Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni ujinga pia kudhani Russia hatashinda Kwa Sababu hakuna wa kumzuia.
 
Nani kampiga mikwara nipe evidence na Kherson na maeneo yaliyochukuliwa na Russia ni maeneo ya Russia milele.
Kweli kabisa mkuu..,hata mji wa Lyman hambao ulikuwa umeshachukuliwa na Russia pamoja na maeneo mengine yanayokombolewa huko kheson na kwingineko yatakuwa ya Russia milele [emoji120][emoji120][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Nakubaliana na baadhi ya hoja zako - naona labda sikujieleza vizuri mimi milikuwa namaanisha west Europe sio Eastern Europe zinazo involve former Soviet Union Republics vile vile na former Warsaw Pact Nations - najua chuki walizo kuwa nazo dhidi ya Urusi na kwa bahati nzuri sio kwamba mataifa yote ya Ulaya mashariki walikuwa wanaichukia Urusi.

Nilicho taka kumaanisha ni kwamba mataifa ya Ulaya yanafanya makosa makubwa kwa kujaribu kuitenga/susa Urusi kibiashara na uchumi,after all, hviwanda karibu vyote vya Ulaya vinategemea kwa kiasi kikubwa nishati kutoka Urusi ambayo unauzwa kwa bei nafuu sana - asili mia kubwa ya uchumi wa Ulaya unategemea viwanda, sasa uwezi kukatisha ghafla nishati unayo itegemea kwa karibu kila nyanja wewe unakimbilia kujali shinikizo la kisiasa kutoka utawala wa US wenye lengo la kujaribu ku-muzzle biashara za ushindani ili kutaka kumukomoa mshindani wake kibiashara na kijeshi - hiki ndicho kinachoendelea huko Ulaya kutokana na shinikizo la Merikani dhidi ya Urusi - masuala ya Ukraine ni secondary tu.
 
Hivi pale Syria pana mdagani? Licha ya uwepo wa US pale kaweza kwa Syria?
 
And here is the first result of the continuous Russian air offensive namimi naongeza ,,,with kamikaze drones - it became known that the Armed Forces of Ukraine are running out of missiles for the S-300 air defense system, the modification is not specified
 
The new minister of transport in the government of Italy is Matteo Salvini.
Maskini! Alijitahidi sana kupata cheo muhimu zaidi. Alitaka kurudi katika wizara ya mambo ya ndani ambako aliwahi kuonyesha chuki yake dhidi ya Waafrika waliojaribu kuvuka bahari na Salvini aliamuru wasiokolewe na meli yoyote na meli ikiwaokoa majini haziruhusiwi kuwapeleka Italia ....
Kumbe roho ya urafiki wake na Putin inatosha kumsifu hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…