Ni hatari sana mkuu,, hatukatai urusi ni taifa lenye nguvu lakini Kwa hizi danadana lazima anyooshe mikono tu[emoji16]aiseee..... Putin atamaliza vita hii akiwa amechoka mno.
alinunua 2,400 zishaisha, sasa hakuna Taifa linathubutu kumpatia - Iran wameanza kuomba msamaha kwa EU na UN.Drone zimeisha
Usiamini kirahisi hivyo mkuu..,hawawezi wakatumia zote kwa wakati mmoja.., lazima wabakize kidogo Ili waendelee kutishia nyau [emoji2957]Drone zimeisha
Tuliwaambia wazi pro Russia humu kwamba Iran atapewa kifinyo kikali mpaka yeyote mwenye mawazo ya kumpa sapot dikiteta Putin itabidi ajiulize mara mbili mbili [emoji848]alinunua 2,400 zishaisha, sasa hakuna Taifa linathubutu kumpatia - Iran wameanza kuomba msamaha kwa EU na UN.
Tuliongea haya miezi kadhaa nyuma kwamba Mrusi hawezi kutoboa vita hii ila warusi wa buza wakatubishia balaa, haya sasa drones 2400 zishaisha... kaombeni tena.Ni hatari sana mkuu,, hatukatai urusi ni taifa lenye nguvu lakini Kwa hizi danadana lazima anyooshe mikono tu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Asemacho Liz trus ni kweli kabisa.., Putin hatakiwi kupewa nafasi yoyote ya mazungumzo maana kufanya hivyo ni kumpa nafasi ya kujipanga vizuri Ili aendeleze vita vyake.., hatakiwi kupewa nafasi ya kupumua,Ukraine needs a clean victory, British Foreign Minister Liz Truss said in an interview with the French newspaper Journal du Dimanche.
Liz Truss warned the world community against signing a "bad" peace agreement with Russia, because, in her opinion, this will allow Putin to regroup his forces and go on the offensive again.
"We cannot afford another Minsk agreement. Ukraine needs a clean victory that will restore it to its old borders and ensure security," the head of British diplomacy said, adding that by allocating 2.3 billion euros to Ukraine, Britain is the second largest aid provider after the United States.
"We want the maximum amount of military assistance in the form of equipment and training to reach the Kiev authorities during this crucial period of the war, so that the Ukrainian army can carry out its counter—offensives against Russia," she said.
Vita kama soccer unaweza kuwa zone yako , zone ya adui, au katikati na inakuwa hivi hàdi dakika tisini .japo zipo mechi umiliki unaweza kutofautiana na matokeoBado tunawakumbusha tu urusi alikuwa ameshalimiki kikamilifu Hilo Jimbo...,imetokeaje tunasikia Tena habari za mapigano Jimboni luhansik??
Siitaji jibu!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hili JAMBO nililigusia even before lakini kuna mambo ya msingi ya kiteknolojia wanaweza uziana . Statement nyingine ni za kisiasa tu . Ni kama zeleboy anapojitoa kwenye daraja la ceemiaTuliwaambia wazi pro Russia humu kwamba Iran atapewa kifinyo kikali mpaka yeyote mwenye mawazo ya kumpa sapot dikiteta Putin itabidi ajiulize mara mbili mbili [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio british foreign minister ni british pm. Ambaye kwa sasa hana alilionalo maana kashatangaza kuachia ngazi.Ukraine needs a clean victory, British Foreign Minister Liz Truss said in an interview with the French newspaper Journal du Dimanche.
Liz Truss warned the world community against signing a "bad" peace agreement with Russia, because, in her opinion, this will allow Putin to regroup his forces and go on the offensive again.
"We cannot afford another Minsk agreement. Ukraine needs a clean victory that will restore it to its old borders and ensure security," the head of British diplomacy said, adding that by allocating 2.3 billion euros to Ukraine, Britain is the second largest aid provider after the United States.
"We want the maximum amount of military assistance in the form of equipment and training to reach the Kiev authorities during this crucial period of the war, so that the Ukrainian army can carry out its counter—offensives against Russia," she said.
Armed forces of the Russian Federation captured Verkhnekamenka, Zolotarevka, Belogorovka, thus closing the encirclement around Lisichansk, the Ministry of Defense of Russia announced. The Ukrainian group of troops is completely blocked in the "cauldron".
So what,kwani wao si wanawapa silaha Ukraine,sasa Russia waki-outsourse silaha ndiyo inakuwa nongwa.Double standards zingine za kipepo kabisa.Thank you people of America View attachment 2393584