Ukiachana na suala la Pro-Russia wengi kuwa na vichwa smart, kingine Pro-Russia wengi wana maono makubwa sana ambayo wakishayasema lazima yaje kutokea hata kama nikwa kuchelewa.Alietabiri kua Urusi ataziamgusha Serikali nyingi ulaya aliona mbali.
Kama sio Op hii BJ angeendelea kua PM UK
"Malengo ya Urusi hayajulikani"Mwanzoni mwa Vita Zelensky alitangaza kuachana na mpango wa kujiunga NATO na EU. Zelensky alifika hatuwa ya kuwaita wamagharibi cowads, lkn Urusi waliendelea kumshambulia. Malengo ya Urusi hayajulikani.
"Malengo ya Urusi hayajulikani"Mwanzoni mwa Vita Zelensky alitangaza kuachana na mpango wa kujiunga NATO na EU. Zelensky alifika hatuwa ya kuwaita wamagharibi cowads, lkn Urusi waliendelea kumshambulia. Malengo ya Urusi hayajulikani.
Nyie waswahili mtaongoza tu. Hebu yaweke hapa hayo malengo ya Russia."Malengo ya Urusi hayajulikani"
Aisee sisi waswahili kwa kujifanya wajuaji Afrika nzima tunaongoza.
Uko sahihi kabisa,lkni msingi wa hoja zao zote ni kwa sababu wamesimamia ukweli.Ukiachana na suala la Pro-Russia wengi kuwa na vichwa smart, kingine Pro-Russia wengi wana maono makubwa sana ambayo wakishayasema lazima yaje kutokea hata kama nikwa kuchelewa.
Wakisema Ukraine siku za hivi karibuni itatembezewa kichapo cha hatari, hakika inakuwa.
Wakisema siku si nyingi kuna waziri mkuu ulaya ata resign, inatokea kweli
Binqfsi, ninaweza nisichangie uzi hata kwa siku nzima, ila furaha na radha ya uzi huu nikawa naipata kwa kusoma comments za Pro-Russia tu jinsi wanavyo dadavua mambo kiundani utadhani ni Maprofesa wa Geopolitics.
PRO-RUSSIA NAWAOMBEA MUZIDI KUWA NA AFYA NJEMA ILI TUENDELEE KUPATA MADINI ADIMU YALIYO KWENYE UBONGO WENU [emoji635]
Safi sana na hapo ndo utaelewa yale maamuzi ya China kuachana na kile kibibi cha USA kilicho enda kuichokonoa china ili ianze kupigana vita ipotee kwenye ushindani wa Uchumi.View attachment 2393340
You can always count on China. China has contributed more to global economic growth than the G7 combined in 2013-2021.
Zuri saanaLitambue barza zima la usalama la Russia:
Baraza hilo lajumuisha wawakilishi wa taifa zima la Russia ambao huweza kuitwa mara moja na raisi Putin akihitaji kufanya hivyo.
Lakini wajumbe wachache ambao huwateua yeye wapo 11 akiwemo raisi Putini mwenyewe kama mwenyekiti.
Wajumbe 12 wa baraza ni kama wafuatao:
1. Dmitr Medvedev - makamu mwenyekiti
2. Mikhail Mishustin Waziri Mkuu
3. Sergei Naryshkin- Mkurugenzi wa ujasusi wa nje SVR
4. Spika wa bunge la Duma
5. Katibu mkuu ofisi ya raisi
6. Mwakilishi maalum wa raisi masuala ya mazingira, tabia nchi na usafirishaji.
7. Nikolai Patrushev- Katibu wa baraza
8. Sergei Shoigu- waziri wa ulinzi
9. Sergei Lavrov- waziri wa mambo ya Nje.
10. Waziri wa mambo ya ndani.
11. Aleksandr Bortnikov ambae ni mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa.
12. Bi Valentina Matviyenko ambae ni mwenyekiti wa wawakilishi wote wa baraza la usalama.
Mitano tena.
Iran Ni tishio,[emoji1255] Deliveries of weapons by Tel Aviv to Ukraine can play a cruel joke on Israel - weapons can be used against itself. This was stated by former Prime Minister Benjamin Netanyahu in an interview with MSNBC.
“With regard to [deliveries of Israeli] weapons to Ukraine, there is always the possibility - and this has happened more than once - that the weapons that we supply in a certain theater of operations will fall into the hands of Iran and end up being directed against us. For example, in the Golan Heights, where we are trying in every possible way to prevent Iran from creating a second Lebanese front, a second front against us, we often have to deal with Israeli-made weapons," Netanyahu said.
[emoji188]
But wanasema Iran ni so weak!