Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunashukuru sana
 
Lete evidence ya Ramani tuone madai yako kama huwezi kuthibitisha ni Sawa na mtu anayepiga kelele Tu.
 
Leo zamu yako kupambana humu kujaza taarifa za ajabu
 
Mkuu asante kwa hoja na sababu za maana unazotaja!
Bila shaka Ulaya magharibi inaona matatizo ya kiuchumi shauri la kukosa nishati kutoka Urusi. Si vile kwamba Ulaya yote inategemea nishati hiyo lakini kufungwa kwa mabomba yalipandisha bei juu mno kwenye masoko hayo ya kibepari.
Ila, wakifaulu kuvuka nusu mwaka unaokuja (hadi mwisho wa winter kule) matatizo yao yatapungua. Maana nchi hizo zote ziliamua tayari kuondoka kwenye nishati ya kabohidrati yaani mafuta na gesi kwenda nishati mbadala katika miaka ijayo. Vita hii inaharakisha mwendo huo. Mfano Ujerumani ni uchumi mkubwa uliotegemea hasa gesi ya Urusi lakini hapa wananchi waliamua kwenye uchaguzi uliopita kuimarisha vyama vinavyotaka kuondoka haraka zaidi kwenye uchumi wa gesi na mafuta.

Tatizo walizo nazo sasa na kwa miaka michache ijayo hawana miundombinu wa kutosha (yaani mabandari ya pekee) kupata gesi miminika kwa meli (jinsi ilivyo Hispania na Ureno ambao hawatumii kabisa gesi ya Urusi) ila sasa wanajenga kwa mbio. Kuanzia mwaka ujao watakuwa na vifaa vya kutosha kupokea gesi miminika kutoka Marekani, Qatar na penginepo duniani. Tayari sasa bei ya gesi imeanza kushuka kwenye soko la dunia, maana vurugu ya kwanza sokoni )kawaida baada ya mabadiliko ya ghafla) imeshakwisha. BAdo ghali, bado hali ngumu, lakini kuna mtazamo ni hali nafuu.
Tuone jinsi gani jamii hizo za Ulaya magharibi zitavumilia matokeo hasa katika miezi ijayo. Hadi sasa idadi kubwa ya wananchi huko inakubali msaada kwa Ukraine na hatua dhidi ya Urusi, hata kama asilimia 30-40 wana wasiwasi au kupinga. Hivyo marafiki wa Putin wa hapa wanaweza kuleta kila siku mifano ya maandamano na upinzani dhidi ya siasa rasmi. Ila kwa sasa ingekuwa mwisho kwa kila serikali katika Ulaya magharibi kama ingehamia upande wa Urusi. Asilima 60 ni wengi zaidi kuliko asilimia 40 (hata kama hao si wachache).
Tuone jinsi gani mambo yatakavyoendelea.
 
US lawmakers look to lock in $50 billion military aid to Ukraine before January

[emoji843]Amid skepticism that a new Congress could withhold military aid to Ukraine, lawmakers from both major US parties are looking to lock in billions of dollars in military assistance to Kiev before new members are sworn in in January.

[emoji188][emoji188] They are really desperate now and it seems to be just the begining of this road to hell…[emoji848]
 

Msiwe mnatisha watu - kwa mambo ya kufikirika tu - mna ushahidi gani wa kuonyesha kwamba mataifa ya NATO/US wana ways and means za kuweza kufanya lolote Urusi directly,repeat directly - kumbukeni vita ya thermonuclear sio masuala ya Hollywood movies na war video games - nawakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba linapo kuja suala la thermonuclear payloads na lightening fast delivery system Russia is light years ahead of everybody don't you forget that, msifikiri US na UK na vassals wengine wanaishia kwenye maazimio na maneno chungu mzima au kupitia kwa third party kupigana a proxy war (mfano Ukraine) bila sababu, wanajua wakijiingiza moja kwa moja kutaka kupigana vita na Urusi huo ndio utakuwa mwisho wa subcontinent la Amerika kaskazini itashambuliwa vibaya sana kwa mara ya kwanza kwenye historia yake.

I'm not a fear monger lakini nataka kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba: Msiwachezee Warusi nawambiene,waliwahi kupoteza watu million 20 in WW2 wanajua vizuri vita kwao inamaanisha nini unlike US walio poteza watu 500,000 tu na Uingereza watu 400,000 ndio maana US and UK uchukulia masuala ya vita kimzaa mzaa lakini sio Urusi bwana.

Mwisho labda niwakumbusheni ushauri ulio tolewa na mwana sayansi/Engineer Elon Musk aliwaonya nini Utawala na jeshi la USA pamoja na mataifa ya Ulaya kuhusu uwezo mkubwa wa wa kijeshi wa Urusi kwenye masuala ya thermonuclear Xchange - kumbukeni Elon Musk ni Mmerikani na mwanasayansi anaye kuwa driven na facts and figures na sio masuala ya siasa na kuegemea milengo fulani-kakaa chini kachekecha mambo kisayansi akaona ana wajibu wa kuwakumbusha wanasiasa wa ovyo wapenda vita na ushindani wa kijinga, kwamba msitake kushindana au kuwatisha Warusi - watawamaliza mkifanya mchezo, Musk hakuficha kitu au kuogopa lawama kwamba labda ataitwa msaliti, mkosa uzalendo kwa kuwa kasema ukweli.

Elon Musk ni binadamu ambaye anaye jiweza kifedha hajipendekezi kwa Marais ,wanasiasa wala majenerali wa kijeshi - katumwa na Mungu kuiambia ukweli Dunia na ukweli mtupu, Musk akiri mingi sana, ndio maana katika comments zake aliongezea neno "vice versa" hapo katumia kaujanja fulani kwa lengo la kutaka jeshi la USA lisijisikie vibaya kwamba labda Musk alimaanisha US hawana uwezo wa kujibu mapigo ya Urusi ni hilo tu, lakini mwisho wa siku alijua kwamba message imetumwa sent na kuwa delivered. Hivi sasa mpira umekwisha tupwa kwenye kona za Urusi na Merikani, now they have a choice - i.e wachague moja: kusuka au kunyoa, mtabiri Musk amekwisha wapatia angalizo.
 
A research by Cambridge University:

Conflict in Ukraine has accelerated the split of the world into two civilizations. According to the results of the study, of the 1.2 billion inhabitants of countries with a "democratic“ form of government, 75% currently express a negative attitude towards China and 87% towards Russia.

However, among the 6.3 billion people in the rest of the world, the picture is reversed - 70% of the population has a positive attitude towards China and 66% supports Russia.

[emoji188][emoji188] The brainwashing works better in the first one [emoji23]. Waiteni Pro-West waje watuoneshe dunia wanayoizungumzia.
 
The EU plans to appoint a special representative on sanctions and send to third countries "to demonstrate that we are monitoring the situation," said the head of the European Commission.

[emoji188][emoji188] LMAO, Sheeenzi kbs! Hawa wanalala wanaota wanafikiri wanamiliki each of everything chini ya jua.
 
The European plan to cap Russian oil prices has proved futile: Russia has enough of its own or Asian tankers and insurance services to circumvent these restrictions, Reuters reports.

[emoji188][emoji188] So walifikiri, they... Stupid Europeans, kwamba ndio are the only consumers of natural resources duniani eh?
 
China has become the world's second largest car exporter, surpassing Germany,

Between January and September, China exported 2.11 million vehicles and Germany exported 1.91 million vehicles.

[emoji188][emoji188] Huh huu ni mwanzo tu...
 
Kwa mambo yanavyokwenda,Kuna uwezekano Boris Johnson kiboko ya dikiteta Putin akarejea kama waziri mkuu huko uingereza.., ngoja tuupe muda nafasi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Soma nyakati. Dunia ina elekea kumwachia vita USA na Ukraine peke yao. Na UK siyo kama Tz, eti ume boronga kwa sera zako uka ji-uzuru eti urudi.
 
Shida ya vita ya kiuchumi itahamia huko inapotoka gesi hapata kalika kama ni Qatar au wapi tukupe muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…