo,kwa hiyo Kila walichokua wakifanya USA NATO hapo Urusi walikua makini kutazama kwa macho Yao "maalum".
Hivyo baada ya Urusi kunusa hatari nao wakaanza maandalizi ya kutibua mipango kabla haijafika kuleta madhara.walijiandaa kwa Kila kitu kutokana na tabia za USA (vikwazo,fitina,kutengwa,uongo,silaha,kukupa jina baya,na Kila aina ya ushenzi).
Ndio mnaona badala ya kutengwa,kuchukiwa,kuanguka kiuchumi,kuchoka kijeshi na Kila aina ya ushenzi ndo kwanza Russia inaungwa mkono,pesa yake imepata umaarufu,uchumi haujatetereka kama ilivyotarajiwa,inapata marafiki wapya,inaongeza mashambulizi kuliko mwanzo.
Haya yote yalifanyiwa upembuzi yakinifu na chanjo iliandaliwa.
Msione hivyo mkadhani Urusi wamebahatisha,ni kazi za Great thinkers.
Unaweza kudhani hawakuipigia mahesabu NATO,no,walijua kabisa NATO watasaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ndipo Russia wakaanza na diplomasia kuhusu kuheshimu makubaliano ya Minsk,luziomba NATO zisiiingize Ukraine kwa NATO, na Kila aina ya diplomasia,lkn wakamdharau.
Baada ya kuona Wana kiburi kaingiza jeshi, na nakuhakikishia kua,Russia hii vita, hatarudi nyuma.
Baada ya kuona hayumbi Sasa wanaangalia namna ya kumrudisha mezani.
Kwa kuhitimisha,ni kwamba, akili ya Chess imetumika pakubwa kudili na west.
Muulize huyo Pro wenzako aliyetoa waraka mrefu
Wewe utakuwa swarznegar na id yako. Inaonekana unajua vita sana.Hiyo ramani ya Rybar hainoeshi popote Ukraine walipozingirwa. Hawakuanzisha bridgehead kwamba imezidiwa, wako kwenye war zone na contact line yao iko within Russian artillery range.
Vivo hivyo na kwa Russia contact line yao iko within Ukrainian artillery range.
Sioni nani yuko nyuma ya mto na kama hakuna mto yeyote anayezidiwa anafanya retreat.
Hakuna aliye kwenye pocket sasa wanazingirwaje
Kuna watu humu waliwahi kubeza allies/washirika wa Urusi.
Walibeza Iran,north Korea ,china na baadhi ya washirika wa Urusi.
Nadhani baada ya drone za Iran kuleta shida Ukraine na kupelekea NATO kuzikadili ,naamini Sasa watabadili mashaka Yao.
Unajua Iko hivi,inaweza ikawa washirika wa Urusi wasiwe na uchumi Mzuri sana hasa kutokana na vikwazo,lakini wakawa wako vizuri sana kijeshi kutoka na kusakamwa sana na USA kwa vitisho vya kuvamiwa,mfano North Korea na Iran,hivyo kupelekea kuelekeza nguvu zao na akili zao zote kufanya tafiti na kujitengenezea silaha Bora kabisa kwa ajili ya kujilinda,na haya Sasa kuwafanya wawe na uwezo sawa kabisa katika teknolojia za silaha sawa kabisa ama zaidi na nchi za west.
Sio Siri,Iran na Korea Kaskazini Wana uwezo mkubwa wa kijeshi kwa Sasa kuliko baadhi ya nchi nyingi za west.
Drone za Iran zimewafumbua macho.je silaha nyingine za Iran zikoje?
Kwahiyo mkuu umefurahi na wew unaunga mkono hayo mambo??
Hapana nafikiri hao wamepigwa na kitu wakiwa kwenye handaki,ni aina Fulani ya mahandaki katika uwanja wa mapambano.Jamaa wana huruma sana mpaka wanawazika [emoji1373]
Lawama zako ni baseless!Naona hata kuelewa ni ngumu..,kapumzishe akili kwanza mkuu..,[emoji106][emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndo hapo wanapochanganyokiwa.Na kumbuka zile drone zina tech ya kawaida tu wakitoa zile konk itakuaje[emoji23]
Acheni matusi,hayana maana yoyote!Hiyo ndio excuse wanayotoa Proputin wengine kwa uvamizi wa Urusi, kwamba mbona US walivamia Afghanistan, Libya na Syria !
Huo ndio utaratibu waliojiwekea wenyewe huko uingereza, atakuja mwingine ataendeleza moto ule ule [emoji91][emoji91][emoji91]Shikamoo Putin...tayari umemuangusha tena waziri mkuu wa Uingereza Liss Truss aliyeingia kwa mbwembwe na mikwara[emoji38][emoji28][emoji1787][emoji56][emoji56]
Serikali ya Uingereza yaanguka trna kwa mara nyingine baada ya ile ya Borison.
Hayo yote ni kutokana na Urusi kubana wese na gesi yake...hali imekuwa ngumu kwa mabeberu...
Bado Macron..
View attachment 2393072
Uyu Kamanda Mpya hana Masihala Aisee